Hapa napenda tuelewe hivi; Vitambulisho hivi havina lengo la msingi kama jina lake, bali vina lengo la kuwatambua walipa kodi, ndiyo maana wanaandikishwa hata wasio raia. Kwa msingi huo ingekuwa bora tuviite a.k.a "Vitambulisho vya Walipa kodi (ndani ya Taifa)".
Huu ndiyo ukweli wa kivitendo, ila wa nadharia utabaki kuwa uleule uliotajwa juu
Novat
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, August 1, 2012 10:35 AM
Subject: [wanabidii] MASWALI NA MAJIBU KUHUSU VITAMBULISHO VYA TAIFA
2012/7/31 Misha <envmisha@yahoo.com>
Ndugu zangu natumaini mu wazima popote pale mlipo.
Hili zoezi la utoaji vitambulisho, linaruhusu na wageni kupata vitambulisho? Maana wameambiwa wajiandikishe:
- Je, kama wanapata vitambulisho wanakuwa ni kama raia ama?
- Je, vitambulisho watakavyopata vitakuwa ni vya muda kulingana na mikataba yao ya kazi ama?
Wasalaam
MM
__._,_.___.
__,_._,___
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment