Wednesday, 10 December 2014

Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngupula, hii mada ilishajadiliwa sana hapa jamvini na sio mada mpya na sio mara ya kwanza. Na ilihitimishwa vizuri tu. Ukiwa Mkristo unayedai umeokoka, hutakiwi kuwapotosha watu. Wewe si uliwahi kumwomba Mungu? mpaka akakuambia ni nani raisi ajaye baada ya JK? Je, kuokoka kwako kote huko huwezi kujua ni nini hasa  mapenzi ya Mungu katika suala dogo kama hili la ndoa kwa Wakristo?. Najua huwezi kuzizungumzia imani nyingine kwa sababu huzifahamu, lakini kwa Kikristo katika Agano Jipya, hapa umetia aibu. Najua kuna watu wengi wanaodai kuokoka kama wewe, na hata wachungaji lakini wana michepuko. Ni comedians wazuri tu na wanajenga hoja za kisanii kama hizi ili kuhalalisha, au/na kujiridhisha katika dhamiri zao. Lakini ukweli utabakia pale pale, na utasimama na utashinda. Frank 


From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, December 10, 2014 9:33 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mke mmoja au wake wengi,je ni ipi amri ya Mungu?

Ngupula unatupotosha. Mke ni mmoja. Haya mengine ni ubinafsi, tamaa, ufahari wa kijinga, uamuzi potofu na hulka ya uhayawani.


On Tuesday, December 9, 2014 12:41 PM, salumkango via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Sent from my smartphone on the new Vodafone network


Nilitaka kujibu hili swali lkn niliposoma mpaka mwisho nikagundua kuwa mwandishi anawakusudia Wakristo tu na nafikiri wao watakuwa katika nafasi nzuri kujibu.


S. Mkango.

Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kwa wakristo imezoeleka kuwa kuoa mke mmoja ndio sahihi mbele za macho ya Mungu...na karibia wakristo wote hawapingani katika hilo. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Mungu hajawahi kutoa amri kuwa mwanamme aoe mke mmoja au wake wengi. Hivyo basi kuoa mke mmoja kimsingi imetokana na tunda la kiasi kwa watoto wa Mungu na sio amri ya Mungu. Kwa kadri ya mtume Paulo kuoa ni kwa ajili ya tamaa ya mwili. Na anayeoa anapoteza credit kwa Mungu kwani atajishughulisha na mambo ya mke na si Mungu...kwa kadri ya biblia,Mungu alikataza watu wake wasioe watu wa imani tofauti kwani watawakengeusha moyo..ni kweli ndoa za wake wengi zina matatizo mengi lkn hata za mke mmoja zina matatizo mengi pia...lengo la kuandika mada hii ni kujilirisha kuwa je ni amri ya Mungu kwa wakristo kuoa mke mmoja tu au ni tafsiri za waliotutangulia? lkn kiukwel hata kuoa huyo mke mmoja Mungu hakutoa amri..ni hiari...je basi hiyo amri ya mume mmoja mke mmoja imetokea wapi?
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment