Hali yako,
Nenda Hospitali ya Muhimbili, idara ya madawa asilia.
Hapo utapata msaada wa dawa inayo lete nafuu sana kwa waonjwa wa kifafa.
Aidha mmea unaotumiwa ni aina ya Hyptis Suaveolens.
Taarifa zaidi zipo huko muhimbili.
Pole sana.
M.MNZAVA
0713370555
On Thursday, December 11, 2014 11:14 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mrisho;
Katika meseji ya Faraja hapo chini kaweka namba zake za simu,kwa mrejesho wa haraka ni vema ukampigia kujua.
Reuben
From: Mrisho Choba <chobamrisho@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: farajalugome@yahoo.co.uk
Sent: Wednesday, December 10, 2014 8:28 AM
Subject: [wanabidii] Re: Naomba Msaa wa Kupata dawa ya Kutibu Kifafa
Habari wandugu,
Tunaweza pata mrejesho wa huyu ndugu. Alipata tiba iliyomsaidia. Kuna mtu anatatizo kama hilo na ningependa nimuunganishe ili naye apate tiba.
Mrisho
On Thursday, 19 June 2014 11:40:10 UTC+3, faraja kristomus wrote:
> Wapendwa Watanzania wenzangu,
>
>
> Nina ndugu yangu ana kijana wake amepata kifafa ukubwani akiwa na miaka 20. Ameugua toka mwaka 2011 na mpaka sasa hajapata matibabu ya kumponya. Alipata vipimo Muhimbili ikaonekana kuwa tatizo lake halitibiki ila aendelee tu kunywa dawa kila siku anapoenda kulala. Amekuwa akinywa hizo dawa na mara kadhaa amejaribu dawa za kienyeji na kuonyesha kupata nafuu lakini bado tatizo
> hujirudia.
>
>
> Kibaya zaidi anategemea kujiunga na vyuo mwaka huu. Akiendelea kuwa na hali itakuwa vigumu sana kwa wenzake vyuoni. Najua ndani ya jukwaa hili haliharibiki neno. Naombeni msaada wenu kwa wale wanaoweza kujua wapi anaweza kupata dawa za kuweza kumtibu huyu wa ndugu yangu. Naomba tuwasiliane kwa 0787525396 kama kuna sehemu ungependa tujaribu.
>
>
> Asanteni sana.
>
>
> Mr. Faraja Kristomus
> Department of Foreign Languages and Linguistics
> University of Dar es Salaam
> P.O.Box 35040, Dar es Salaam
> Tanzania
> Mobile: +255 787 52 53
> 96 / +255 717 086 135
>
> "All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment