Jana nilibahatika kuongea na wanafunzi wa shule moja maeneo ya Kibamba. wanasema walimu wao hawajagoma kama wengine ila wanahisi wana mgomo baridi. Wanasema wanaingia darasani ila kinachofundishwa ni stori. Nadhani serikali inatakiwa kuwa makini zaidi katika kushughulikia jambo hili. Walimu hawa wanaweza kupandikiza chuki mbaya kwa vijana wetu dhidi ya serikali. Ndo maana siku hizi hata watoto wdogo si ajabu kusikia wakisema CCM ni chama cha mafisadi. Lakini, nani anajali? Who cares? Wini akupasha? --- On Thu, 8/2/12, john mushi <mushijohn@yahoo.com> wrote:
From: john mushi <mushijohn@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Thursday, August 2, 2012, 10:27 PM
Mimi bado napata shida kuangalia undani wa tatizo la waalimu na Serikali ambayo ni mwajiri wao.Je, Mahakama kwa kutoa uamuzi huo wa kuwataka wasitishe Mgomo na watangaze kwenye vyombo vya habari kuwa mgomo umekwisha utamaliza tatizo hilo?Mwalimu anayelazimika kukubali AMRI ya mahakama atafundisha kwa moyo au atarudi tu kazini? Mh!Serikali ilione tatizo kwa ndani, isilitizame kwa nje tu!
From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Thursday, August 2, 2012 9:27 PM Subject: Re: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili
Ambaye hakutarajia matokeo ni mgeni wa utendaji wa kaya yetu. Jana hukumu ilishatolewa na mkuu wa kaya. Leo nimefurahisha na Kauli ya kamanda Mgaya ailiyekumbusha kuwa kama serikali haina uwezo 100% basi iseme inaweza asilimia ngapi! Hii ni logical thinking. Walimu turudi kazini na kujipanga upya ---------- Sent from my Nokia phone ------Original message------ From: Tracy John Kimambo < tracykwetu@gmail.com> To: "Wanabidii" < wanabidii@googlegroups.com> Date: Thursday, August 2, 2012 8:52:57 AM GMT-0700 Subject: [wanabidii] Mahakama ya Kazi : Walimu rejeeni kazini mgomo ni Batili Mahakama ya kazi imetoa hukumu yake leo kwa kutaka walimu walioko kwenye mgomo kurudi makazini na kwamba mgomo wao ni batili . -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment