Kwa uelewa wangu wa kawaida kama mwananchi wa kawaida, zoezi hili la kuandikisha lina hatua kadhaa. itafika mpaka hatua ya kupata picha, alama za vidole na details nyingine muhimu. Suala la kuandikishwa wageni tuwaachie watu wa mambo ya ndani na vyombo vya usalama wa nchi. Tukipewa mpaka details za ndani kabisa zoezi laweza kuwa gumu sana. Huo ni Mtizamo wangu tu nisinukuliwe. Lakini haizuii mtu kuomba ufafanuzi kwa wahusika wenyewe kuliko kupiga ramli humu jamvini.
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Wednesday, 1 August 2012, 11:25
Subject: Re: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA

Kwenye matangazo la televisheni na maeneo mengine hawaonyeshi kama vitambulisho ni kwa ajili ya watanzania tu , hata raia wengine wanauwezo wa kupata vitambulisho hivyo kama wanafanya kazi nchini sijui inakuwaje kama mtu huyo atahamia nchi nyingine , pengine wanaweza kumfuatilia kutokana na vifaa vya kieletroniki ndani ya vitambulisho hivyo .
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
2012/8/1 <gm26may@gmail.com>
Na wakati tunajiandikisha kuomba hivyo vitambulisho mbona hatukuambatanisha na picha?
Au vitambulisho hivi vitakuwa havina picha?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Wed, 1 Aug 2012 10:35:31 +0300To: <Wanazuoni@yahoogroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA2012/7/31 Misha <envmisha@yahoo.com>
Ndugu zangu natumaini mu wazima popote pale mlipo.
Hili zoezi la utoaji vitambulisho, linaruhusu na wageni kupata vitambulisho? Maana wameambiwa wajiandikishe:
- Je, kama wanapata vitambulisho wanakuwa ni kama raia ama?
- Je, vitambulisho watakavyopata vitakuwa ni vya muda kulingana na mikataba yao ya kazi ama?
Wasalaam
MM__._,_.___.
__,_._,___--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment