Thursday, 11 December 2014

[wanabidii] Re: MIKOPO YA MASHINE BILA DHAMANA KWA WAJASIRIAMALI NA WAKULIMA(MIKOA-Knjaro,Arusha,Mwanza,Geita, Manyara,Shinyanga, & Bunda area)

On Monday, October 20, 2014 9:44:09 AM UTC+3, Peter Temu wrote:
> EFTA Ltd - Equity for Tanzania Ltd ni kampuni yenye makao yake makuu mjini Moshi mkoani Kilimanjaro inayotoa mikopo ya MASHINE, NA MITAMBO kwa wajasiriamali na wakulima "BILA DHAMAN YOYOTE".
>
>
> Hadi sasa kampuni hii imeshaweza kuhudumia mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Arusha, Mwanza, Geita, Shinyanga, na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Simiyu na eneo la Bunda.
>
>
> Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kama una ndugu jama na marafiki wajulishe kuhusiana na fursa hii muhimu katika kuinua, kukuza na kuendeleza biasha na maisha yao kwa ujumla.
>
>
>
> Karibuni sana
>
>
>
>
>
>  Tupigie.     Moshi 0782891477, rusha 0783 932697, Mwanza 0684467473.
> Email.:         in...@efta.co.tz
>                     Mo...@efta.co.tz
>
>
>
>
> https://www.facebook.com/equityfortanzania
> http://www.efta.co.tz/

Habari. Nimefurahi kuona Tovuti yenu hii na tangazo lenu.
Naomba maelezo zaidi. Sisi tupo Mwanza. Tungependa kutumia hii fulsa ya kukopa Mitambo kwa ajili ya kampuni yetu ya Enginnering iliyopo Mwanza.

Ahsante

Marko Machibya
MEF Investments Company Limited
P.O. Box 1274, Mwanza, Tanzania
Mobile: +255 765 712968

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment