Saturday 24 June 2017

Re: [wanabidii] MAONI YANGU KUHUSU MWELEKEO WA TAIFA LETU

nakubaliana na wewe sana sana kwa sababu moja kati ya sababu uchumi wa china ni wa wachina, kinyume na chumi nyngine ambamo wananchi ni watazamaji. hata tunapoona wachina wanakuja huku wanafungua viwanda kienyeji, ni kwa sababu kwao uchumi ni wao. kama tukifanya kosa mathalan tukakalibisha wawekezaji katika kilimo, tutakuwa tunakaribisha migogoro myaka ijayo. lakini tukiwahimiza watanzania kulima kilimo kidogo (ekari 2-5) au cha kati (ekari 10-100) tutakuta asilimia ya wakulima inashuka mpaka 20-30. watanzania wengin e wataajiliwa na wenzao bila shida ETC ETC.
--------------------------------------------
On Sat, 6/24/17, 'Charles Nazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MAONI YANGU KUHUSU MWELEKEO WA TAIFA LETU
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 24, 2017, 1:37 PM


Nimefuatilia majadiliano
ya mwelekeo wa taifa letu kuhusu halisi kuwa tunakwenda
wapi? Nikiwa
mwananchi mzalendo napenda nitoe ya moyoni. Taifa letu,
ukirejea Katiba
yetu linafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, lakini katika
utekelezaji
tuko kwenye mfumo wa soko huria au ubepari. Mimi nashauri
tujifunze
kutokana ufanisi wa mifumo na kasi ya maendeleo kati ya
nchi za
Magharibi na Asia, hasa nchi ya china ambapo kasi ya China
ni kubwa sana
hivyo ningependa tuendelee na siasa ya ujamaa na tuige
mfumo wa China
katika kuendesha mambo yetu tutafanikiwa kupiga hatua ya
maendeleo kwa
haraka. Nakaribisha maoni yenu kuhusu muelekeo wa taifa
letu.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment