Monday, 1 December 2014

[wanabidii] MHE PINDA NA NAFASI YA URAIS 2015

Tukio kubwa lililo tukia huko dodoma katika sakata la escrow ni ujumbe tosha kuwa bwana mkubwa huyo hafai kuliongoza taifa letu,nashangaa sana wabunge walio mtetea hali wakijua waziri mkuu asiyejua fedha zinazotunzwa BOT ni fedha za umma tu,imenishangaza sana hotuba yake ya kufunga bunge bado anaendelea kusema eti atafanya uchunguzi kuona yaliyo semwa CAG kuwa yanaukweli kiasi gani,hii ni aibu ya mwaka ndio maana alisabisha fedha ya wanyonge DECI kuipola mpaka leo hawezi kuwaambia watanzania ameiweka wapi na atairudisha lini huo ni wizi wa mchana,napendekeza kwaRais amwajibishe wa kwanza yeye harafu wafuate mawaziri wote waliokuwa wakimtetea ktk hili hatuna imani na waziri mkuu aina hii dhaifu na mbaya zaidi kwa taifa mtu aliyepewa heshima ya kuandika katiba pendekezwa ndg chenge ni miongoni mwa mafisadi wa escrow hivi mnategemea katiba hiyo iingizwe maadili yaliyo pendekezwa na Waryoba?yayobana mafisadi,lilazimu mafisadi watengeneze katiba inayo linda ufisadi wao na waziri mkuu akiwalinda,watanzania kama hamtafumbua macho kuona kuwa Mungu kupitia kashifa ya escrow kuwa UKAWA ndio ukombozi wa taifa wa sasa Mungu anaowaonyesha mtaipitisha katiba ya mafisadi na kukataa UKAWA,mtakuja kujuta kwa nini mlizaliwa Tanzania.Pinda hafai kwa lolote2015.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment