Friday, 3 August 2012

Re: [wanabidii] BAKORA YA WALIMU KWA SERIKALI 2015:

Supported

2012/8/3 Eber Manya <ebermanya@yahoo.com>
Ndugu zangu walimu baada ya kupuuzwa kuhusu wadai yenu ya msingi, sasa dawa pekee iliyobaki ni kukinyima CCM kura 2015. Serikali hii kamwe haiwezi tena kuwatimizieni maslahi yenu ya msingi. Serikali hii ya CCM sasa imehodhi mpaka mahakama ambayo ilikuwa kimbilio la wanyonge,  haki sasa haipatikani mahakamani isipokuwa haki mtaitafuta wenyewe kupitia masanduku ya kura 2015. KWA UMOJA NA KWA UWINGI WENU MNAWEZA KABISA KUUONDHOSHA CCM MADARAKANI. 'CCM HAIKUBALIKI, TUSAIDIANE KUITOKOMEZA 2015.

----------
Sent from my Nokia phone

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment