Mi nadhani wanapewa hivyo vyeo kwa madhumuni hayo; kutimiza matakwa ya serikali! LKK
From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 2, 2012 9:45 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
Mahakimu hawajui dhiki za watumishi wengine kwani wao hula rushwa. Hawana dhiki na ndo maana wanakandamiza wanyonge wadai haki. Wala rushwa wakubwa na ndo maana wanasheria wenzao wanatuingiza kwenye mikataba mibovu. Tuna mahakimu wabovu na wanasheria wabovu. Ndo maana serikali inakimbilia huko, yaani kwa wabovu wenzao. --- On Thu, 8/2/12, SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment