Friday, 19 December 2014

Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA MBASHA

Mnasubiri nini kujua nani ndiye chanzo cha tatizo?Ni mkristo gani aliyeokoka na kumjua Mungu anaweza dai talaka mahakamani?tena sababu zenyewe eti kupigwa nk..huyo dada alishakengeuka....pole sana Mbasha...

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Shida ni kukaribisha nafsi ya tatu. Tena ni vigumu kujua iliingilia wapi kati ya pande hizi mbili. Baada ya taraka chunguza maisha ya kila mmoja tutajua uharibifu ulianzia kwa nani. Umdhaniaye ndiye siye.
>--------------------------------------------
>On Fri, 12/19/14, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA MBASHA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, December 19, 2014, 5:41 PM
>
> Mwimbaji
> wa nyimbo za injili nchini Tz Flora mbasha jana alifungua
> kesi ya madai mahakama ya kisutu jijini dar es Salaam Flora
> ameiomba ivumje ndoa yeke na Emanuel mbasha na apewa talaka
> na mbasha pamoja na mtoto amlee yeye mwenyewe poa wagawane
> mali walizochuma pamoja pia aache kulitumia jina la
> mbashaFlora
> aliiambia mahakama kuwa alishafikilia sana kwa muda kuhusu
> ndoa yake upendo ulipotea tangu mwaka jana alikuwa anamipiga
> mbasha na kuninyanyasa na alishindwa kumpatia matibabu kesi hiyo namba 64 ya mwaka
> huu ipo chini ya hakimu Devota kisoka wa mahakama hiyo kei
> hiyo itaanza kysikilizwanimeamini mume sio ndugu yako na
> mke sio ndugu yako au mpenzi sio ndugu yako yakiisha mapenzi
> yanaisha hata raha mlizokuwa mnapeana hamkumbuki tena pia
> hata kiapo mlichokula cha kusema nitavumilia ktk shida na
> raha kifo tu kitatutenganisha na maneno hayo huwa
> hayakumbukwi Mungu atupe uvumilivuWapendwa tunafunza
> nini ndoa ya watu maalufu Flora mbasha na mume wake
> ukizingatia wamekaa kwa muda mrefu wakiwa wanandoa wao ndio
> kioo cha jamii
> On Friday, December 19, 2014 5:36:33 PM UTC+3, James Patrick
> wrote:Amwachae mumewe na
>  kuenda kwa mwanaume mwingine ni uzinzi, na amwachae
> mkewe na kwenda kwa mwanamke mwingine naye azini
> pia
> On Thu, Dec 18, 2014
> at 6:46 PM, Abdalah Hamis <hami...@gmail.com>
> wrote:NATAKA
> TALAKA YANGU
> Mwimbaji
> wa Nyimbo za Injili Flora Mayala maarufu kama Flora Mbasha
> amefungua kesi ya madai dhidi ya mume wake Emmanuel Mbasha
> kuomba talaka na kugawana mali zote walizochuma wakiwa
> katika ndoa.
> unawashauri
> nini hawa ndugu?,
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+...@ googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+...@
> googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/
> optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment