Exactly Bifabusha;
Hatupo serious na uchungu na inji yetu,taarifa zote za uchunguzi za kitaalamu i.e. CAG,PAC n.k zinaonyesha ni wizi mtupu.
Then wenye akili timamu zaidi wanatetea kuwa ni halali??
Hii inji tunaipekeka wapi sisi watz tena wenye usomi wa kutosha,tuacheni makengeza wandugu,kijiko kibaki hivyohivyo tusijaribu kuita koleo dogo.
Reuben
From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, December 10, 2014 8:36 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka
Chanzo cha PESA zote ni IPTL sijui PAP au VIP zote zilikuwa njia za kuibia. Kwanza Capacity charge ni kubwa kuliko mtaji wao, bei ya ememe juu ili kulipia gharama hizo. Mlipaji mtumiaji wa umeme, ww na mm bado mnatetea wizi. Are we stupid?Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: 'Peter Lwegasira' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka
Ninachojua mimi ni kuwa PAP alikuwa ana hisa 7...ambazo amedanganya umiliki wake...hisa hizo sio zake,kwa hiyo malipo yakiyofanyika kwenye account hiyo ndio sio halali...Muhongo,Maswi, Werema na mwenyekiti bodi ya tanesco wanakumbwa na kumbakumba hii kwa kuwa waliidanganya serikali kuwa PAP anamiliki hisa 7 za iptl kumbe uongo tu..na malipo ya PAP ni utapeli tu....Lugemallilla anamiliki hisa 3 kihalali...hivyo yeye akistahili kulipwa zaid ya alicholipwa. Kwa minajili hiyo mwizi ni PAP.Lugemalila hakulipwa kutoka PAP bali aliingiziwa malipo yake Mkombozi Bank...ndiko alikofanya mgao wako....I dont think we need to go to kindergarten to understand this.....hahahaha
'Peter Lwegasira' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Naona wengi mna miss point muhimu sana. Kwani Rugemalila alilipwa kutoka account gani? Alilipwa kutoka account ya Tegeta Escrow au account pale Benki Kuu Ya Tanzania au account ya PAP iliyokuwa Stanbic Bank? Kumbuka account ya PAP iliyokuwa Stanbic Bank ndiyo iliyopokea hela iliyokwapuliwa kutoka Tegeta Escrow Account pale Benki Kuu ya Tanzania. Kama hii account ndiyo iliyomlipa Rugemalila, kuna usafi ganai wa hela aliyopokea Rugemalila? Kama hii pesa haina usafi inapokuwa kwenbye account ya Rugemalila itakuwajie safi ikiwa mikononi mwa mtu mwingine kutoka kwake. Mbona haya mabo ni rahisi sana. Do we need to go back to Kindergatten?Kwani mwizi akiiba kuku na kuku huyo ukauziwa gulioni utasemaje kwamba kuku huyo si wa wizi?On Wednesday, December 10, 2014 4:39 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Comrades;Mwanzoni aliikubali hii skendo na kuona ni kosa na anastahili kuwajibika,sasa muda umepita keshapata bush lawyers na maushauri kibao wanajaribu kutafuta njia ya kusafishana mpaka imeanza kuonekana sio kosa.Hii ndio shida ya kuchelewa kuwajibishwa/kuwajibika,kwa mtindo huu inaenda taratibu na mwisho itaonekana sio skendo tena.Bongo Tanzania,achana kabisa jomba,hii inji ni balaa.Reuben
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment