'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bwana Ngupula,
Soma vyema mstari kwa mstari upate logic kabla ya kujibu, hasa sentensi ya mwisho. Nimesema Sakata zima ya escrow ni scandal tupu. Angalia hata sifa za watu waliosaidiwa. Usiseme tu kwavile unajua kutetea ufisadi.
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka
Ndugu yangu J,nachoona hapo hiyo issue inakuwa issue kutokana na wingi wa hela....lkn hata wewe ungelipwa hela kama hiyo na ukaamua kumsaidia mtu au tuseme hata your x girl friend sion kama ingekuwa shida....kugawa hela sio lazma uwe na NGO....ngupula
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Aseme pesa alipewa za nini na kwa sababu gani? Pia aseme kama aliomba hizo hela na kama Rugemalila ana NGO ya kugawa hela. SAKATA zima la escrow ni scandal tupu.
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'Dickson Greyson' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka
kosa lake yeye ni kiongozi wa umma inabidi haweke vyanzo vyake vya mapato. au aseme kua kuna biashara wanafanya.
--------------------------------------------
On Wed, 12/10/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re:Kosa langu liko wapi:prof Tibaijuka
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, December 10, 2014, 1:36 PM
Ukimsikiliza prof Tibaijuka ni
kama vile hana kosa la wazi kwa kupokea fedha kutoka kwa
Lugemalila kiasi cha 1.6 billion. Ktk hili inaonekana wengi
wana mawazo tofautitofauti na misimamo mbalimbali...lkn kwa
mtazamo wangu bado sioni kosa la prof kwani aliyempatia hizo
hela ni safi na alilipwa kihalali na kulipia kodi TRA
kihalali kabisa. Nafikir Lugemalila alikuwa na haki na
uhalali wa kutumia kilicho chake kwa mapenzi yake.
Sioni kosa la Tibaijuka kwani hatuwezi jua wao wana
mahusiano yepi kibiashara. Ni nini mtazamo wako?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

To unsubscribe --

0 comments:
Post a Comment