'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Wanaharakati wa ndoa za jinsi moja walianza hivi hivi wakijiita ni wakristo lakini mashoga(christian homosexuals). Gia yao ni kama hii, je, ni amri ya Mungu? Lakini ukishakuwa shoga, je, wewe kweli ni Mkristo? Ona walivyoweza kujenga hoja kama hii, na hata kupata msaada wa kisheria katika baadhi ya nchi. Kwa sasa wameenea dunia nzima. Wanaharakati wa Kikristo wa kutetea haki za ndoa za wake wengi, hutumia janja hiyo hiyo. Hawa jamaa, huanza kisirisiri na nyumba ndogo, na kisha kutafuta jinsi ya kuhalalisha. Watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na sooner or later Mungu atawafunua jinsi walivyo ma mbwa mwitu. Frank
From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, December 11, 2014 10:50 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Una lako jambo Ngupula
On Thursday, December 11, 2014 7:43 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Baada ya Adamu na Hawa kumtenda dhambi Mungu na kujijua kuwa wa uchi..Bwana Mungu akamfanyizia Adam na Hawa vazi la ngozi na kuwavika...nakuomba ndugu Charles uniambie hiyo suti ndio Mungu alikupatia?ulitumia akili yako ukajiongeza...hivi ninyi mnadhani ni watakatifu kuliko yakobo,daudi....tatizo la wanadamu wa leo mnatumia akili.kidogo katika mambo yenu lakini mambo ya ajabu mnayajua vizuri sana Sitashangaa watu wakijua ingredient zote za bia lkn hawajui igredients za hata panadol...jibu halis la mke mmoja au wake wengi ni ustaarabu tu wa mwanadamu..Mungu hajawahi mpangia mtu...hebu tujiulize....zipo siku 5 za mwanamke kupata mtoto wa kike....lkn ipo siku moja tu za mwanamke kupata mtoto wa kiume...hivyo ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume...Nini nini logic behind?halafu mnasema Mungu alisema mke mmoja na mume mmoja ..halafu hao wanawake wengine waende wapi?Mungu sio mdhalimu kiasi hicho.....juzijuzi tu hapa tulikuwa tunaoa mpk mimba leo dada zetu wanazagaa tu mitaani kisa....eti mzungu katuaminisha mke mmoja na mke mmoja...mh?
'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngulupa acha kupotosha njiambie wapi na katika kitabu gani ambapo inaelezwa kuwa Mungu alimuumbia Adamnu wake wengi. Tunaambiwa alimuua --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment