Thursday, 11 December 2014

[wanabidii] RE: [Mabadiliko] Ndoto hii ya Ajabu!!!

Abdul,
 
Jana nilipata usingizi mzito sana na nikaota ndoto mbaya sana. Ndoto yenyewe ni hii:
 
Baada ya kupitia kwa makini ripoti ya CAG na nyaraka nyingine na ushahidi uliowasilishwa kwangu, ofisi ya Rais imefanya maamuzi yafuatayo:
 
Kwanza kabisa ndani ya ripoti ya CAG hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaonyesha kuwa watuhumiwa walihusika na upotevu wa fedha za Escrow. Aidha yamejitokeza makosa kadhaa ya kiutendaji na kimaadili lakini si ya kijinai.
 
Licha ya kwamba Bunge lilipendekeza baadhi ya viongozi kutenguliwa nafasi zao, uchunguzi wa kina uliofanywa na vyombo mbalimbali umeonyesha kuwa hawakuhusika moja kwa moja. Hivyo basi hakuna sababu ya kuwafukuza kazi. Lakini ili kujenga mazingira mazuri ya kazi na kuaminiana, nimeamua kuchukua maamuzi yafuatayo:
 
Mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema atastaafu mapema (early retirement) kwa mujibu wa sheria na atalipwa stahili zako zote
 
Waziri Prof. Tibaijuka hana kosa na ataendelea na nafasi yake kama mwanzo
 
Waziri wa Nishati Prof. Muhongo, yeye atakwenda kuwa Waziri wa Maji na Prof. Jumanne Maghembe atakuwa Waziri wa Nishati na madini
 
Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini yeye atahamishimwa wizara ya mifugo.
 
Jambo hili sasa limefungwa na ninawaomba watanzania wajikite katika shughuli za ujenzi wa Taifa badala ya kuendelea kujadili suala hili ambalo halina tija wala faida kwa Taifa. Wasisikilize wanaoptosha kwani Rais ameamua kwa mujibu wa katiba na mamlaka aliyopewa.
 
Baada ya taarifa hiyo, nini kitatokea? nikashutuka usingizini na ndoto ikakatika hapo hapo. Natumai leo nitaendelea kuota kuanzia hapo nilipoishia.
 
Tatizo ni kitu kinachitwa "impunity". Hii hutokana na chama kukaa madarakani kwa miongo mingi. Rushwa, impunity ni zao la cha corrupt.
 
Sele
 
Date: Fri, 12 Dec 2014 10:16:21 +0300
Subject: Re: [Mabadiliko] Waziri Saada Salum Mkuya ulilidanganya bunge kwa faida ya nani?
From: abduldello@gmail.com
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Tunaongozwa na genge la waongo wanaona kila mmoja pimbi. 

On Friday, December 12, 2014, Baraka Kaaya <baraka.kaaya@gmail.com> wrote:
Further, the Board voted to continue MCC's engagement with Tanzania with the ....BLAAH BLAAAH BLAAH...

Yaan kwa ufupi tuu...jamaa mshiko washakubali kuumwaga... mukulukulu hata akiamua kuwapa "karipio kali"...mawaziri wake...sio lazima kuwafukuza...

Jamaa watakua hawana ujanja wa kurudisha kibindoni mshiko wa MCC...manake mukulukulu wetu kaachiwa goma alicheze apendavyoooo....

On Fri, Dec 12, 2014 at 9:31 AM, Dominick Siminze <dsiminze@gmail.com> wrote:
Washington, D.C.—The U.S. Government's Millennium Challenge Corporation (MCC) issued the following statement after its Board of Directors (Board) held its annual country selection meeting on December 10, 2014:

"MCC takes seriously all of its country partners' commitments to combat corruption. At-today's meeting, MCC's Board expressed continued concern over corruption in Tanzania, including the implications of the recent case involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL). 

The Board noted that Tanzania has experienced a significant decline over the past seven years on the key indicator measuring efforts to control corruption. 

While the Board voted to allow Tanzania to continue working to develop a compact proposal—given its passage on MCC's policy scorecards and its strong previous performance as an MCC partner—the Board stated its expectation that the Government of Tanzania must take firm, concrete steps to combat corruption before a compact is approved. 

Further, the Board voted to continue MCC's engagement with Tanzania with the understanding that, in accordance with the Tanzanian State House December 9 statement, the Tanzanian government would act promptly and decisively on the late November parliamentary resolutions regarding IPTL.

The Board also reaffirmed more broadly that Tanzania must undertake a series of previously agreed upon structural reforms to improve the efficiency, effectiveness and transparency of the energy sector, and more generally to deal with wider corruption."

Source: mcc.gov

2014-12-12 8:54 GMT+03:00 Dominick Siminze <dsiminze@gmail.com>:
Au ndo wivu wa wamerekani huo?

2014-12-12 8:41 GMT+03:00 Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com>:
Kiukweli Bunge lililopita limenipa picha kubwa sana juu ya 50/50, siiafiki kabisa maana naona taifa litaangamia, waingie watu kwa uwezo, na si kwa kutimiza vigezo vya 50/50.

Walaka wa Marekani ungekuwa umetolewa kwa siri tu, tungeambiwa ni uzushi tu na wivu, lakini uko wazi kabisa, wamekaa kimya hawaweziongea kitu. Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia!

2014-12-12 8:32 GMT+03:00 Jimmy Luhende <jimmy.luhende@gmail.com>:
Peter, hili sio sakata ni wiziiiiii!

On 12/12/2014, Jimmy Luhende <jimmy.luhende@gmail.com> wrote:
> Wakati hayo yakitokea huyu mama anasahau au anajifanya hajui kuhusu
> vifo vya kian mama wenzake na watoto kwa kukosa huduma za matibabu!
> ndio maana hii habari ya 50/50 tusipokuwa makini nayo itatuumiza
> badala ya kutufaidisha! Yupo mwingine pale bugeni alisema kuwa hii ni
> hoja ya upinzani na akaongea sana kwa mtindo wa mipasho...
>
> On 12/12/2014, Dominick Siminze <dsiminze@gmail.com> wrote:
>> JF
>>
>> Wakati wa kikao cha bunge kilichopita sakata la fedha za akaunti ya
>> ESCROW
>> liliikuwa likitikisa kila kona ya nchi!
>>
>> Wakati akichangia mjadala, mbunge David Kafulila aliibua tuhuma kuwa
>> ufisadi wa ESCROW umeifanya Tanzania kukosa zaidi ya dola za kimarekani
>> milioni 450 fedha za miradi ya maendeleo kwa Tanzania kutoka MCC maarufu
>> kama MCC project.
>>
>> Bila haya wala aibu waziri wa fedha bi Saada Salum Mkuya alisimama kwa
>> kujiamini mbele ya bunge na kudai kuwa MCC project imeshasainiwa na yeye
>> mwenyewe na kwamba eti mwezi wa kumi na mbili (mwezi huu tulio sasa)
>> fedha
>> hizo zitatolewa kwa Tanzania tayari kuingizwa kwenye miradi ya maendeleo.
>>
>> Jana tumeshuhudia balozi wa Marekani nchini Tanzania akiishinikiza
>> serikali
>> ya Tanzania kuwachukulia hatua wezi wote walioshiriki sakata la ESCROW
>> ndipo MCC isainiwe.Hili likiwa ni tamko rasmi kwa Tanzania kutoka
>> serikali
>> ya Marekani.
>>
>> Sasa waziri katika wizara muhimu inayoshughulikia uchumi wa nchi
>> anapokuwa
>> mwongo ili kulinda mafisadi na kuwa tayari kuwanyongelea mbali walalahoi
>> sisi tumuoneje? Tumfananishe na kitu gani?
>>
>> Watu wa aina hii kuwa nao katika dhamana tutasubiri sana kujikomboa na
>> umasikini!
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forum" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>> To view this discussion on the web visit
>> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVRN9_zhLk8Ob9ifRhx_jTk1amc5j-21nJJbY1kCtEOHkA%40mail.gmail.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
>
> --
>
>
> Cell: +255 754 388 882
>

--

Cell: +255 754 388 882

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMcDKfKzeshXM2ssiativyuLzhtUTeSeK2Rrs_7mRMN_Tr-S4w%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPd8eK9fE1QQ%3Dq0%3DmcCRgiK8WCsztJA8gcyXY-Y%2B_p6-OK0Jag%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVS4L9mLVjvn501QADr5cLVXg44Pk22Khb5FP0Jxmk8dwA%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAK4K%2BH2f0WEuCp4ehfcXUErOpMCnvaTXM5_NAYWLz4KVtav8ww%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAGFQo2R8tn_i6HSf6%3DahSwZ7iLqDopMP-NTWhUry--f1VtftoA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment