Wednesday, 10 December 2014

Re: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka

Mwigulu hakupayuka...hayo ni matusi au kuonyesha tayari una chuki na mtu....Kamati ya PAC ilisema fedha ile kwa utaratibu wa kukaa katika account ya escrow ilitakiwa kulipiwa kodi TRA...na tayari lugemalila amelipia kodi ya 30 hela yake....

Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:

Kodi inalipwa from business, employment or investment, sasa hawa watalipa kodi kutoka kwenye kundi lipi na kwa kiwango gani na sheria ipi? Tusipayuke kama Mwigulu.
Nauliza tu

2014-12-10 15:54 GMT+03:00 'Fredy Lema' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Simzungumzii mtu mmoja alisema wote walionufaika na huo mgao walipaswa kulipa kodi.


On Wednesday, 10 December 2014, 15:39, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Lugemalila alilipa kodi ya karibia billioni 30 kwa TRA...

'Fredy Lema' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Unaijua sharia ya kodi ya mapato sawasawa? kama ulisikiliza mchango wa Mh. Mwigulu Nchemba ktk lile sakata la escrow alisema hata kama walilipwa kihalali lakini na wote walionufaika na hayo malipo walitakiwa kulipa kodi. Sasa kama unataka kujua ni kodi ya aina gani walitakiwa kukatwa fanya utafiti zaidi.

Fredy


On Wednesday, 10 December 2014, 13:54, 'Dickson Greyson' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


kosa lake yeye ni kiongozi wa umma inabidi haweke vyanzo vyake vya mapato. au aseme kua kuna biashara wanafanya.
--------------------------------------------
On Wed, 12/10/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, December 10, 2014, 1:36 PM

Ukimsikiliza  prof Tibaijuka ni
kama vile hana kosa la wazi kwa kupokea fedha kutoka kwa
Lugemalila kiasi cha 1.6 billion. Ktk hili inaonekana wengi
wana mawazo tofautitofauti na misimamo mbalimbali...lkn kwa
mtazamo wangu bado sioni kosa la prof kwani aliyempatia hizo
hela ni safi na alilipwa kihalali na kulipia kodi TRA
kihalali kabisa. Nafikir Lugemalila alikuwa na haki na
uhalali wa kutumia kilicho chake kwa mapenzi yake. 
Sioni kosa la Tibaijuka kwani hatuwezi jua wao wana
mahusiano yepi kibiashara. Ni nini mtazamo wako?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence<

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment