Katika Tafiti tulizofanya tulikuta water user associations za Manzese, Kibaha, Mbezi zinafanya kazi nzuri kusimamia maji yao. Kuna tatizo la wauza maji kwa magari wenye vituo vyao. Wanachofanya ni kutumia rushwa na hao wanaojifanya mafunzi wa Dawasa kumbe sio ni Vishoka kupunguza kiasi cha maji kinachokwenda service line fulani ili wananchi wasipate maji wao waweze kuuza maji. wenye tankers kuchanganya maji ya chumvi na yasiyo chumvi ili kuuza maji ghari na bei poa. Ubadhirifu wa miundo mbinu hufanya ili kuweka crisis ktk kupatikana maji ili wao wauze. Maji.
Ukifika Ofiri ya Kimara Baruti Water User Association wana storage tank la maji na wanauzia jamii maji. Uhuru wa kuwapa wananchi kuuza maji kwa tankers magari makubwa na madogo, nyumbani na wabeba madumu umeleta madhara ya kuhujumu mabomba, kupasua wachote bure wauze au wasinunue ili wauze au wakazi kutoboa bomba watumie maji bure majumbani na kulipia huduma ya maji.Wakitoboa hupunguza presha hayaendi. Vishoka kuunganisha majumba bomba kuu. Wawatumiao kinyume na sheria ambao wanahela pia husali sana makanisani na misikitini bola ya kumuogopa mungu kwa matendo yao. Kimara juu na vituo vya magari kujaza maji bomba za bondeni na Kimara Baruti hii hapa kutoka study zetu za Dawasa na huduma ya maji. Mbona tunajiharibia wenyewe kwa kuhujumu mabomba makuu na madogo. Huko source ya Maji Ruvu River Dawasa inahaha kuchimba Bwawa la maji ili maji yawe mengi Dar. Kikubwa ni kuondoa mifugo ya Manga'ti, Mbulu, Sukuma, Maasai imejaa milima ya uluguru juu ktk source ya mito-Ruvu, Mkulazi, Mgeta. Mto Ruvu umekauka wami unasuasua. Mkopo wa World Bank wameshalipa wakazi Bwira Juu, Chini, Mgeta pa kujenga Bwawa na njia ya kupitisha malori. Mifugo kuanzia Ngerengere inavamia maeneo ya Livestock management Unit (LMU) Ngerengere, njia yote Diguzi, Matuli, Kwaba, Chanyumbu, Kudunda hadi mto Ruvu kule Kidunda mifugo inatesa watu. bakora, mapigano, kulishia mashamba, kinyesi mtoni na siltation. Mbunge mama Ruth Nkya na Kolugelesi wanayajua haya, Misitu ya hifadhi ipo encroached. na wakijenga Bwawa bila ya kuyapitisha maji chini ya ardhi yafike Ruvu chini na Dar, bagamoyo-mifugo itajaa maana mto umejaa.
Tutalipa mkopo wa bwawa bila ya effective impact katika maji. Ruvu ya Bagamoyo-mifugo kibao hakulimiki ktk irrigation system (japanese financed) hailimiki imejaa mifugo. Pia mifugo imejaa Saadani National Park. inaumiza watu Rufiji River basin sasa mchele kulima tabu na wetlands zinakauka.
Ifikie kufanya maamuzi magumu. Kutafuta hela kufanya Village Land Use Planning anda management za vijiji (VLUPM). manual zipo. Pia, kuzuia watu kuhamahama kwa kilimo na ufugaji na kukata miti ya mbao, mkaa. Panda miti ukate uuze-panda miti kibiashara. Tulinde mifumo yetu ya maji, mabwawa, mito. Ni majukumu yetu wote. Akienda bwana misitu kuwafukuza wakatamiti, wafugaji anaweza kuuawa akazikwa huko. unatishiwa, utachomewa nyumba au kupigwa kisu.risasi. hatuwajibiki.
Kaa kwako kwa asilia au ulikoamua kuishi. Kuzuia kuhamahama na mifugo kwani kwa sasa crop farming inaathirika vibaya na vita ya wenyewe kwa wenyewe kutokana na mifugo kulishia mashamba inakaribia. Mfugo una hela, wanaweza kuchangishana kujijengea huduma zao, kupata msaada TASAF na kulinda miundombinu yao na kuchangia operation and maintanance. Mfumo upo na livestock training centres, multiplication centres zipo.
Tuache siasa-tutauana, tunaharibu uchumi na nmaisha yetu. Ifike mahala wabunge wawajibike na wananchi wao kuwarekebisha, kuwaelimisha sio kutazama yote baada ya kupata KURA ili kulinda jina. Lazima sasa kutumia amri na sheria ili watu wafuge na kulima sustainably. wale wa mlimani lazima walime kwa kuweka makinga maji na kupanda miti rafiki kwa kilimo na maji. Wa mabondeni pia na aina mbali mbali za udongo watumie kurutubisha ardhi kwa mimea sio kemikali. Tuache kuweka ukabila na usiasa na kutaka KURA na misifa-tunajimaliza. Nchi inakuwa na matatizo sugu yanayotatulika kwa nini yasiishe?
Waliolipwa fidia vijiji vya Bwawa la Kidunda na mapito ya njia wamepewa muda wa kuhama na wamelipwa fidia. tatizo ni matumizi ya hela-watakapohamishwa kwa kubomolewa wataandamana. wamelipwa kwa hundi na kufunguliwa akaunti na benki vijijini kwao-CRDB, NMB; baadhi wamezitoa hela baada ya siku mbili tu na wamezitumia kifisadi-kununua bodaboda, ulevi etc. waliodai kulipwa kidogo wamesikilizwa. Subiri uone maandamano-tunabomolewa, tunaonewa, ESCROW!! Kumbe ni kutokuzingatia ushauri wa resettlement na matumizi ya hela kimaendeleo. hela ina mwisho shida haina mwisho. wala leo kesho wala nini ukizimaliza zote leo? ESCROW ndio tatizo. jee kichwa chako miaka yote hiyo 50+ ya maisha unauza tofari, hujengi nyumba bora, unalima mtoni unaukausha kisha kunywa maji machafu au kuhama hama mradi tu uonekane tajiri unamifugo mingi! Unahamia porini watoto hawasomi unaongeza wake, watoto; vuna madini geita, mererani-mke mpya, mifugo mia iende Rufiji, mia mbili Ngerengere, mia kilosa, mia kilombero hatutafika!! maji hayatakuwepo na tunayachafua kwa kuingiza kemikali, madini mabaya, kinyesi, mafuta machafu na kila aina ya uchafu. Tubadilike ndani ya bongo zetu kwanza ili tufanye yatakiwayo
On Monday, 15 December 2014, 10:40, 'jacob dlk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hali ya maji Kimara, Baruti, Ubungo, Manzese hadi Magomeni Kagera ni Mabaya.
Watu wa DAWASCO wanapita tuu na magari wakikaanga Mafuta, hakuna Cha Taarifa wala nini. Kw Mara ya Kwanza Jana wameonekana na gari la Wazi na Wanenguaji Nyuma, wakihimiza Watu kulipa Ankara za Maji. Hainiingii Kabisa akilini kuhimiza kulipa Bills kwa Huduna "HEWA"
Kwa kweli hii SIASA Kwenye suala zima la maji Ingewekwa Kando, na kuhudumia wananchi hawa. Mhe. John Mnyika, tunatambua juhudi zako kupigania wanajimbo wako wapate huduma ya Maji, Lakini Unaangushwa makusudi ili sisi tuteseke. Mwisho utawadia tu...Usivunjike moyo.
Haya....Wapenda Haki.
--------------------------------------------
On Fri, 12/12/14, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UHABA WA MAJI KIMARA HADI LINI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>a
Date: Friday, December 12, 2014, 10:14 PM
Na bado kuna watu wanaona sawa
tu na sasa wanapita wakitafuta uuongozi ikiwa kwa miaka 53
hakuna maji katika jiji kama hili
On Friday, December
12, 2014 12:15 PM, 'jacob dlk' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndugu Wanabidii na
Waheshimiwa wote wa Wizara ya maji na DAWSCO Dar es
Salaam,
Hiki ni kilio
kikubwa sana Huku Kimara na Jimbo lote ta UBUNGO. Ni
takribani siku ya Ishirini na Tisa leo HAKUNA Maji. Cha
kushangaza sana, Hakuna Taarifa kwenye Vyombo vya Habari(TV,
Magazeti au Mitandaoni) wala PA kusikika Barabarani. Ina
sikitisha kwa kweli. Nimefanya Survey Jana, Debe/Dumu moja
la lita 20, sasa Linauzwa Tzs.1,000/- hadi Tzs.1,500/- kwa
maeneo ya SUCA, KIMARA, BARUTI, Manzese na Magomeni Kagera.
Watu wana taabika sana, wanakesha kusaka maji.
Wakati, Ofisi za Wizara ziko
katika Jimbo jilo, hakuna hata anayeguswa kushughulikia
Kilio hiki....Inasikitisha kwa Kuwa Hapo Jirani na Tank
Kubwa Ubungo, Kuna Kiwanda cha Kufyatua Matofari, kinatumia
Maji BURE, Pamoja na Wakubwa wa Wizara Kumkamata Mhusika,
lakini hakuna mabadiliko.
Mheshimiwa, Waziri Jumanne Maghembe Unaelewa
hayo??? Ni kwa nini swala la Maji UBUNGO ninafanyiwa Mzahaa
na kuingizwa SIASA???. Inasikitisha zaidi, kwani Wenye
Magari ya Maji Imekuwa neema kwao, na Maji ya kwenye hayo
magari yana chumvi Kupindukia.
DAWASA/DAWSCO Hivi Ni lini hasa Mtatenga
Pembeni Siasa na Uhalisia wa Maisha ya Wananchi hawa wanao
teseka na Uhaba wa Maji katika Kipindi hiki cha Jua na Joto
Kali Dar Es Salaam????
Kwanini Bomba hilohilo la Ruvu, kuna Sehemu
nyingi tu zinaendelea Kupata Maji, na Kwanini Wananchi wa
Kimara, Ubungo na Manzese tu???
Jiandaeni kujibu hoja kabla hujuma zenu
hajijawekwe Hadharani.
Mwaisho namalizia Kwa Kumtaka Waziri wa Maji
afike mwenyewe ajionee wananchi wanavyo taabika.
Wenu mwanabidii.
Mwasajone
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment