Friday, 19 December 2014

Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Aliyosema Frank ni kweli kuwa zamani zile ilikuwa ni utaratibu watu kuabudu mungu aliyeitwa Mungu jua. mfalme yule wa wakati ule hakupenda utaratibu huo wa ibada kwa miungu wafu. ili kutowakwaza watu kwa kuwakataza wasiendelee na utaratibu wao wa ibada....iliamriwa kuwa siku hiyo aabudiwa Yesu kwa kusherekea kuzaliwa kwake kwani yeye ndiye nuru ya ulimwengu halisi.......na ndivyo ilivyokuwa pasaka. Kusherekea matukio haya ni muhimu lkn ieleweke kuwa hakuna credit yeyote kwa Mungu zaid ya kuwa mtakatifu na kumshika Bwana na amri zake.

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hakuna mtu ajuaye ni siku ipi Yesu alizaliwa. Tarehe 25/12 ilikuwa ni sikukuu iliyokuwa ikisherehekewa siku nyingi hata kabla ya Yesu kuzaliwa. Ilikuwa ni siku ya kuabudu mungu jua. Wakristo walijua kwamba Mungu ndiye aliyeumba jua, hivyo wakaamua kumwabudu Mwana wa Mungu siku hiyo. Katika mwaka wa 601 A.D. Papa Gregory aliagiza Wakristo "wasitoe tena wanyama wao kwa mashetani, bali wamwabudu Mungu kwa sherehe" Kwa jinsi watu walivyokuwa wakibadili na kuwa Wakristo, wakafikiri juu ya Yesu kama mleta furaha, na wakamfikiria Yeye zaidi ya jua wakati wa sherehe. Lakini dhana hii ilianza kidogo kidogo. Katika karne ya nne, wakati Rumi iliposhika Ukristo, walisherehekea kuzaliwa kwa Yesu asubuhi ya Krismas. Ni muhimu Wakristo wa leo kujua haya na maana ya taa za rangi, mishumaa, maigizo ya Krismas, nyimbo, mti wa Krismas, mapambo ya Krismas, zawadi za Krismas, maana ya Santa Claus, Boxing Day na Sherehe za Mwaka Mpya. Kuwanyima watu wasijadili haya huwatendei haki. Wakristo, tukubali kubadilika ki fikra. Ni vema kujua kama tunampendeza Mungu au la. Frank


From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, December 19, 2014 10:23 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?

Any spiritualy clean person entering into this discussion will be spiritualy dirty by the end of the discussion, and no fruits will be yield out of the discussion.
Hakuna siku inayomsaidia Mkristo kuingia mbinguni ila utakatifu wake. Na utakatifu hauna siku kuwa uwe mtakatifu jumamosi ila mchafu siku zingine.
Hamna haja kuwahamasisha wakristo kujadili hili. Sali kila siku bila kujali Christmas au pasaka maan hayo yalipita muhimu tunasubiri yajayo
--------------------------------------------
On Fri, 12/19/14, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Christmas:  Where are you in the Bible?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 19, 2014, 9:46 PM



What your Pastor Doesn't
Want you to Know.

It was the
…………..church that fixed the
date of December 25th in order to maintain the pagan
festivals / traditions of
Saturnalia.


Will the real Christians
please stand
up??? Why are so called "Christians" celebrating
pagan
"holidays?" I share because I care.  And may offend
some.

Yes! will the
real Christian please stand. Amen, Jesus Christ the same
yesterday, today and
forevermore. So many people get caught up in Christmas, they
shop until they
drop, spend money they do not have, give gifts to someone
only once a year,
need I go on?

 

When I realized this myself I
stopped
partaking in this pagan holiday, but so many haven't and
make so many lame du

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment