Tuesday, 9 December 2014

Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

So far kwa wachangiaji hao wawili,kuoa mke zaidi ya mmoja ni ukahaba na uhayawani....ikimaanisha kuwa Yakobo,daudi,babake samweli(elkana),solomoni.....walikuwa ni makahaba na mahayawani....... lkn pia maandiko yote yoliyotolewa so far hakuna lililosema kuoa mke mmoja....na kuwa mwili mmoja hakumaanishi mke mmoja................mke ni ubavu ktk mbavu zako na ni ukweli kuwa mwanaume ana mbavu zaid ya.moja....mke ni msaidiz wako na swali langu ni kuwa upo ubaya gani wa kuwa na msaidiz zaid ya mmoja kama uwezo upo?.............paulo akasema atakaye cheo cha askofu na awe mme wa mke mmoja....na asiyetaka cheo hicho je? unajua uvivu wa kufikiri ndio mwanzo wa shida mbalimbali....mtu unaambiwa mwanamke na mwanaume ni sawa....lkn hujiulizi ni sawa katika nini? toka lini main yaka sawa na mguu..au toka lini figo ikawa sawa na shingo....na ni usawa gani tunaozungumzia hapa? Hao wazungu tunaowafuata walianza na mke mmoja na mme mmoja ndio sheria ya Mungu....walipoona imekula kwao wakaja na ndoa za mkataba.....na sasa wamekuja na ndoa za jinsia moja...na yote hayo tunarithishwa kama kondoo wa kafara..... hilo suala la haki sawa lisipotafsiriwa vizuri litaleta shida....kutakuwa hakuna ndoa....ulaya wanaume wengi wanakimbilia china,malasia,blazil kuoa wamechindwa kukimbizana na haki sawa.....Mungu hajawahi kutoa haki sawa.........alisema naye atakutawala na tamaa yako itakuwa juu ya mumeo...

'Juda Semali' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Yamkini Ngapula anataka maandiko, Kama ni hivyo, akasome 1Kor. 7:2; Marco 10:7-9; na Mwa. 1:27-8 & Mwa. 2:18&21-24

Mwanamume atawaacha Baba yake na Mama yake, ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Unapooa zaidi ya mke mmoja wewe ni KAHABA 1Kor. 6:15-20 & 6-12

Mungu akusaidie ufunguke kutoka ktk mawazo yako potofu, upate kumjua kwa ukaribu wa tofauti.

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "'weston mbuba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 10 Dec 2014 06:33:36 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngupula unatupotosha. Mke ni mmoja. Haya mengine ni ubinafsi, tamaa, ufahari wa kijinga, uamuzi potofu na hulka ya uhayawani.


On Tuesday, December 9, 2014 12:41 PM, salumkango via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Sent from my smartphone on the new Vodafone network


Nilitaka kujibu hili swali lkn niliposoma mpaka mwisho nikagundua kuwa mwandishi anawakusudia Wakristo tu na nafikiri wao watakuwa katika nafasi nzuri kujibu.


S. Mkango.

Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kwa wakristo imezoeleka kuwa kuoa mke mmoja ndio sahihi mbele za macho ya Mungu...na karibia wakristo wote hawapingani katika hilo. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Mungu hajawahi kutoa amri kuwa mwanamme aoe mke mmoja au wake wengi. Hivyo basi kuoa mke mmoja kimsingi imetokana na tunda la kiasi kwa watoto wa Mungu na sio amri ya Mungu. Kwa kadri ya mtume Paulo kuoa ni kwa ajili ya tamaa ya mwili. Na anayeoa anapoteza credit kwa Mungu kwani atajishughulisha na mambo ya mke na si Mungu...kwa kadri ya biblia,Mungu alikataza watu wake wasioe watu wa imani tofauti kwani watawakengeusha moyo..ni kweli ndoa za wake wengi zina matatizo mengi lkn hata za mke mmoja zina matatizo mengi pia...lengo la kuandika mada hii ni kujilirisha kuwa je ni amri ya Mungu kwa wakristo kuoa mke mmoja tu au ni tafsiri za waliotutangulia? lkn kiukwel hata kuoa huyo mke mmoja Mungu hakutoa amri..ni hiari...je basi hiyo amri ya mume mmoja mke mmoja imetokea wapi?
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment