Saturday, 13 December 2014

Re: [wanabidii] KIKWETE USIWASIKILIZE 'BUSH LAWYER' KATIKA ESCROW

Kuna vitu vya kushabikia na kutetea ila waweza amua kwenye kesi kama hii kuchagua upande....so bibie nasoma ni PRO huyu wa Chuo...kaamua kuchagua wasomaji wake wa kila aina baadhi yetu tunaifahamu katiba kuliko anavyoijua then ni wanafunzi wa kudumu wa Sayansi ya Siasa na Utawala kama ndio kwanza anasoma sijui sheria....kila la heri ushauri tu kila lenye mwanzo lina mwisho CCM ufisadi nk una mwisho tetea kuwa pro ufisadi una mwisho akamsome Kuli...yaani kuwa PRO wa Bagamoyo University na student imekuwa shida..

'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula hata angekua hana sheria yake hy alioipatia ukubwani bana huyu dada nadhan mambo ya kule kwao yanachangia labda kudharau watu na kutukana na kujiona yeye anajua kuliko wengine wooote.....kuna ssiku nilimmind sana anajifanya kumtukana zitto bure kua eti kaz yake alioifaNYA ESCROW SI lolote wala chochote
anyway nahis hata msimao hanaga leo anasema hivi kesho anageuka.....wanasema ukiwa muongo uwe mwepesi kukumbuka
so  msameeni bure huyu , dharau comment zake maaana hazina nguvu kiviiile, so sorry to say this maana hata mie ananiboa tho ni mwanahabari mwenzangu, she dont go with logics anakurupukaga tu


From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 13, 2014 3:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] KIKWETE USIWASIKILIZE 'BUSH LAWYER' KATIKA ESCROW

Wasu Kunyaranyara, 
Hakuna lolote la kujifunza kutoka kwa huyu mama. Huwezi kumfananisha na Jenerali Ulimwengu. Kwa hiyo naamini sijakosa kitu kwa kumweka kwenye kundi la ignore.
em

Sent from my iPhone



On Dec 13, 2014, at 2:01 AM, "'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kwa hiyo brother Ngupula unamchukia huyu dada au.... Ushauri wangu kwako kubali mawazo mbadala hata kama huyapendi, utaonekana wa busara zaidi.

Kutoyasoma kama anavyoshauri EM ni hatari zaidi kwani unazuia kufahamu zaidi.
 
K.E.M.S.


From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 December 2014, 19:27
Subject: Re: [wanabidii

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment