Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar
[caption id="attachment_79823" align="aligncenter" width="836"]<img class="size-full wp-image-79823" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/DSC0945.jpg" alt="" width="836" height="577" /> Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud (kulia) akimshukuru Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Abdulmajid Nsekela baada ya kupokea zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.[/caption]
[caption id="attachment_79819" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-79819" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/DSC0888.jpg" alt="" width="800" height="500" /> Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani mjini Zanzibar wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.[/caption]
[caption id="attachment_79822" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-79822" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/DSC0944.jpg" alt="" width="800" height="538" /> Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Abdulmajid Nsekela (wa kwanza kulia) akijiandaa kumkabidhi zawadi ya ramadhani Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud ikiwa ni zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.[/caption]
[caption id="attachment_79821" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-79821" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/DSC0933.jpg" alt="" width="800" height="518" /> Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani mjini Zanzibar wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.[/caption]
[caption id="attachment_79820" align="aligncenter" width="791"]<img class="size-full wp-image-79820" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/06/DSC0920.jpg" alt="" width="791" height="600" /> Baadhi ya viongozi mbalimbali na wa Benki ya NMB wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.[/caption]
KAWAIDA;-
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment