Saturday, 13 December 2014

Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Thanks Frank...nafikiri wote mliokuwa mnafuatilia mada hii mmejihabarisha. Niliileta mada hii kutokana na ubishani fulani mahali fulani...kwa mtazamo wangu,Frank umeongea ukweli...nyakati tulizonazo ni nyakati za hatari...sio nyakati za kubeba mizigo isiyo na credit. Usife ndani ya ndoa kama unaona imekuwa tanzi kwako mpk wamkosea Mungu...jiongeze...nawe ambaye hujaoa au kuolewa...kama wawaka tamaa oa...lkn kama waweza jishughulisha na mambo ya Mungu...vema. kuoa au kutokuoa ni jambo la hiari naweza kusema ni wito.Mungu awabariki nyoote. Ngupula.

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula, nadhani ni wakati watu wanapooana au wakati wa ndoa. Ama ya kimila, kiserikali au ya kidini au wakati[mtu mzima] mke [ambaye hajaolewa] anapokubaliana na [mtu mzima] mme[ ambaye hajaoa] kuoana na kuishi pamoja katika maisha yao yote. Hapa tutofautishe na uzinzi au uasherati. Sheria ya ndoa inaweza kutoa ufafanuzi zaidi. Frank


From: 'Godfrey Ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 13, 2014 4:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Thanks, Frank ni kwa wakati upi mtu haswa anakuwa amefanyika kuwa mke au mme wa mtu....you can go beyond what bible says....experiences,etc.





From: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 13 December 2014, 9:00
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngupula,  Biblia katika  1Kor. 7 inasema, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila MWANAMUME awe na  MKE  [mmoja] wake mwenyewe, na kila MWANAMKE  awe na MUME [mmoja] wake mwenyewe. Mume na ampe mke haki yake[msinyimane] na hivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake[wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment