Tuesday, 16 December 2014

Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO YA BUNGE

Msomi yeyote anaye kubali kufanya kazi kama waziri katika serikali hii ujue amenunua kashfa na dharau ya bei rahisi.
--------------------------------------------
On Tue, 12/16/14, 'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO YA BUNGE
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 16, 2014, 12:11 PM

Mhongo kweli ni msomi lakini kwa sasa
hafai.Dar Mwakyembe anafiti nafasi hiyo,anayefuatia Mwigulu
nchemba na wa mwisho ni Dr kafumu.

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Nafikiri kwa upepo ulivyo Rais hata angeweza kuwa na
sababu za kumtetea Muhongo hawezi kuthubutu kufanya hivyo
labda akishauriwa vibaya.
>
>nafikiri kwa hali ilivyo na kwa kuzingatia kuwa wizara
hiyo sana sana inahitaji utaalamu wa sheria maana inategemea
uwekaji wa mikataba ya uwekezaji basi Dr. Harison G.
Mwakyembe anaweza kumfaa rais akipewa uwaziri katika wizara
ya Nishati na madini.
>
>Kumfaa Rais: Nina maana kuwa kila mmoja anaona kuwa
wananchi wamechoka. Wameanza kuonyesha hasira yao kwa Rais
na Chama chake. Mabadiliko katika nafasi hiyo vinaweza
kukipa chama nafasi ya kupumua na kujipanga. Mwakyembe
anakubalika utendaji wake na ukweli kwa alisemalo. Hakuna
harufu ya ufisadi ndani ya utendaji wake, hivyo anaweza
kumfaa.
>--------------------------------------------
>On Tue, 12/16/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] RAIS KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI
MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO YA BUNGE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, December 16, 2014, 9:44 AM
>
> RAIS
> KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA
MAAZIMIO
> YA BUNGE:Je!
> Mhongo ataendelea Kuonekana Mwongo kwa Rais Kikwete au
ni
> Chuki za Madalali wa Gesi?Je!
> Iwapo Mhongo ataondolewa kwenye nafasi aliyopo,
unafikiri ni
> Nani Mwenye Uwezo wa Kumrithi ili Wizara ya Nishati na
> Madini iweze kujiendesha kwa Ufanisi?
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment