Juda,
Inabidi utofautishe kati ya Agano la Kale na Agano Jipya. Ag. la kale -O.T Mungu alikuwa anakaa hekaluni{patakatifu pa patakatifu} Baada ya Yesu kutuokoa, pazia la hekalu lilipasuka. Mungu hakai tena kwenye majumba. Ag. Jipya- N.T- Mungu anakaa katika miyo ya watu waliookoka [1 Wakorintho 3:16], [I Wakorintho 6:19]. Miili yao ndiyo hekalu la Mungu.Wakatoliki inatakiwa waingie katika Agano Jipya.. Frank
From: 'Juda Semali' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, December 27, 2014 4:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Frank,
Kuabudu sanamu maana yake, huna Mungu aliye roho unayemwabudu. Nimekuuliza, uliwahi kumwona mkatoliki ameshika msalaba au sanamu yoyote akaiambia wewe ni Mungu uliyeniumba, uliyenitoa kutoka Misri? Ninachofahamu mimi, wakatoliki wanaziheshimu sanamu na zinawekwa kadiri ya maongozi ya Mungu aliyompa Musa. Kuwa na msalaba na sanamu ni sehemu ya matakatifu ambayo kanisa kwa kufuata mwongozo aliopewa Musa na kanisa limetengeneza.
Hadi sasa hujajibu swali langu, je, Mungu huyu aliyesema ktk Kut. 20:3-5 kuwa usijifanyie kitu chochote mfano wa kilicho mbinguni, amejisahau au kujichanganya kwenye kutoka 25 hadi Kutoka 27 aliporuhusu kutengeneza makerubi na vinginevyo vya kuweka katika hema ya kukutania (kanisani)?
From: 'Juda Semali' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, December 27, 2014 3:01 PM

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 27 Dec 2014 12:40:06 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Juda,
Ni ukweli usiopingika kuwa Wakatoliki wanaabudu sanamu na kuzisujudia, husali makaburini na kuwaombea wafu. Kuna sanamu nyingi sana kanisani na nje ya kanisa. Waumini wengine wanazo majumbani kwao. Samamu za Bikira Maria, Yesu nk. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. [Yohana 4:24] Nakubaliana na wewe kuwa Wakatoliki wana Biblia yao wenyewe yenye vitabu 72. Biblia za Wakristo wote waliobakia zina vitabu 66. Ni kwa jinsi gani hivyo vitabu 6 vilikataliwa na wakristo wengine, vikakubaliwa na wakatoliki tu sielewi vizuri. Kama ni Martin Luther aliviondoa tunahitaji uthibitisho na ni kwa sababu gani. Frank
From: 'Juda Semali' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, December 27, 2014 3:01 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Frank,
Sikuelewi na nashindwa kukusaidia. Kanisa halijaondoa kitu ktk amri za Mungu. Hiyo amri unayoisema, Mungu ameiweka wazi ktk kitabu cha Kutoka 20:1-5. Kwenye mstari wa 5 anasisitiza, "usivisujudie wala kuvitumikia...........".
Ni Mungu huyohuyo aliyesema hayo ktk Kutoka 20:3-5 anamwambia Musa, katika Kutoka 25:10-40 na Kutoka 26 na 27 atengeneze maskani ya Mungu na ndani yake aweke vitu mbalimbali. Kati ya vitu anavyoagiza viwekwe ndani ya maskani ni makerubi (Kut. 25:18 - 22) na kuyaweka ktk kile kiti cha kikuhani madhabahuni. Makerubi kwa wasiofahamu ni Malaika walioko Mbinguni.
Je, Mungu aliyesema usitengeneze chochote ktk Kutoka 20 anajichanganya ktk maagizo yake kwenye kutoka 25? Ndo maana nikakwambia kuna kitu unakichimba, hujui undani wake kibiblia, lakini unakurupuka.
Kwa ufupi, Mungu alisisitiza ktk ile kutoka 20:5 "Msivisujudie wala kuviabudia" na yale aliyomwambia Musa ayatengeneze ya vilivyo mbinguni na duniani, ni kwa ajili ya kuwasaidia watakaokuwa ktk hema ya kukutania waweze kuwa na ufahamu na uelewa.
Je, uliwahi kuingia ktk kanisa katoliki ukakuta wakiuambia msalaba wewe ni Mungu wetu? Au sanamu yoyote iliyoko kanisani wakaiabudu na kuisujudu wakasema wewe ni Mungu wetu?
Niko kwenye foleni, lakini naamini hiki nilichokuandikia kinakutosha kwa ajili ya kukuonyesha kuwa majibu ya maswali yako yako ktk biblia.
Kwanini hujajibu kuhusu vitabu alivyochomoa Martin Luther ktk biblia wakati imeandikwa kwenye Ufunuo 22:18-19 ya kuwa yeyote akiyaongeza maneno ya kitabu hiki Mungu atamwongezea Mapigo na yeyote akiondoa lolote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake ktk ule mti wa uzima na ktk ule mji mtakatifu ambao habari zake zimeandikwa ktk
kitabu hiki?
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 27, 2014 1:20 PM

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Date: Sat, 27 Dec 2014 10:53:19 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Waoga wa Biblia.
Kwanini RC wameondoa Amri ya pili kwenye Katekisi; na tena to make the number good, makes two Commandments of the tenth? The Commandment which they do not wish their children to learn is as follows: "Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of anything that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth; thou shalt not bow down thyself to them, nor serve them: for I the Lord thy God am a jealous God, visiting the iniquity, of the fathers upon the children unto the third and fourth generation of them that hate Me, and showing mercy unto thousands of them that love Me and keep My commandments" (Exodus xx. 4-6). It is the same both in the Douay and Authorized Versions. What right has any Church to mutilate Holy Scripture? Against such the malediction of Jesus Christ is pronounced: "If any man shall take away from the words of the book, God shall take away his part out of the book of life" (Rev: xxii. 19).
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 27, 2014 1:20 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Sasa wewe hujui kama Krismas ipo kwenye biblia au haipo mpaka uulize? Pili, ulishajibiwa kwamba kinachosherehekewa siyo tarehe as such ni event ya kuzaliwa kwa bwana Yesu kama ilivyo pia kwa kufa na kufufuka kwake. Wewe uchotaka ni tarehe kama imo as if kila kitu tunachofanya hata ujenzi wa makanisa na capacity yake vimo kwenye biblia. kwani biblia imekua encyclopedia ya kuelezea kila detail ya jambo? Mfano, sisi binadamu kuna mambo mengi tumejiwekea yasiyo pia pingana na amri za Mungu na yanatusaidia kumjua Mungu zaidi. Mfano, kuwahi kwenye ibada ili tushiriki vizuri na wengine. Ni utaratibu ambao jamuia mbambali za kiimani zimejiwekea. Kwako wewe mtu akisema tuwahi kwenye ibada utadai kwamba "kuwahi kwenye ibada" hakujaandikwa kwenye biblia. hivyo uta'dispute' kuwahi kusifanyike. Pia kuna devaluation ya currency kutokana na sababu mbambali. Wakristo fulani wakisema sadaka yetu iwe kiwango fulani ili tujitume zaidi na michango yetu iendane na hali ya maisha ya sasa na kulisaidia kanisa lifanye kazi vizuri, nadhani pia wewe uta'dispute' kwamba hayako kwenye biblia hivyo si muhimu. Hebu niambie wewe kwenye familia ni mambo mangapi au ni taratibu zipi unazoziona zinakufanya uendeshe familia yako vizuri lakini hazina direct connection na biblia na unazifanya? Mfano, arrangement ya vitu ndani ya nyumba, kitanda, ventilation nk vyote hizi haviko kwenye biblia, lakini the fact kwamba unavifanya au unaviweka viwepo kwenye nyumba yako ya kuishi havipingani na biblia, bali vina'support' ujumbe wa biblia wa Mungu kukutaka wewe umtumikie vizuri zaidi na utafanya hivyo kama unalala kwenye nyumba ambayo ni salama kwa afya yako. Ni wazi kwamba kutokana na biblia Kanisa Katoliki limeweza kufanya miongozo mbalimbali ya kuwafanya waumini wake waweze kuelewa biblia yao inawataka wafanye nini. Kwa maneno mengine, miongozo hiyo inawaelekeza wasome biblia na kuielewa vizuri na pia ku'apply' katika maisha yao. Wewe kwa uelewa wako biblia inatosha kwa kila kitu - pengine ukiwa na maana kwamba kwako wewe hakuna kitabu kingine nje ya biblia ambacho umeshawahi kusoma na kikakusaidia kimaisha isipokuwa biblia tu. Na pengine hata shuleni ulijifunza biblia tu maana kama ungejifunza kutoka vitabu vingine, then ungesoma kitu ambacho hakiko kwenye biblia na ambacho si kweli pia. Siku hizi tunaambiwa kuna ebola na dalili zake kama zinavyoelezwa. Kwako wewe kama ebola haiko kwenye biblia huwezi kuamini kwamba ni kweli ni ugonjwa ambao ni hatari maana kama ungekuwa hatari basi ni lazima ungeandikwa kwenye biblia. Na unaamini pia kwamba Mungu hawezi kujifunua kwa wanadamu kwa njia nyingine zaidi ya biblia. Sasa nikuulize nani anafunulia wanadamu kugundua mambo mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maisha ya wanadamu kama nishati, madini, na vitu vingine maana ukisoma kwenye biblia huwezi kukuta mstari wowote unaosema Tanzania kutagunduliwa mafuta, gesi asilia au urani. Sasa nani anawapa wanadamu akili hii kama si Mungu mwenyewe anayefanya hivyo?
On Sat, Dec 27, 2014 at 12:07 PM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Telesphor na wenzako,Kwanza Juda Semali amesema kwamba mjadala huu na hasa mimi nina chuki na Kanisa Katoliki. Halafu bado mnauendeleza mkiwa wakatoliki. Naomba kutamka wazi kwamba sina chuki na kanisa katoliki na lengo la mada hii lilikuwa kujua kama Krismas ipo kwenye Biblia au la. Hatukuweza kupata ushahidi wowote krismas kuwa kwenye Biblia. Nashauri kama tumejadili ya kutosha na mjadala unaeneza chuki naomba tuufunge.Kama ninyi mtazidi kuchangia, mtapingana na mkatoliki mwenzenu anayedai ni mashambulizi dhidi ya kanisa katoliki na mimi nitazidi kufunua ukweli, ila andaeni vifua.
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 27, 2014 11:45 AM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Frank arguments zako ziyo logical - hazifuati rules of intelligent reasoning. Unaposema mapapa wote ni "waongo" unataka kumaanisha kwamba mtu akichaguliwa kuwa papa anawakuwa mwongo. Je, unaweza kuthibitisha hili unalolisema? Na pia unaposema wame'tamper' with the bible, unaweza pia kulithibitisha hili? Hebu tuchukue papa Benedick na Francis. Naomba uoneyshe walivyo waongo na ambavyo wame'tamper' with the bible. Tukiongea kwa ushahidi tutaweza kwenda vizuri.1. Kwanza, jibu maswali yangu niliyokuuliza hapo juu.2. Pili, onyesha kwa namna gani hao mapapa ni waongo na wame'tamper' na biblia kwa namna gani.--On Sat, Dec 27, 2014 at 11:36 AM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:Huyu Frank ni vigumu kumsaidia tatizo lake. Sijawahi kusikia papa yoyote alishawahi ku'tamper' with the bible maana mapapa wote hao walikuta bible tayari imeshaandikwa. Sasa hiyo tampering with the bible ingewezekanaje? Halafu kitu kingine, kuleta tu tuhuma ili tu uonekane umesema kitu sijui kama ni namna nzuri ya kujadili kitu. Maswali niliyokuuliza hapo juu hujayajibu na unarukaruka tu kama panzi. Duh, hata shule uliyosoma unaonekana uliwapa shida sana maana unaonekana kuwa "thick".On Sat, Dec 27, 2014 at 11:15 AM, 'Juda Semali' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Frank,
It seems una chuki binafsi na RC jambo ambalo hakuna anaeweza kukusaidia ktk hali uliyo nayo.
Hoja kadhaa ulizouliza nilikujibu kibiblia nikidhania unataka kujifunza. Kila nikijibu, hukutaka kuendelea nayo kwakuwa unakuwa umeuona ukweli ambao hukuujua.
Nilichogundua ndani yako umepanda au umepandikiziwa mbegu ya chuki ambayo hakuna wa kuiondoa ila ni kwa neema za Mungu.
Kwa bahati mbaya au nzuri zaidi, umekuwa ukisoma kwenye mtandao criticism zilizoandikwa na watu mbalimbali miaka ya nyuma, wakilipinga kanisa katoliki. Nakushauri, usikate tamaa, bali endelea kusoma na iko siku, nuru mpya itakuzukia ili kukuangazia na utagundua kuwa, kanisa katoliki ni msingi wa ukristo ulimwenguni na hakuna wa kulishinda.
Kwa bahati nzuri kanisa katoliki ndilo lililoitunza biblia hadi leo. Martin Luther King (1520-1541) kama nakumbuka vizuri hiyo miaka maana niko njiani, ndiye aliyetoka kanisa katoliki, akaondoa vitabu 6 katika mfululizo wa vitabu 72 vya biblia ambavyo kanisa katoliki lilivitunza, tangu vilipokusanywa kuanzia mwaka wa 90 baada ya Kristu kwa msaada wa Askofu Alexander.
Kanisa katoliki limebeba hazina ya historia ya ukristu ambayo huwezi ipata kwenye internet wala kwenye biblia maana hata ukisoma nyaraka za Paulo mfano waraka kwa Wakorintho, zinaonyesha kuna waraka mwingine kabla ya hizi mbili tunazozisoma. Je, ulilijua hilo? Ni katika kanisa katoliki peke yake utapata nyaraka hizo.
Kuna vitu vingi amesema na kuagiza Yesu na kwenye matendo ya mitume wamemnukuu. Huwezi kupata popote waraka huo wa Yesu ila ndani ya kanisa katoliki.
Kwa hiyo, Yesu alipomwambia Petro "Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda" alimaanisha kuwa, kina Materu wataibuka na kusambaza kila uzushi na chuki lakini chuki na uzushi huo hautalishinda kanisa la Kristu Yesu - Kanisa Katoliki.
Simaanishi kuwa makanisa mengine siyo ya Kristu, maana wako waliosema, sisi ni wa petro, sisi ni wa Paulo na sisi ni wa Kefa. Je, Kristu amegawanyika? Maana yake, haijalishi unatumia usafiri gani, yaani dhehebu (Majini, nchi kavu - Gari au treni au nyaya, au anga) kwenda kwa Yesu bali jilinde na chachu ya Mafarisayo isije ikakuchachusha.
Naomba kuwasilisha
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Sat, 27 Dec 2014 07:40:56 +0000 (UTC)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?Telesphor Magobe, Joseph Ludovick and Arbo,Story Concerning the Establishment of Rosary a Forgery "Tradition" Admitted Forgery! Many Popes Approve Lie!"THE ROSARY, says the Roman Breviary, is a certain form of prayer wherein we say fifteen decades or tens of Hail Marys with an Our Father between each ten, while at each of the fifteen decades we recall successively in pious meditation one of the mysteries of our Redemption. The same lesson of the Feast of the Holy Rosary informs us that when the Albigensian heresy was devastating the country of Toulouse, St. Dominic earnestly besought the help of Our Lady and was instructed by her, 'so tradition asserts,' to preach the Rosary among the people as an antidote to heresy and sin. From that time forward, this manner of prayer was 'most wonderfully published abroad and developed by St. Dominic whom different Supreme Pontiffs have in various passages of their apostolic letters declared to be the institutor and author of the same devotion.' That many popes have so spoken is undoubtedly true, and amongst the rest we have a series of encyclicals, beginning in 1883, issued by Pope Leo XIII, which, while commending this devotion to the faithful in the most earnest terms, assumes the institution of the Rosary by St. Dominic to be a fact historically established ...""Impressed by this conspiracy of silence, the Bolandists, on trying to trace to its source the origin of the current tradition, found that all the clues converged upon one point, the preaching of the Dominican Alan De Rupe about the year 1470-75. He it undoubtedly was who first suggested the idea that the devotion of 'Our Lady's Psalter' (a hundred and fifty Hail Marys) was instituted or revived by Dominic. Alan was a very earnest and devout man, but, as the highest authorities admit, he was full of delusions, and based his revelations on the imaginary testimony of writers that never existed. His preaching, however, was attended with much success. The Rosary Confraternities, organized by him and his colleagues at Douai, Cologne, and elsewhere had great vogue, and led to the printing of many books, all more or less impregnated with the ideas of Alan. Indulgences were granted for the good work that was thus being done and the documents conceding these indulgences accepted and repeated, as was natural in that uncritical age, the historical data which had been inspired by Alan's writings, and which were submitted according to the usual practice by the promoters of the confraternities themselves. It was in this way that the tradition of the Dominican authorship grew up...""IT IS NOW ADMITTED BY DOMINICAN AUTHORITIES TO BE A FORGERY" (Cath. Ency., XIII, 184-186).There are a number of interesting and characteristic things about this story. In that way, practically everything now reverently believed and devoutly practiced by Catholics came into being. You will note the word "tradition" several times in this short quotation, which shows how much reliance can be placed in Catholic "tradition." PRACTICALLY EVERYTHING CHARACTERISTIC OF CATHOLICISM ORIGINATED IN "DELUSIONS," AND IS BASED UPON "TESTIMONY OF WRITERS WHO NEVER EXISTED!" IT SHOWS, TOO, HOW LITTLE RELIANCE CAN BE PLACED IN THE TEACHING OF THE "INFALLIBLE" POPES! When they want "tradition," they INVENT IT!
From: Arbo <akihaule@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, December 26, 2014 11:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Ludovick na Telesphor ; Ndugu zanguni nimenyoosha mikono. Kikweli hataki kusoma na kufakari. Nimeamini. Na yatosha kwa kweli inabidi tu tuufunge huu mjadala.--Maana kama mbuzi kashitakiwa mahakamani na hakimu ni chui, kwa kosa la kumla Sungura hapo kazi ipo. Maana Sungura hufaa kuliwa na Chui pekee , sasa bwana mbuzi akaonekana kamla sijui ....kama mbuzi atatafutiwa mwanasheria wa kumfaa...Nimenawa mikono.
On Friday, 26 December 2014 15:36:09 UTC+1, Joseph Ludovick wrote:Na biblia inasema mtu akishaujua ukweli na kuuacha hali yake inakuwa mbaya kuliko ya mwanzo.
There goes MateruOn Dec 26, 2014 5:33 PM, "Joseph Ludovick" <josephl...@gmail.com> wrote:...Arbo
Unatwanga maji kwenye kinu.On Dec 26, 2014 4:07 PM, "Arbo" <akih...@gmail.com> wrote:Frank you need to read the Catechism of the Catholic Church in its entirety, to learn and understand her teaching. How she derives her doctrines and liturgies. After that , return and let's discuss based on what you read.I will attach here the document , just in case.
On Friday, 26 December 2014 06:10:05 UTC+1, Frank Materu wrote:Joseph Ludovick,"AND HISTORY shows only too plainly that the Church, in their sense of the term, has VARIED IN ITS DOCTRINE, taught dogmas at various times and at various places at the same time inconsistent with each other; and therefore to a considerable extent [is] erroneous" (Plain Facts, 34),Catholicism Assimilates Paganism"CHURCH ASSIMILATES and sanctifies Roman Civilization—from its foundations, the Church had gradually absorbed the best of the life, the organization, the institutions, the laws, the learning and whatever else of good and worth there was in the Roman Empire. What the Church thus took to herself, she transformed and sanctified so that, though Roman in its source, it was Christian in its form, influence, and tendencies.To the treasure of ancient civilization, the Church joined the great and luminous truths of God's revelation. Thus, doubly armed with the great legislative and intellectual acquirements of antiquity and the practical and saintly precepts of Christianity, the Church began to build up from Teutonic [Germanic etc.] and Roman elements the most perfect nations, and the grandest civilization that the world has ever known. So numerous were the difficulties of this formidable task that any other institution save God's Church must have lost courage and despaired." (History of the Church of God, B. J. Spalding, 379).It is easy to see that an institution modeled after the Roman Empire in its laws and governmental machinery, and which is a crazy-quilt patchwork of paganism in its doctrine and beliefs, would have little use for the Bible!
From: Joseph Ludovick <josephl...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 25, 2014 7:32 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Materu
You take reguge to spelling errors?. Just do so. But.I will never seize to tell you the truth. Many of what you advance seem to be sterming from Ignorance.
A blind teacher will lead his disciples into destruction. Continue in your ways. False prophets then and now.On Dec 25, 2014 7:19 PM, "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Nzela,Stop your judgmental hysteria. You need to repent of your absolute lack of sensitivity to the call of God for this generation to repent of their evil actions.Frank.
From: 'ngwananzela' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 25, 2014 5:33 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Frank,Your useless to your argument, no body you will turn him/her around.Nzela.Sent from Samsung Mobile-------- Original message --------From: 'frank patrick materu' via WanabidiiDate:25/12/2014 13:57 (GMT+03:00)Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?Telesphor & Company,"Bwana asemahivi, Msijifunze njia za mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara zambinguni; maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo. [Yeremia 10:2].
The LORD reminds us today to becareful not to become involved with and participate in the customs andtraditions of the world that are pagan, false and idolatrous.
X-MAS TREE FOR EXAMPLE:
The cutting down of trees and decorating them to 'so-call' honor The LORD (?).
In Jeremiah 10:3-5, we read the following, "For the customs of the peopleare vain: for it is but a tree which one cutteth out of the forest, the work ofthe hands of the workman with the axe. They deck it with silver and with gold;they fasten it with nails and with hammers, that it move not, ... neither ...is it in them to do good."
THERE IS NO EVIDENCE:
There is no evidence in The Holy Bible that Christmas is to be celebrated, infact, The Apostles, the disciples, the first true believers and even for thenext three centuries we find absolutely no record anywhere that anyone spokeabout or observed what we know today as 'Christmas'.
SO, HOW D
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment