Saturday 24 June 2017

Re: [wanabidii] MAONI YANGU KUHUSU MWELEKEO WA TAIFA LETU

Charles, 
Nchi yetu imepita kwenye misukosuko mingi baada ya vita ya Uganda1979. Tulikuwa tunasonga mbele hadi kufikia vijiji na hasa vijiji vya ujamaa kumiliki matrekta na malori ya mizigo. Baada ya vita Mwalimu alitangaza miezi 18 ya shida wakati tunajitahidi kurekebisha uchumi wetu, lakini walitokea wajanja wachache wakaitumia nafasi hiyo kujinufaisha. Huo ulikuwa mwanzo wa kufa kwa safari ya ujamaa wa Mwalimu. Misamiati mipya kama uhujumu uchumi, ulanguzi nk ikajitokeza. Bidhaa zikafichwa na kuuzwa kwa bei ya kuruka. Umimi ukaanza kutawala na tamaa ya kujitajirisha mtu mmoja mmoja ikatawala. Hali hii ilikuja kutiliwa nguvu na azimio la Zanzibar mwaka 1992. Ili turudi kwenye ujamaa wa kweli tunahitaji kwanza kubadilisha mawazo ya vijana wetu warudi kwenye uzalendo tuliokuwa nao enzi hizo. Tuondoe mawazo ya umimi yanayosababisha viongozi wetu kuingia mikataba mibovu kama ya IPTL na mingine ya madini kwa manufaa yao. Ndoto ya ujamaa haiwezi kutimia pasipo kuondokana na umimi uliotutawala.
Baada ya azimio la Zanzibar magali na mali zote za vijiji vikauzwa, vijiji vimekuwa masikini kuliko ilivyokuwa awali.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa kwamba ujamaa ndiyo utakao tutoa hapa tujisahihishe tutafika tunakokusudia kwenda.


On Sat, 24 Jun 2017 at 19:03, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
nakubaliana na wewe sana sana kwa sababu moja kati ya sababu uchumi wa china ni wa wachina, kinyume na chumi nyngine ambamo wananchi ni watazamaji. hata tunapoona wachina wanakuja huku wanafungua viwanda kienyeji, ni kwa sababu kwao uchumi ni wao. kama tukifanya kosa mathalan tukakalibisha wawekezaji katika kilimo, tutakuwa tunakaribisha migogoro myaka ijayo. lakini tukiwahimiza watanzania kulima kilimo kidogo (ekari 2-5) au cha kati (ekari 10-100) tutakuta asilimia ya wakulima inashuka mpaka 20-30. watanzania wengin e wataajiliwa na wenzao bila shida ETC ETC.
--------------------------------------------
On Sat, 6/24/17, 'Charles Nazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MAONI YANGU KUHUSU MWELEKEO WA TAIFA LETU
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 24, 2017, 1:37 PM


  Nimefuatilia majadiliano
ya mwelekeo wa taifa letu kuhusu halisi kuwa tunakwenda
wapi? Nikiwa
mwananchi mzalendo napenda nitoe ya moyoni. Taifa letu,
ukirejea Katiba
yetu linafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, lakini katika
utekelezaji
  tuko kwenye mfumo wa soko huria au ubepari. Mimi nashauri
tujifunze
kutokana  ufanisi wa mifumo na kasi ya maendeleo kati ya
nchi za
Magharibi na Asia, hasa nchi ya china ambapo kasi ya China
ni kubwa sana
  hivyo ningependa tuendelee na siasa ya ujamaa na tuige
mfumo wa China
katika kuendesha mambo yetu tutafanikiwa kupiga hatua ya
maendeleo kwa
haraka. Nakaribisha maoni yenu kuhusu muelekeo wa taifa
letu.



--


 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment