Telesphor, Mungu hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie ile toba. Natoa historia fupi ya Krismas na nakaribisha wakosoaji.
Taa, Moto na Mishumaa: Wapagani walioabudu mungu jua walitengeneza taa na kuwasha mishumaa wakidhani joto lile litampa mungu jua nguvu ya kurudi tena wakijua angeishi kipindi chote cha baridi akiwapa nuru na joto la kiangazi. Muda mrefu sana kabla ya Yesu, ibada za mishumaa zilikuwa sehemu muhimu ya ibada. Kuna hadithi inayosema Martin Luther kwanza aliweka mishumaa katika Mti wa Krismas, kukumbusha watu wale Mamajusi/wataalam wa nyota walioonesha juu ya Betlehemu usiku ule Yesu alipozaliwa.
Kwa sababu moto kabisa ni hatari nyumbani, ndio maana leo hii taa za rangi za kutumia umeme hutumika badala ya mishumaa. Maigizo na michezo ya Krismas, ilikuwa maarufu katika sherehe na ilikuwa kama burudani kuonyesha jinsi Wakristo walitakiwa kuwa na furaha. Kulikuwa na nyimbo na dansi (Carols- French "carole" zilizojaa raha na furaha. Papa aliwataka watu waimbe wakikumbuka kuzaliwa kwa Yesu.
Mapambo: Maua na miti ya kijani ule ukijani ulionesha walikuwa hai wakati mimea mingine ilionekana kufa. Walining'iniza miti/maua ya kijani nyumbani kwao kwa ajili ya roho walizofikiri huishi msituni, kwa sababu kulikuwepo na joto ndani, roho hizo hazikuweza kufa kwa baridi. Hii katika Italy ilikuwa ni kwa heshima ya mungu Saturn.
Mti wa Krismas: Mt. Boniface katika usiku wa baridi wa Desemba, alikutana na watu waliokuwa wakimwabudu mungu wa kipagani chini ya mti kwa kutoa kafara mtoto mdogo wa kiume. Akamwokoa. Akawaambia anzia usiku ule mti ule utakuwa mtakatifu kwao. Ni dalili ya uzima wa milele, unaonyesha mbinguni nao utaitwa mti wa Yesu –Mtoto.
Zawadi za Krismas: Enzi zile Warumi walipokuwa wanaabudu miungu mingi ya kipagani, walikwenda katika sherehe zao wakati wa baridi katika pango la Strenia, na kukata matawi ya miti na kuyatoa kama zawadi. Baadaye Warumi walitoa zawadi ghali zaidi katika sherehe za mwaka mpya. Watu wa nchi nyingine walitoa zawadi Krismas kukumbuka zile zawadi Yesu alizoletewa na watu wenye busara.
Kadi za Krismas: Kadi za Krismas zikichukua nafasi ya zawadi za mwaka mpya. Kadi ya kwanza inayojulikana ilitengenezwa vizuri ikionesha picha ya mtoto Yesu. Ilichapishwa mwaka 1467 A.D. Picha katika kadi hizi huonyesha watumaji wanakumbuka kuzaliwa kwa Yesu.
Santa Claus: Watoto katika nchi za Ulaya walizoea kupata zawadi kutoka kwa Mtakatifu Nicholas. Katika Amerika ya Kask. Watoto wa masetla wa Ulaya waliachiwa zawadi na mtu mmoja aliyekuwa mkarimu kama Mt. Nicholas. Aliitwa Santa Claus. Katika karne ya 19th wanaamini Santa Claus alitoa zawadi kwa watoto wote duniani.
Chakula cha Krismas: Katika Italy walianza na kichwa cha nguruwe, kikiwa kimepambwa vizuri na kupelekwa maza kuu. Baada ya nguruwe alifuata tausi dume. Alipikwa na kufungwa vizuri na mkia wake na manyoya mengine kurudishwa kama mapambo. Baadaye batamzinga.
Boxing Day: Inaitwa sikukuu ya Mt. Stephano. Mt. Stephano alikuwa wa kwanza kufa akimhubiri Yesu. Kwa hiyo akapewa heshima ya siku yake kuwa baada ya kuzaliwa kwa Yesu. Makanisa mengi utaona maboksi ambayo watu huweka fedha kwa ajili ya maskini.
Sikukuu ya Mwaka Mpya: Watu hubakiza yale mapambo ya Krismas kwa ajili ya kupamba sikukuu ya mwaka mpya na kula na kunywa kama Krismas. Kulikuwa na desturi ya mtu au kijana kuingia nyumbani kwa watu usiku na kuwatakia "Heri ya Mwaka Mpya". Mara nyingi alikuwa na zawadi mkononi. Mwaka mpya umekuwa ukisherehekewa siku tofauti tofauti. Papa Gregory XIII, katika mwaka wa 1582, alianzisha kalenda tunayoitumia leo, ambapo Januari 1 ilifanywa Siku ya Mwaka Mpya kwa sababu ilikuwa hivyo toka enzi za zamani za Rumi.
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 20, 2014 10:27 AM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Frank, si umeshatuonya umamemaliza na uko assured of salvation na sisi tusioonyeka tunaefanya ibada za kipagani tutaenda motoni mwa milele kama Kanisa Katoliki? Kazi yako umemaliza.
On Sat, Dec 20, 2014 at 10:08 AM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Telesphor,Kama kuna mtu anafanya ubaya, usipomwonya na akafa katika ubaya wake, damu yake itadaiwa mikononi mwako. Lakini ukimwonya, na akikataa wewe unejiokoa nafsi yako. Nilitaka watu wajadili ili kufahamu maana ya:1. Taa za rangi katika Krismas maana yake ni nini?2 Mishumaa, maigizo ya Krismas, nyimbo , mti wa Krismas maana yake ni nini?3.Mapambo ya Krismas, zawadi za Krismas, Santa Claus, Boxing Day na Sherehe za Mwaka Mpya maana yake ni nini, na kama kuna mahali tunamkosea Mungu tubadilike.Kuwazuia au kuwaepusha watu wasisikie, wasijadili ili kuona ukweli, na hasa katika karne hii ni vibaya sana mbele za Mungu. Kama utatuambia maana za hayo yote, turaridhika. Vinginevyo naamba msaada kwa wanaojua watuelimishe. Frank
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 20, 2014 9:44 AM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Frank, kwa hiyo unauliza halafu unajijibu mwenyewe? If you know what you are doing is not pagan, which I know you don't what even what pagan means, why bother for God's sake?--On Sat, Dec 20, 2014 at 9:25 AM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Hakuna mtu ajuaye ni siku ipi Yesu alizaliwa. Tarehe 25/12 ilikuwa ni sikukuu iliyokuwa ikisherehekewa siku nyingi hata kabla ya Yesu kuzaliwa. Ilikuwa ni siku ya kuabudu mungu jua. Wakristo walijua kwamba Mungu ndiye aliyeumba jua, hivyo wakaamua kumwabudu Mwana wa Mungu siku hiyo. Katika mwaka wa 601 A.D. Papa Gregory aliagiza Wakristo "wasitoe tena wanyama wao kwa mashetani, bali wamwabudu Mungu kwa sherehe" Kwa jinsi watu walivyokuwa wakibadili na kuwa Wakristo, wakafikiri juu ya Yesu kama mleta furaha, na wakamfikiria Yeye zaidi ya jua wakati wa sherehe. Lakini dhana hii ilianza kidogo kidogo. Katika karne ya nne, wakati Rumi iliposhika Ukristo, walisherehekea kuzaliwa kwa Yesu asubuhi ya Krismas. Ni muhimu Wakristo wa leo kujua haya na maana ya taa za rangi, mishumaa, maigizo ya Krismas, nyimbo, mti wa Krismas, mapambo ya Krismas, zawadi za Krismas, maana ya Santa Claus, Boxing Day na Sherehe za Mwaka Mpya. Kuwanyima watu wasijadili haya huwatendei haki. Wakristo, tukubali kubadilika ki fikra. Ni vema kujua kama tunampendeza Mungu au la. Frank
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, December 19, 2014 10:23 PM
Subject: Re: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
Any spiritualy clean person entering into this discussion will be spiritualy dirty by the end of the discussion, and no fruits will be yield out of the discussion.
Hakuna siku inayomsaidia Mkristo kuingia mbinguni ila utakatifu wake. Na utakatifu hauna siku kuwa uwe mtakatifu jumamosi ila mchafu siku zingine.
Hamna haja kuwahamasisha wakristo kujadili hili. Sali kila siku bila kujali Christmas au pasaka maan hayo yalipita muhimu tunasubiri yajayo
--------------------------------------------
On Fri, 12/19/14, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Christmas: Where are you in the Bible?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 19, 2014, 9:46 PM
What your Pastor Doesn't
Want you to Know.
It was the
…………..church that fixed the
date of December 25th in order to maintain the pagan
festivals / traditions of
Saturnalia.
Will the real Christians
please stand
up??? Why are so called "Christians" celebrating
pagan
"holidays?" I share because I care. And may offend
some.
Yes! will the
real Christian please stand. Amen, Jesus Christ the same
yesterday, today and
forevermore. So many people get caught up in Christmas, they
shop until they
drop, spend money they do not have, give gifts to someone
only once a year,
need I go on?
When I realized this myself I
stopped
partaking in this pagan holiday, but so many haven't and
make so many lame duck
excuses why they continue to celebrate it.
Actually Jeremiah 10:2-4 is
more
explicit, "2 Thus saith the Lord, Learn not the
way of the heathen,
and be not dismayed at the signs of heaven; for the heathen
are dismayed at
them.
3 For the customs of the people are vain: for one
cutteth a tree out of
the forest, the work of the hands of the workman, with the
axe.
4 They deck it with silver and with gold; they fasten
it with nails and
with hammers, that it move not."
Let the pagans
speak for themselves regarding their traditions. The
children of this world are
in their generation wiser than the children of
light. And be not conformed to this
world: but be ye
transformed by the renewing of your mind, that ye may prove
what is that good,
and acceptable, and perfect, will of God. Romans
12:2
There is a
"spirit" of Christmas. It casts many a soul under
it's spell. Those
of the world love this "spirit", and speak well of
it. The world
loves Christmas. Pagan roots indeed, and pagan fruits.
Professing Christians
that observe this day and take part with it ought to take
heed that this
"spirit" of Christmas is not the Spirit of truth.
Do not believe
it!
To all those reading this,
when you step
outside after giving up xmas , you will realize that you are
to be seperate and
not of this world. You will know you belong to GOD.
I thank God for
opening my eyes to my idolatry a few years ago. I understand
about all of the
Christmas traditions being satanic (lights, trees, candles,
ornaments..etc),
but some tell me that they only celebrate the birth of
Christ. Firstly, God
never commended us to celebrate it, and secondly, IT IS ON A
SATANIC HOLIDAY! I
believe it is a mockery to celebrate the birth of Jesus on
such a terrible, terrible
holiday.
Where does one stop with
doing that which is
pagan? Almost everything we do is pagan in
origin. Baby dolls for
children, lighting candles, most of our home décor just the
idea of it came
from the pagans. Frank
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment