Monday, 29 December 2014

Re: [wanabidii] Je, nini kifanyike kumaliza kabisa ajali za barabarani kwa mwaka ujao (2015)

Na ukitaka driving licence wao wanang'ang'ania  kupima macho tu wapime na akili

On Dec 29, 2014 2:30 PM, "Lushengo Lutinwa" <lutinwa@gmail.com> wrote:
Naamini vyanzo vya ajali ni kuendesha gari:
1.  bila kujua uwezo wa hilo gari.
2.  moja kwa wakati mmoja.
3.  bila kujua vizuri barabara unayotumia
4.  ambalo si road-worthy.
5.  bila kupitia driving school
kwa wale madreva waliopitia driving school mnaelewa.

2014-12-29 0:02 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Njia moja na muhimu sana ya kupunguza ajali hizi ni kuwa na mfumo wa kuwapata madereva.
Ikumbukwe kuwa madereva wetu waliowengi wameanzia kwenye utingo. hawana mafunzo maalum.
ama tunao mfumo wa kuwapata walimu, Waganga, mabwana shamba nakadhalika kwa nini tusiwe na mfumo maalum wa kuwafundisha na kuwataini madereva?
Kumbuka wakati wa mitihani ya darasa la saba. Police, usalama wa taifa nk wote hushughulika na mituhani. Iweje madereva ambao kwa kukosa mfumo wa kuwapata tunaona maisha ya watu yakipotea.
Hebu tujaribu hapo tuone.
--------------------------------------------
On Sun, 12/28/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Je, nini kifanyike kumaliza kabisa ajali za barabarani kwa mwaka ujao (2015)
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Sunday, December 28, 2014, 2:04 PM

 Jeshi
 la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limetoa taarifa ya
 usalama barabarani kwa mwaka 2014 na kusema kuwa ajali za barabarani
 nchini zimepungua kwa asilimia 38.2 mwaka huu ikilinganishwa
 na mwaka jana, huku ajali nyingi zikisababishwa na kutofuata
 sheria za barabarani.Je, nini kifanyike kumaliza kabisa
 ajali za barabarani kwa mwaka ujao (2015)

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment