Ndugu Elisa..ni Mrema na Thomas Ngawaiya ndio waliolibeba suala la mahakama ya kadhi ni kulifanya kuwa agenda ya kibunge. Mtu kama Membe,usalama wa taifa mzoefu halafu anakuja ns agenda za kuipigania OIC tena hata kwa kurubuni watu....conclusion ya wakristo wengi huyo ni Religious and Political blind. Hafai kabisa kuwa kiongoz wa kitaifa katika ngazi ya raisi. Na wanaomuunga mkono pia ukiwafuatilia wengi wao wapowapo tu kwenye corelation ya masuala ya Mungu na siasa.
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Ngupula nitajie watu watatu humu uliowahi kuona wakisema au kuelekea kusema perfomance ya Jk ni outstanding? Mimi ni mmoja kati ya wanaoona Membe anafaa kuliko wale wanaopigiwa debe. Sisemi Membe ni malaika. Sikuunga mkono kauli yake juu ya OIC. lakini nina sabau zangu za kumuunga Mkono na naweza kuzitetea.
>Nilikuwa namuunga mkono Samwel sitta mpaka alipofanya kosa very serious wakati wa Bunge Maalum la Katiba.
>Ukinitaja kuwa mmoja wa watatu nitautilia shaka uwezo wako wa kupima mambo kwa hiyo usinitaje.
>--------------------------------------------
>On Sat, 12/27/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAONI YANGU HURU JUU YA WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA CCM
> To: "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com>, wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, December 27, 2014, 9:10 AM
>
> Bwana Kaaya: Nimefurahi sana
> ulipoanisha wazi kuwa Membe ana mgogoro na Wakristo juu ya
> mambo yake ya kutetea OIC....lkn pia niongeze kuwa ana
> mgogoro pia ana waislam kwa kuwa wanamuona haeleweki. Kwa
> hakika,hata wanaompigia debe Membe wengi wao hata hawajui
> kwa nini wanamuunga mkono na wengi wa watu hao ni wale ambao
> wanaona kuwa perfomance ya JK ni outstanding. kwa kuwa Membe
> anafanafana na JK bas wangependa jamaa awe mrithi JK. .
> ...ni ujinga huu.
>
> Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>
> MAONI
> YANGU HURU JUU YA WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA
> CCMNinajua
> maoni haya yatapata tafsiri nyingi.nawajibika binafsi na
> maoni haya.ni yangu. Nitaorodhesha kulingana na likeability
> na ninavyoona uzito wa mtu.1.LOWASSA
> Mgombea huyu ana nguvu za ajabu sana katika chama kwa ujumla
> na hata ana nguvu na watu wake tayari na kwa muda mrefu
> katika media, katika makanisa, katika misikiti, na katika
> makundi muhimu ya kijamii.
> Kama hakutakuwa na maamuzi kama yaliyofanyika wakati wa JK
> kwenye vikao vya uteuzi basi Lowassa ndiye atakuwa rais
> ajaye.
> Kashfa za richmond na mabaya yanayosemwa dhidi yake wala
> hayamuathiri vyovyote kama akipitishwa na vikao vya chama.
> Lakini kwa maoni yangu na kwa mwenendo unavyokwenda CCM
> vikao vya chama kupitia saduku la kura hana mpinzani ndani
> ya ccm kizingiti ni kamati kuu CC, NEC na mkutano mkuu ni
> mteremko kwa lowassa.
> Changamoto ya kiafya ni kama alivyozushiwa Prof Dr kikwete
> kuwa mgonjwa ili hali mwenye kujuwa afya ni yeye mwenye kwa
> msaada wa madaktari na Mungu wake leo anamaliza awamu yake
> salama salimin2.
> MWIGULLU
> Labda mnajua kuwa huyu bwana yeye mwenyewe hajatangaza nia
> moja kwa moja. Anafanya hivyo kupitia kwa watu wengine
> Kwa hali ilivyo sasa kama Lowassa hatapitishwa kwa namna
> yoyote ile, mawazo yangu ni kuwa Mwigullu aweza kuwa rais wa
> nchi hii.
> Tunaweza kubishana juu ya umri na uwezo wa uongozi, lakini
> Mwigullu anaonekana ana advantage kubwa sasa kuliko wengi.na
> ni rahisi kambi ya lowassa kuhamia kwake.3.
> MEMBE
> Nje ya msaada wa familia kuu hana uwezo wowote wa
> kuchaguliwa na vikao vya uteuzi.
> Membe hakika akipitishwa na CCM kuna uwezekano mkubwa wa
> upinzani kushinda maana hata kadi yake ya chama amejiunga
> 2003 hana uzoefu vizuri na chama kama wataweka mgombea
> mzuri.
> Membe ana mgogoro mkubwa na wakristo kwa sababu ya mambo
> yake ya kutetea OIC. Ila kwa unafiki wetu tutajifanya
> kubishia hili.Kwa majivuno ya membe ni ngumu kuungwa mkono
> ndani ya ccm ndo maana hadi majuzi wafuasi wake wameanza
> kumdisi kwa kasi ya ajabu sana sababu anaijua yeye na
> wafuasi hofu yao ni ngumu kumuuza kwa wajumbe
> habebeiki4.MAGUFULI
> najua kuwa magufuli hajatajwa popote wazi katika
> wanaojitokeza. Lakini huyu ndiye mtu ambaye anaweza kuwa na
> nguvu kubwa kwa wananchi. Ikiwa anafaa ama la hilo ni jambo
> jingine.
> Nimewahi kumsikia Maguful ameshaanza kuwaita wafuasi wa
> lowasa jimboni kwake na kuwaambia ukweli wa kwamba
> hatagombea uraisi isipokuwa wamsaidie kutetea ubunge wake
> jimboni hizi ni dalili za maguful kumuunga mkono lowasa
> Lakini kwa maoni yangu binafsi Magufuli hafai kwa urais
> anafaa uwaziri mkuu5.KINANA
> Mnaweza kusema mi chizi. Lakini mwisho wa orodha yenu
> tunzeni jina hilo. Sitafafanua kwa sasa.WASSIRA,
> PINDA, NGELEJA,KIGWANGALLA, SITTA, MAKAMBA na CHENGE
> sihitaji hata kuhangaika kuandika chochote. Hawana nafasi
> yoyote.Tukutane
> 01/01/2015 MONDULI KWENYE SHEREHE ZA KILA MWAKA TOKEA 1996
> ZA 2BOYS MEN HAWAJAKUTANA BARABARANI
> SIMAMA NA UHESABIWE
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googl
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are sub
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment