Mpe. Analeta politiki kwenye Biblia.
On Sunday, December 14, 2014 10:25 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngupula;
Katika masuala ya imani au bible sidhani kama kuna suala la uzoefu (experience) kama unavyosema hapo chini.
Kutumia uzoefu ni kutupotosha tafadhali.
Bible ni static la sivyo kama ni suala la uzoefu mpaka leo tungekuwa na Bible version nyingi sana.
Reuben
From: 'Godfrey Ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 13, 2014 5:13 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
--Thanks, Frank ni kwa wakati upi mtu haswa anakuwa amefanyika kuwa mke au mme wa mtu....you can go beyond what bible says....experiences,etc.
From: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 13 December 2014, 9:00
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Ngupula, Biblia katika 1Kor. 7 inasema, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila MWANAMUME awe na MKE [mmoja] wake mwenyewe, na kila MWANAMKE awe na MUME [mmoja] wake mwenyewe. Mume na ampe mke haki yake[msinyimane] na hivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake[tendo la ndoa] Mke [singular] hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe [singular] .( Mst. 1-5)Kuoa au kuolewa sio lazima. Ni heri mwanamume asioe kabisa. Lakini ikiwa hawezi kujizuia, na aoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa . (Mst.8-9).Sababu za kuachana zinayoruhusiwa ni mbili tu. Moja ni ya uzinzi na/ au uasherati uliodhihirika wa kiroho au kimwili na mtu hataki toba na kuacha uovu huo na ya pili ni kifo. Vinginevyo mmefungwa. Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi ila Bwana;[amri ya Mungu] MKE ASIACHANE NA MUMEWE. Lakini, ikiwa wameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; TENA MUME ASIMWACHE MKEWE. (Mst. 10-11). Frank
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, December 12, 2014 10:57 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Yes,Frank..wakati wote uwe unajibu hoja namna hii utakuwa kijana mzuri....achana na wazo la mke zaidi ya mmoja, unazungumziaje kwa wale wanaume ambao wameamua wasioe kabisa kwa hilo andiko la marko 10?maana inaonekana kama Bwana Yesu alikuwa anasema maadam ni lijali ni lazima uoe.....na pia Yesu alisema,kwa sababu ya uasherati waweza mwacha mke au mme....swali langu kwako je...mkiachana namna hiyo, je ni ruksa kuoa au kuolewa? na kama ni ruksa,amri ya marko 10 haiwafungi? ....na kama haiwafungi...lete evidence...
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Basi Mafarisayo wakamwendea [Yesu] wakamuuliza, Je! ni halali mtu kumwacha mkewe? Huku wakimjaribu. Naye akajibu, akawaambia, MUSA aliwaamuru nini? Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha. Yesu akawaambia, KWA SABABU YA UGUMU WA MIOYO YENU aliwaandikia amri hii. LAKINI TANGU MWANZO WA KUUMBWA ULIMWENGU alifanywa mume na mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; NA HAO WAWILI watakuwa MWILI MMOJA; hata wamekuwa SI WAWILI TENA, bali mwili mmoja. [Amri ya Mungu].Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. AKAWAAMBIA,[Amri ya Mungu] kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine AZINI juu yake na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine AZINI. (Marko 10:1-12)Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia,[Amri ya Mungu] Kila atakayemwacha mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini. (Mathayo 5:31-32)Wakristo tunaamini kwamba kitanda cha ndoa ni lazima kiwekwe katika hali ya usafi na kwamba dhambi zote za uasherati ni pamoja na uzinzi, ulawiti, uandishi na utoaji picha za uasherati, na njia yoyote ya kujisisimua viungo vya uzazi yote haya ni chukizo kwa Mungu ni lazima yazuiwe kuendekezwa. (Math. 5:31-32; Waebrania 13:4; 1Kor. 6:9-10). Frank
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, December 12, 2014 10:02 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Mambo ya ushoga yamekatazwa live katika vitabu vyote vya dini ya kikristo na kiislam..kwa hiyo hao waliotumia hivyo vitabu kwa uharakati wao wallvitumia kimakosa...mataifa yote ya afrika yanakubaliana kuwa ushoga ni haramu na upingwe kwa nguvu zote...........halafu Frank hebu rejea kwenye sara ya baba yetu wa mbinguni.....kuna mstari unasema Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni.....mbinguni watu hawaoi au kuolewa...na kuoa au kuolewa ni kwa sababu ya udhaifu wa mwili....ndio maana wenye nguvu zao kama Yesu,Paulo,Yohana mbatizaji,melikizedeki,etc hawajawahi kuoa. Hivyo hata huyo mke uliye naye ni kwa sababu ya ushaifu wako...ni mapenzi ya Mungu ufanyike kuwa towashi kwa ajili ya Mungu. Ni mapenzi ya Mungu watu wasioe au kuoana kabisa ktk siku hizi za mwisho ambazo ni nyakati za hatari......Lakini kwa kuwa Mungu anajua watu wanazidiana udhaifu....akaruhusu kuoa.na kwa kuwa pia anajua asilimia 90 ya wakristo wengi duniani ndio final destination na wengi ni wadhaifu sana,hakuweka limit ya idadi ya wake...watu kama akina Frank ambao wanadhani wanajua zaidi ya wengine ndio wameleta shida hii....Ngupula
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Wanaharakati wa ndoa za jinsi moja walianza hivi hivi wakijiita ni wakristo lakini mashoga(christian homosexuals). Gia yao ni kama hii, je, ni amri ya Mungu? Lakini ukishakuwa shoga, je, wewe kweli ni Mkristo? Ona walivyoweza kujenga hoja kama hii, na hata kupata msaada wa kisheria katika baadhi ya nchi. Kwa sasa wameenea dunia nzima. Wanaharakati wa Kikristo wa kutetea haki za ndoa za wake wengi, hutumia janja hiyo hiyo. Hawa jamaa, huanza kisirisiri na nyumba ndogo, na kisha kutafuta jinsi ya kuhalalisha. Watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na sooner or later Mungu atawafunua jinsi walivyo ma mbwa mwitu. Frank
From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, December 11, 2014 10:50 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?
Una lako jambo NgupulaOn Thursday, December 11, 2014 7:43 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Baada ya Adamu na Hawa kumtenda dhambi Mungu na kujijua kuwa wa uchi..Bwana Mungu akamfanyizia Adam na Hawa vazi la ngozi na kuwavika...nakuomba ndugu Charles uniambie hiyo suti ndio Mungu alikupatia?ulitumia akili yako ukajiongeza...hivi ninyi mnadhani ni watakatifu kuliko yakobo,daudi....tatizo la wanadamu wa leo mnatumia akili.kidogo katika mambo yenu lakini mambo ya ajabu mnayajua vizuri sana Sitashangaa watu wakijua ingredient zote za bia lkn hawajui igredients za hata panadol...jibu halis la mke mmoja au wake wengi ni ustaarabu tu wa mwanadamu..Mungu hajawahi mpangia mtu...hebu tujiulize....zipo siku 5 za mwanamke kupata mtoto wa kike....lkn ipo siku moja tu za mwanamke kupata mtoto wa kiume...hivyo ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ni wengi zaidi ya wanaume...Nini nini logic behind?halafu mnasema Mungu alisema mke mmoja na mume mmoja ..halafu hao wanawake wengine waende wapi?Mungu sio mdhalimu kiasi hicho.....juzijuzi tu hapa tulikuwa tunaoa mpk mimba leo dada zetu wanazagaa tu mitaani kisa....eti mzungu katuaminisha mke mmoja na mke mmoja...mh?
'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Ngulupa acha kupotosha njiambie wapi na katika kitabu gani ambapo inaelezwa kuwa Mungu alimuumbia Adamnu wake wengi. Tunaambiwa alimuua --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

--

0 comments:
Post a Comment