Thursday 22 June 2017

[wanabidii] MRITHI WA DKT. MDEGELA KKKT DAYOSISI YA IRINGA, MCHUNGAJI BLASTON GAVILE, KUWEKWA WAKFU JUMAPILI

CODES:

Askofu Mteule Mchungaji Blastone Tuluwene Gavile (kushoto) akiwa
na Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Himid
John Sagga.

IBADA ya
kuwekwa wakfu kwa Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Dayosisi ya Iringa, Mchungaji Blaston Tuluwene Gavile, inatarajiwa
kufanyika Jumapili Juni 25, 2017 mjini Iringa.

Ibada
hiyo, ambayo itaambatana na kuingizwa kazini kwa Msaidizi wa Askofu, Mchungaji
Himid Sagga, itafanyika ikiandika historia kwenye Dayosisi hiyo ambapo Askofu
Mteule Gavile anachukua nafasi ya Askofu Dkt. Owdenberg Moses Mdegela ambaye
amestaafu.

Katibu
Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Iringa, Nayman Chavalla, amesema tukio hilo maalum ni
la pili katika historia ya Dayosisi hiyo, kwani Mchungaji Gavile anakuwa ndiye
askofu wa pili tangu kuanzishwa kwake.

Aidha,
katika ibada hiyo Askofu Mteule Blaston Gavile atamuingiza kazini Msaidi wake
Mchungaji Himid John Sagga.

Awali
akielezea jinsi ibada hiyo itakavyokuwa, Chavalla alisema itaanza kwa
maandamano ya Wachungaji na washarika kutoka Usharika wa Kanisa Kuu Iringa
Mjini mpaka viwanja vya Gangilonga ambako ndiko ibada hiyo itafanyika.

"Ibada
hiyo inatarajiwa kuongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Fredrick Shoo akisaidana na
Baba Askofu Mstaafu Dkt. Mdegella," alisema.

Pia katika
ibada hiyo viongozi wa Makanisa mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi,
Wawakilishi wa vyama vya Kimisionari, Viongozi wa  Kiserikali, vyama vya siasa, wageni kutoka
nchi mbalimbali, wawakilishi wa makampuni na mashirika mbalimbali watahudhuria.

Katibu
Mkuu alitoa wito kwa jamii na Wakristo wote kuendelea kuliombea jambo hilo.

Alimalizia
kwa kusema ibada inatarajia kuanza kwa maandamanao yatakayoanza saa mbili
kamili asubuhi.

MUNGU AIENDELEE
KUIBARIKI DAYOSISI YA IRINGA NA TAIFA KWA UJUMLA

KAWAIDA:

Askofu Mteule Mchungaji Blastone Tuluwene Gavile (kushoto) akiwa na Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Himid  John Sagga.

IBADA ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Mchungaji Blaston Tuluwene Gavile, inatarajiwa kufanyika Jumapili Juni 25, 2017 mjini Iringa.

Ibada hiyo, ambayo itaambatana na kuingizwa kazini kwa Msaidizi wa Askofu, Mchungaji Himid Sagga, itafanyika ikiandika historia kwenye Dayosisi hiyo ambapo Askofu Mteule Gavile anachukua nafasi ya Askofu Dkt. Owdenberg Moses Mdegela ambaye amestaafu.

Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Iringa, Nayman Chavalla, amesema tukio hilo maalum ni la pili katika historia ya Dayosisi hiyo, kwani Mchungaji Gavile anakuwa ndiye askofu wa pili tangu kuanzishwa kwake.

Aidha, katika ibada hiyo Askofu Mteule Blaston Gavile atamuingiza kazini Msaidi wake Mchungaji Himid John Sagga.

Awali akielezea jinsi ibada hiyo itakavyokuwa, Chavalla alisema itaanza kwa maandamano ya Wachungaji na washarika kutoka Usharika wa Kanisa Kuu Iringa Mjini mpaka viwanja vya Gangilonga ambako ndiko ibada hiyo itafanyika.

"Ibada hiyo inatarajiwa kuongozwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Fredrick Shoo akisaidana na Baba Askofu Mstaafu Dkt. Mdegella," alisema.

Pia katika ibada hiyo viongozi wa Makanisa mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi, Wawakilishi wa vyama vya Kimisionari, Viongozi wa  Kiserikali, vyama vya siasa, wageni kutoka nchi mbalimbali, wawakilishi wa makampuni na mashirika mbalimbali watahudhuria.

Katibu Mkuu alitoa wito kwa jamii na Wakristo wote kuendelea kuliombea jambo hilo.

Alimalizia kwa kusema ibada inatarajia kuanza kwa maandamanao yatakayoanza saa mbili kamili asubuhi.

MUNGU AIENDELEE KUIBARIKI DAYOSISI YA IRINGA NA TAIFA KWA UJUMLA

Brother Danny Blog (Kisima cha Hekima na Busara)
Cell: +255 - 715 - 070 109
Whatsapp: +255 - 656 - 331 974

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment