Saturday, 13 December 2014

Re: [wanabidii] KIKWETE USIWASIKILIZE 'BUSH LAWYER' KATIKA ESCROW

Ndugu ezekiel...amchukiae ndugu yake naye ni muuaji....kaniboa tu na nampotezea...

'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kwa hiyo brother Ngupula unamchukia huyu dada au.... Ushauri wangu kwako kubali mawazo mbadala hata kama huyapendi, utaonekana wa busara zaidi.

Kutoyasoma kama anavyoshauri EM ni hatari zaidi kwani unazuia kufahamu zaidi.
 
K.E.M.S.


From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 December 2014, 19:27
Subject: Re: [wanabidii] KIKWETE USIWASIKILIZE 'BUSH LAWYER' KATIKA ESCROW

Hivi watu bado mnapoteza muda wenu kumsoma Katabazi?
em

2014-12-12 11:15 GMT-05:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huyu dada inaonekana anakitu fulani angeweza kueleza akaeleweka...lkn she is too emotional. Binafsi sikupenda kamati ya PAC ilivyoshauri eti bank ya mkombozi ichukuliwe hatua kali na itangazwe.......lkn anavyolielezea suala hili...nahis anapoteza kabisa maana....pia, huyu dada, hiyo elimu kidogo ya sheria ndio inampatia ujeuri wa kutukana wabunge kiasi hiki? Hivi hajui karibia robo ya wabunge ni wanasheria waliobobea? Natamani nisimchukie lkn nashindwa....kazi njema dada lkn.....

'ngwananzela' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hicho ndo kifo cha CCM,  mie mwanachama wa kweli, wewe mwanamke unajaribu kuwalazimisha watanzania wote wafuate yale ambayo wewe unaamini, CCM sio dini watu kutofautiana na wewe ni lazima. Let us be transparent,  justice  to be given to ignorant Tanzanian,  not forcing them to understand you without signifying why you want them to concur with you, convince them with your ideology, policy and methodologies.  Arguing because your benefiting from the existing system that you will be stealing rights of poor Tanzania,  one of the leader from Islamic countries visited our country during era of president Mwinyi,  on his closing remarks he commented on integrity.   Whom that integrity questioned?  It is you to judge in a good manner.


Sent from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
Date:12/12/2014 13:33 (GMT+03:00)
Subject: Re: [wanabidii] KIKWETE USIWASIKILIZE 'BUSH LAWYER' KATIKA ESCROW

Kwanini ufikiri? Onyesha paragraph ambayo inayonyesha Mimi natetea maovu.usiseme kijumlajumla.minimendika kwa kutumia Mifano Mbalimbali na wewe Msomaji AMBAE umekosoa makala yangu Huna budi Kuonyesha KWA vielelezo Udhahifu Katika hii makala yangu ili nikubaliane na wewe

Sent from my iPad

On Dec 12, 2014, at 11:40 AM, "'nngajilo' via Wanabidii" <

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment