Tuesday, 9 December 2014

Re: [wanabidii] MHESHIMIWA SHYROSE BHANJI AIDHALILISHA TANZANIA

Pole sana. Nadhani tusikurupuke kuhitimisha hoja fulani kwa kusikiliza upande mmoja wa shilingi. Mhe. ShyRose amethibitishwa kuwa hizo ni shutuma ambazo hazina msingi wowote na pia ametoa sababu za kutosha kuthibitisha lililosemwa dhidi yake.

Kwa upande wangu naomba kumshauri Mhe. ShyRose achukuwe hatua za kisheria dhidi ya hao wanaomsingizia kufanya vitendo hivyo.

Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sat, 10/25/14, 'Nyabenda' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MHESHIMIWA SHYROSE BHANJI AIDHALILISHA TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, October 25, 2014, 1:05 PM

Kabla ya kutetea ama kukanusha mada
lazima tujiulize; mleta mada anasema shy rose alikuwa
analewa ovyoovyo, pombe alikuwa anapata wapi??? Kwani kwenye
ndege ni self-service?!. Na kwamba alichukua chupa
akavunja!!! Alichukua wapi?!!, mleta mada ametumwa, si bure,
ningekuwa mod ningemuadhibu kwa kuleta uongo
Sent from Huawei Mobile

'misangocharles' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Pole sana, .niliposoma tuhuma hizo mara moja nikapata shaka
juu ya ukweli wenyewe. Kwa wanaojua sheria za anga wataishia
kushangazwa na tuhuma hizo. Na usishangae ukijua wapo walio
nyuma ya mchezo huo ambao ni makada wenzako ambao uendeshaji
wako wa siasa na hasa unapochangamana na wapinzani
wanakereka sanaaa maana kwao upinzani ni ushetani


Sent from my Huawei Mobile

'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Mimi
Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania,
ninapinga vikali
na kwa nguvu zote shutuma zilizotolewa dhidi yangu kupitia
mitandao
mbalimbali ya kijamii. Shutuma hizi hazina ukweli wowote na
zinalenga, si kuniharibia, bali kuchafua sifa yangu na
utendaji kazi
wangu katika Bunge la Afrika Mashariki. Lengo kuu la shutuma hizo
ni kunivunja nguvu na ari ya kutetea maslahi ya nchi yangu
na
Watanzania wenzangu kwani daima nimekuwa kikwazo na mwiba
kwenye ajenda
zinazokiuka maslahi ya Tanzania. Kwa mfano ardhi ya Tanzania
kugawiwa kwa wana Jumuiya ya Afrika Mashariki ni kinyume na
Sera ya
Tanzania. Nimekuwa miongoni mwa wabunge wa Tanzania tulio
mbele katika
kulipinga suala hilo. Sishangai likinijengea
uadui. Isitoshe,
kwenye ajenda ya kumuondoa madarakani Spika wa EALA, Dk.
Margaret Zziwa,
nilisimama kidete kwa kutounga mkono kwa sababu halikuwa na
maslahi ya
Tanzania na yalikuwa kinyume na malengo ya ushirikiano wa
Jumuiya nzima.
Hoja ya kumuondoa Spika ilikuwa ni sehemu ya 'mchezo
mchafu' ya ajenda
ya siri ya kumweka kwenye nafasi hiyo mjumbe mwingine kwa
maslahi ya
wachache. Jaribio
hili la kumuondoka Spika lilifanywa na
kushindikana mara tatu baada ya kukosa sahihi za kutosha
kutoka
Tanzania, ikiwamo ya kwangu. Baada ya kampeni ya kumwondoa Spika
kushindwa, wabunge kadhaa walikuwa wanasusia vikao vya Bunge
wakati
wameshachukua posho za vikao. Kwa mfano kikao kilichofanyika
hivi
karibuni hapa Dar es Salaam. Malumbano ndio yamekuwa yakitawala
na kuinyima Bunge akidi ya kuendelea na ajenda za
mtangamano. Huu ni
usaliti wa wazi kwa nchi zilizowachagua na kuwatuma katika
Bunge la
EALA. Ukijaribu
kuwaasa kwamba mwenendo huo si sahihi, unageuka kuwa
adui.
Na sasa wameamua kunitukana na kuzusha tuhuma kadhaa
kupitia mitandao
ya kijamii ambako yote ni utunzi wa kisanii usiokuwa na
chembe ya
ukweli, uhalali wala ushahidi. Wahenga walisema 'akutukanaye
hakuchagulii tusi'. Walete ushahidi wa tuhuma zote dhidi
yangu.
Kwa mfano, shutuma kwamba nililewa pombe ndani ya ndege,
kuvunja chupa,
kufanya fujo na kufungwa pingu wakati wa safari ya Ubelgiji
si kweli
hata kidogo. Kama
hizi tuhuma ni za kweli, kwanini hazikupelekwa polisi,
serikalini au vyombo vingine vya sheria baada tu ya
tukio?
Ijewe wamesubiri wiki mbili baada ya madai hayo ya tukio la
kutunga
ndipo wajitokeze wakati wa kikao kinachoendelea mjini
Kigali, Rwanda?
Kwanini wasubiri kikao cha Kigali ndipo uzushi huu
utolewe?
Tuhuma kwamba nimewatukana marais wa nchi tatu hazina
mashiko isipokuwa
kuhalalisha kampeni ya wale wanaonichafua na kuibua chuki
kwa maraisi na
raia katika nchi za Kenya, Rwanda na Burundi. Ninayo heshima
kubwa sana kwa marais wa nchi zote tano na raia wa nchi
wanachama ambako
mara zote nimepokewa na kuishi kwa amani na upendo katika
nchi hizo.
Naahidi kuedeleza heshima hii. Hainiingii kichwani ni wapi
nilipoteza heshima hii isipokuwa kwa wale wasionitakia mema
ambao
wamekusudia kufanikisha ajenda zao. Shutuma zote dhidi yangu
zimetengenezwa na watu ambao hatushabihiani katika hoja zetu
na sishangai kwa hilo.
Mimi ni Mtanzania na ni Mbunge wa Tanzania. Hivyo nina
wajibu wa
kulinda na kutetea maslahi ya Watanzania ili kuleta
mtangamano wenye
uwiano sawa kwa nchi zote wanachama. Ninaahidi nitaendelea
kuwatumikia Watanzania kwa nguvu zangu zote na kutoa
ushirikiano kwa
wabunge wengine wa EALA kwa manufaa ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki. Nimeyasema haya nikiamini kuwa:
"Uongo ukiachwa usemwe mara nyingi unaweza kuaminiwa kuwa
ni ukweli."
Umoja Wetu Ni Nguzo Yetu Mungu ibariki Afrika
Mashariki
Asanteni,
Shy-Rose Bhanji

Mbunge
EALA 


On Saturday, 25
October 2014, 3:59, Hildegarda Kiwasila
<khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:


Amekanusha
vibaya sana ktk facebook na ametoa mifano ya njama
anazofanyiwa.



On Friday, 24
October 2014, 21:07, Hildegarda Kiwasila
<khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:



 Jionee
+255762544553/754763803

On Friday, 24 October 2014, 14:16, 'lucas
haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Dr
tunakawaida ya kuhukumu mapema hivyo?
--------------------------------------------
On Fri, 10/24/14, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] MHESHIMIWA SHYROSE BHANJI AIDHALILISHA
TANZANIA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 24, 2014, 12:50 PM

Halafu na wewe
unamuita 'mheshimiwa' tena?
 




2014-10-23
17:56
GMT+03:00  <mchunguzihuru@gmail.com>:
Shyrose
Bhanji kazua balaa
kwenye Bunge la EAC huko Kigali jana na

leo! Walioandika trh 8 kwenda Brussels kwenye Bunge la EU
members wote wa Tume yao na Wenyeviti wa
Kamati. Wakiwa
safarini kwenda ndani ya
ndege sijuwi kukosa ile lishe
aliyoizoea?
Akawa anakunywa kama kichaa! Crews wakamzuia
kuwa kwakuwa ndege ni ya mchana asinywe
kupitiliza. Akaanza
kutukana crews matusi
yote unayoyajua!Akawaambia
hawajuwi kama
yeye ni mbunge wa EAC? Akaanza kufanya fujo

ndani ya ndege, akachukua
chupa akapasua!
Hapa security ndani ya ndege wakamkamata na

kumtia pingu! Maneno yakawa yanamtoka ovyo. Wenzie
walipojaribu kumtuliza wa kutoka Rwanda na
mwingine Uganda
(names withheld)
akawageukia, tukana hadi marais wao hya

kutosha! Hapo walikuwa juu ya anga ya Cairo.Pilot akakataa
kuendelea na
safari akataka kushusha ndege
Cairo. Walimsihi sana Pilot
ndio akakubali
kwa masharti Shyrose adhibitiwe!Walipofika

Brussels vituko havikuishia hapo. Kwenye mikutano
anabwabwaja ovyo. Mbaya zaidi akaandika
ki-note na kukiweka
mgongoni ili walio row
ya nyuma yake wakisome. Kiliandikwa
kuhusu
yule mbunge/Waziri wa EAC aliyefariki kuwa amekufa
kwa UKIMWI, na kwa kuwa amelala na Wabunge
wanawake wa EALA
(kawaandika majina kwenye
ki-note) nao wana UKIMWI kwa kuwa
wanaumwa
mara kwa mara.Wakamaliza ziara
ambayo hata
Spika wa EALA alikuwepo, Wabunge toka Tz

waliokuwepo pamoja na Shyrose ni Kimbisa na Angella
Kizigha;
kwa rekodi mbaya!Sasa Bunge la
EALA
limeanza vikao juzi, jana Bunge
limevunjika, hawataki
kujadili Miswada wala
nini hadi Shyrose ajadiliwe Bungeni
kwa
mambo ya aibu aliyoyafanya ktk ziara hiyo. Bunge
likavunjika!Leo asbh kulikuwa

na kikao cha House Business, ambacho kwa huku Bongo ni
kama
Kamati ya uongozi. Agenda ni Shyrose
na kuvunjika kwa Bunge
jana. Kikao
kimevunjika na Wajumbe wote wamejiuzulu!

Wanasema kwanini Spika hakumkemea Shyrose alipofanya
ujinga
kwenye ndege? Kwanini hamuwajibishi
kwa kumfukuza Bungeni
ilhali anajua sifa
zote mbaya za Shyrose tangu ameingia
EALA?
Sasa hivi wote wamejiuzulu na sasa si tu wanataka
Shyrose afukuzwe bali na Spika ajiuzulu mara
moja!Wajumbe wanadai
walipojitoa na
kujiuzulu, Spika peke yake hajajitoa, hivyo

naye aende na maji! Yaani hakuna kinachoendelea, Wabunge
wanasema Bunge halitaendelea wala kufanyika
hata kwa miaka
10 ijayo hadi Shyrose na
Spika waondoke!Hii ni aibu kubwa
kwa nchi
yetu! Kila Shyrose anapopita hukosi kusikia

kapigana, kagombana, katukana au kufanya mambo ya aibu!
Hapo
EALA kagombana na watu wengi kuanzia
Wabunge wenzie hadi
staff.Nitaendelea
kuwajulisha kinachoendelea. Vilugho mnyetishie
ta
Nanka.Fuatilieni website
ya Eac na ile ya Bunge lao huwa wapo
live www.eala.orgMajanga!



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer
and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.











--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment