Magoli aliyofungwa dida a. K. A munishi wa yanga asingefungwa kaseja
On Dec 13, 2014 6:56 PM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngupula, nadhani ni wakati watu wanapooana au wakati wa ndoa. Ama ya kimila, kiserikali au ya kidini au wakati[mtu mzima] mke [ambaye hajaolewa] anapokubaliana na [mtu mzima] mme[ ambaye hajaoa] kuoana na kuishi pamoja katika maisha yao yote. Hapa tutofautishe na uzinzi au uasherati. Sheria ya ndoa inaweza kutoa ufafanuzi zaidi. Frank
From: 'Godfrey Ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 13, 2014 4:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Thanks, Frank ni kwa wakati upi mtu haswa anakuwa amefanyika kuwa mke au mme wa mtu....you can go beyond what bible says....experiences,etc.
From: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 13 December 2014, 9:00
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Ngupula, Biblia katika 1Kor. 7 inasema, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila MWANAMUME awe na MKE [mmoja] wake mwenyewe, na kila MWANAMKE awe na MUME [mmoja] wake mwenyewe. Mume na ampe mke haki yake[msinyimane] na hivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake[wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment