Friday, 19 December 2014

Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA MBASHA

Ngulupa
Wanaharakati watakubonda mawe! Kumsema mwanamama kuwa amekosea inabidi uwe na roho ngumu maana wana utetezi mpana. Lakini kuwa mkweli toka mwanzo wa mgogoro huu ilionekana wazi kuwa Mama huyu anaweza kuwa chanzo. Ndiyo maana nasema tuwape muda. Mpeni taraka baada ya mwaka mmoja leteni historia zao utaona uharibifu ulianzia wapi.
Umenena Ngupula Watu hwa wanaitwa waimbaji wa muziki wa injiri. wanaitwa wasanii. si wahubiri. Wangetaka kuhubiri wangekuwa waimbaji wa nyimbo za injiri. Wasingekuwa wanatafuta utajili garama zao zingekuwa za chini. Sasa na hii ni biashara kama kuuza bangi na maharagwe.
--------------------------------------------
On Fri, 12/19/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA MBASHA
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 19, 2014, 6:16 PM

Mnasubiri nini kujua nani ndiye
chanzo cha tatizo?Ni mkristo gani aliyeokoka na kumjua Mungu
anaweza dai talaka mahakamani?tena sababu zenyewe eti
kupigwa nk..huyo dada alishakengeuka....pole sana Mbasha...

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Shida ni kukaribisha nafsi ya tatu. Tena ni vigumu kujua
iliingilia wapi kati ya pande hizi mbili. Baada ya taraka
chunguza maisha ya kila mmoja tutajua uharibifu ulianzia kwa
nani. Umdhaniaye ndiye siye.
>--------------------------------------------
>On Fri, 12/19/14, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA
MBASHA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, December 19, 2014, 5:41 PM
>
> Mwimbaji
> wa nyimbo za injili nchini Tz Flora mbasha jana
alifungua
> kesi ya madai mahakama ya kisutu jijini dar es Salaam
Flora
> ameiomba ivumje ndoa yeke na Emanuel mbasha na apewa
talaka
> na mbasha pamoja na mtoto amlee yeye mwenyewe poa
wagawane
> mali walizochuma pamoja pia aache kulitumia jina la
> mbashaFlora
> aliiambia mahakama kuwa alishafikilia sana kwa muda
kuhusu
> ndoa yake upendo ulipotea tangu mwaka jana alikuwa
anamipiga
> mbasha na kuninyanyasa na alishindwa kumpatia matibabu
kesi hiyo namba 64 ya mwaka
> huu ipo chini ya hakimu Devota kisoka wa mahakama hiyo
kei
> hiyo itaanza kysikilizwanimeamini mume sio ndugu yako
na
> mke sio ndugu yako au mpenzi sio ndugu yako yakiisha
mapenzi
> yanaisha hata raha mlizokuwa mnapeana hamkumbuki tena
pia
> hata kiapo mlichokula cha kusema nitavumilia ktk shida
na
> raha kifo tu kitatutenganisha na maneno hayo huwa
> hayakumbukwi Mungu atupe uvumilivuWapendwa tunafunza
> nini ndoa ya watu maalufu Flora mbasha na mume wake
> ukizingatia wamekaa kwa muda mrefu wakiwa wanandoa wao
ndio
> kioo cha jamii
> On Friday, December 19, 2014 5:36:33 PM UTC+3, James
Patrick
> wrote:Amwachae mumewe na
>  kuenda kwa mwanaume mwingine ni uzinzi, na amwachae
> mkewe na kwenda kwa mwanamke mwingine naye azini
> pia
> On Thu, Dec 18, 2014
> at 6:46 PM, Abdalah Hamis <hami...@gmail.com>
> wrote:NATAKA
> TALAKA YANGU
> Mwimbaji
> wa Nyimbo za Injili Flora Mayala maarufu kama Flora
Mbasha
> amefungua kesi ya madai dhidi ya mume wake Emmanuel
Mbasha
> kuomba talaka na kugawana mali zote walizochuma wakiwa
> katika ndoa.
> unawashauri
> nini hawa ndugu?,
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+...@ googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+...@
> googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/
> optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment