Nimekupata Misango, fikiria mtu anajifungia Msikitini eti kwa kukataa kuhesabiwa. Hana kazi za kufanya?
Date: Tue, 28 Aug 2012 21:11:29 -0700
From: misangocharles@yahoo.com
Subject: RE: [wanabidii] KWANINI WAISLAMU HAWANA IMANI NA VITENGO VINAVYOHUSIKA NA TAKWIMU?
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Date: Tue, 28 Aug 2012 21:11:29 -0700
From: misangocharles@yahoo.com
Subject: RE: [wanabidii] KWANINI WAISLAMU HAWANA IMANI NA VITENGO VINAVYOHUSIKA NA TAKWIMU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Baba Mbegu, binafsi niliisha acha kujadiliana na watu ambao wanaamini kwa akili zao kwamba, wao ni bora, ni waheshimiwa, ni watu wanaotakiwa kujulikana, lakini kwa sababu ambazo hata wao hawazijui, wanaonewa! Ninawajua tena wengi sana, waislamu SAFI kwa maana zote; wana utu, waungwana, wakweli, wamejaa upendo kwa kila mtu, wana huruma, ni wanyenyekevu wa dhati kabisa na hawana chembe ya ubaguzi ndani yao! Hawa, sijawahi kusikia wanalalamika kuonewa wala kudhulumiwa. Wanakabiliana na changamoto za maisha kama walivyo wananchi wengine. wanaheshimu imani na mawazo ya wengine hata kama wao hawakubaliani nayo. Hawapigi kelele ovyo za hiki ama kile, bali likija jambo hujadili kwa tuo, hoja na ushawishi wenye lengo la kujenga jamii safi na iliyojaa heshima. Hawavutwi na hoja za kiimani zisizo na mashiko, wala hawana haja ya kujipendekeza kwa yeyote hata kama angekuwa kiongozi wao wa dini. Hawa nawaheshimu sana sana! Ndio maana, siku moja mtu mmoja kwa kile alichodhani ni ujasiri na kwa kutumia mamlaka ambayo sijui nani alimkabidhi, aliniandikia ujumbe mfupi akinishambulia kwamba katika chombo cha habari ninachofanyia kazi, asilimia 99 ni wakristo na kwamba ipo siku tutajuta. Hata nilipomuuliza kama ana uhakika na akisemacho, badala ya kufanya tafakuri fupi tu, na kutambua kuwa alikuwa limbukeni wa kutupwa, akaongeza vitisho kwamba, laiti ningemjua yeye ni nani na hatari kubwa inayoniijia mimi kama mhariri na staff nzima ya chombo hicho nisingemjibu 'utumbo', bali ningeshauri utawala kuwaondoa nusu ya wakristo! Huyu sijui alifanya utafiti gani, kwa sababu; kwanza, hakuna ajira inayozingatia imani za dini, bali elimu, uzoefu na bidii ya kazi. Lakini, hata nilipolazimika kuangalia hoja yake, matokeo yalikuwa waislamu ni asilimia 53 ya staff wote! Huwa najiuliza, hawa wanaopiga kelele kila siku, hivi maisha yao nyumbani yakoje? familia zao zina hali gani kiimani, je, wamefanya nini la maana katika jamii inayowazunguka hata wakaonekana ni watu muhimu? --- On Tue, 8/28/12, Jimmy Mwanyakunga <jmwanya@hotmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment