Lakin ulitakiwa kuendeleza kwenye mada ili watu wapate mtiririko
Wewe ndugu Jiwe Linaloishi umeanzisha kama mada mpya ndio maana watu tukabaki njia panda
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: daniel stephen <danielstephen688@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 2 Aug 2012 17:24:51 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] CHAGGA DAY MLICHEMSHA
2012/8/2 Danny Livingstone <dannylivingstone1@gmail.com>
Daniel, nilimaanisha mada kama hii ya "Waandaaji wa Chagga day mlichemsha" kwa ujumla wake na tuhuma zinazoambatana nazo sidhani kama inaenda sambamba na malengo ya wanabidii kama mtandao, sioni ni kivipi mada kama hii inasaidia taifa letu, nilivyoona kichwa cha mada yenyewe nilidhani ni mambo ya ukabila kumbe ni mambo ya vyakula, sikuona kama ilitakiwa kuwekwa humu maana inavyoonekana ni issue iliyokuwa inahusu watu wachache wanaofahamiana. naamini umenielewa Daniel Stephen!--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--

0 comments:
Post a Comment