Sio bank charges tu, lakini pia kama akaunti ya benki nyingine haijawahi kupokea kiasi kikubwa cha fedha kama 1.6 bl, ikipelekewa fedha hizo benki hiyo haipaswi kuzikubali kirahisi, lazima ijiridhishe kuwa ni fedha halali na zimetoka mahali salama, hiyo ni kanuni ya mabenki yote.
Kwa hiyo, inawezekana kabisa Rugemalila hakutaka kuulizwa mara kwa mara na benki mbalimbali alikotoa fedha hizo, kwa kuwa ni lazima benki zingehoji na hivyo usumbufu kwake aliyetoa fedha hizo, usingeepukika isipokuwa kwa kumlazimisha anayetaka mchango, kufungua akaunti katika benki ambayo yeye pia ana akaunti. Nimetumia utaalamu wangi wa banking hapo na kama kuna wataalamu wengine wa banking, wanaweza kukosoa maoni yangu kwa kutumia kigezo hicho cha kanuni za kitaaluma.
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Ezra Guya <ezguya@gmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, December 10, 2014 9:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya Bodi ya Wadhamini wa Shule iliyopokea bil 1.6/= za Rugemalira kupitia kwa Prof. Tibaijuka
Kwa uelewa wangu kuhamisha fedha kwenda account nyingine kwa bank nyingine huwa kunakuwa na bank charges...labda tulifukirie na hilo....na tuseme labda lengo halikuwa kuisaidia shule....sasa kwa nini afungue account nyingine?
Ezra Guya <ezguya@gmail.com> wrote:
Ezra Guya <ezguya@gmail.com> wrote:
''Bw. Rugemalira alimjulisha Mwanzilishi kwamba yuko tayari kufanya mchango ulioombwa na kumwagiza kwamba sharti ni yeye Mwanzilishi kufungua account hapo Mkombozi Benki kuupokea mchango huo na kuchukua jukumu la kuufikisha shuleni na kuhakikisha unatumika kama ilivyokusudiwa. Bw Rugemalira alieleza hakutaka kuhangaika kuhamisha fedha kwenda benki nyingine ambapo tayari kulikuwa na akaunti za shule'' mwisho wa kunukuu
Hapo ndio kuna uongo, hv kuna ugumu gani kuhamisha fedha toka akaunti moja kwenda benki nyingine
2014-12-10 20:19 GMT+03:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Duh...lkn najua wengine bado hawataelewa hata pamoja na maelezo haya...thanks sana...
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Abdalah tunashukuru kwa taarifa inayozaa maswali bafala ya kujibu.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Taarifa ya Bodi ya Wadhamini wa Shule iliyopokea bil 1.6/= za Rugemalira kupitia kwa Prof. Tibaijuka
BARBRO JOHANSSON GIRLS' EDUCATION TRUSTJOHA - TRUST
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment