Ngupula nitajie watu watatu humu uliowahi kuona wakisema au kuelekea kusema perfomance ya Jk ni outstanding? Mimi ni mmoja kati ya wanaoona Membe anafaa kuliko wale wanaopigiwa debe. Sisemi Membe ni malaika. Sikuunga mkono kauli yake juu ya OIC. lakini nina sabau zangu za kumuunga Mkono na naweza kuzitetea.
Nilikuwa namuunga mkono Samwel sitta mpaka alipofanya kosa very serious wakati wa Bunge Maalum la Katiba.
Ukinitaja kuwa mmoja wa watatu nitautilia shaka uwezo wako wa kupima mambo kwa hiyo usinitaje.
--------------------------------------------
On Sat, 12/27/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAONI YANGU HURU JUU YA WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA CCM
To: "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com>, wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, December 27, 2014, 9:10 AM
Bwana Kaaya: Nimefurahi sana
ulipoanisha wazi kuwa Membe ana mgogoro na Wakristo juu ya
mambo yake ya kutetea OIC....lkn pia niongeze kuwa ana
mgogoro pia ana waislam kwa kuwa wanamuona haeleweki. Kwa
hakika,hata wanaompigia debe Membe wengi wao hata hawajui
kwa nini wanamuunga mkono na wengi wa watu hao ni wale ambao
wanaona kuwa perfomance ya JK ni outstanding. kwa kuwa Membe
anafanafana na JK bas wangependa jamaa awe mrithi JK. .
...ni ujinga huu.
Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
MAONI
YANGU HURU JUU YA WAGOMBEA WANAOTAJWA TAJWA NDANI YA
CCMNinajua
maoni haya yatapata tafsiri nyingi.nawajibika binafsi na
maoni haya.ni yangu. Nitaorodhesha kulingana na likeability
na ninavyoona uzito wa mtu.1.LOWASSA
Mgombea huyu ana nguvu za ajabu sana katika chama kwa ujumla
na hata ana nguvu na watu wake tayari na kwa muda mrefu
katika media, katika makanisa, katika misikiti, na katika
makundi muhimu ya kijamii.
Kama hakutakuwa na maamuzi kama yaliyofanyika wakati wa JK
kwenye vikao vya uteuzi basi Lowassa ndiye atakuwa rais
ajaye.
Kashfa za richmond na mabaya yanayosemwa dhidi yake wala
hayamuathiri vyovyote kama akipitishwa na vikao vya chama.
Lakini kwa maoni yangu na kwa mwenendo unavyokwenda CCM
vikao vya chama kupitia saduku la kura hana mpinzani ndani
ya ccm kizingiti ni kamati kuu CC, NEC na mkutano mkuu ni
mteremko kwa lowassa.
Changamoto ya kiafya ni kama alivyozushiwa Prof Dr kikwete
kuwa mgonjwa ili hali mwenye kujuwa afya ni yeye mwenye kwa
msaada wa madaktari na Mungu wake leo anamaliza awamu yake
salama salimin2.
MWIGULLU
Labda mnajua kuwa huyu bwana yeye mwenyewe hajatangaza nia
moja kwa moja. Anafanya hivyo kupitia kwa watu wengine
Kwa hali ilivyo sasa kama Lowassa hatapitishwa kwa namna
yoyote ile, mawazo yangu ni kuwa Mwigullu aweza kuwa rais wa
nchi hii.
Tunaweza kubishana juu ya umri na uwezo wa uongozi, lakini
Mwigullu anaonekana ana advantage kubwa sasa kuliko wengi.na
ni rahisi kambi ya lowassa kuhamia kwake.3.
MEMBE
Nje ya msaada wa familia kuu hana uwezo wowote wa
kuchaguliwa na vikao vya uteuzi.
Membe hakika akipitishwa na CCM kuna uwezekano mkubwa wa
upinzani kushinda maana hata kadi yake ya chama amejiunga
2003 hana uzoefu vizuri na chama kama wataweka mgombea
mzuri.
Membe ana mgogoro mkubwa na wakristo kwa sababu ya mambo
yake ya kutetea OIC. Ila kwa unafiki wetu tutajifanya
kubishia hili.Kwa majivuno ya membe ni ngumu kuungwa mkono
ndani ya ccm ndo maana hadi majuzi wafuasi wake wameanza
kumdisi kwa kasi ya ajabu sana sababu anaijua yeye na
wafuasi hofu yao ni ngumu kumuuza kwa wajumbe
habebeiki4.MAGUFULI
najua kuwa magufuli hajatajwa popote wazi katika
wanaojitokeza. Lakini huyu ndiye mtu ambaye anaweza kuwa na
nguvu kubwa kwa wananchi. Ikiwa anafaa ama la hilo ni jambo
jingine.
Nimewahi kumsikia Maguful ameshaanza kuwaita wafuasi wa
lowasa jimboni kwake na kuwaambia ukweli wa kwamba
hatagombea uraisi isipokuwa wamsaidie kutetea ubunge wake
jimboni hizi ni dalili za maguful kumuunga mkono lowasa
Lakini kwa maoni yangu binafsi Magufuli hafai kwa urais
anafaa uwaziri mkuu5.KINANA
Mnaweza kusema mi chizi. Lakini mwisho wa orodha yenu
tunzeni jina hilo. Sitafafanua kwa sasa.WASSIRA,
PINDA, NGELEJA,KIGWANGALLA, SITTA, MAKAMBA na CHENGE
sihitaji hata kuhangaika kuandika chochote. Hawana nafasi
yoyote.Tukutane
01/01/2015 MONDULI KWENYE SHEREHE ZA KILA MWAKA TOKEA 1996
ZA 2BOYS MEN HAWAJAKUTANA BARABARANI
SIMAMA NA UHESABIWE
--
Send Emails to wanabidii@googl
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment