Friday, 28 February 2014

Re: Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda..

Hosea. Hao hawajasahaulika. Soma vizuri. Wako ktk serikali za Tanganyika na Zanzibar. Haya sasa jadili hoja. ---------- Sent from my Nokia Phone ------Original message------ From: <hosea.ndaki@gmail.com> To: <wanabidii@googlegroups.com> Date: Friday, February 28, 2014 9:31:08 PM GMT+0000 Subject: Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda.. Mie nashauri wanaotaka kura ya siri...
Read More :- "Re: Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda.."

Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

KicheereNaona humtakii mema ndugu Magweiga, maana likitolewa tangazo peke yake litawafanya wakurya kuanza kumwinda na kumdungua kabla hata hajahubiri ujumbe huo. 2014-02-28 23:34 GMT+03:00 nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>: haya ni maneno ya magweiga ninayemfahamu au mtu fulani anajifanya magweiga?ningependa kumwona magweiga akihubiri ujumbe huu wa haki ya mashoga tarime mjini au bunda mjini au mugumu mjini au nyamongo...
Read More :- "Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA"

Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda..

Hosea tatizo litakalojitokeza ni namna ya kupiga hizo kura, kundi la kura za wazi watakataa utaratibu unaopendekeza kutumika. Na ukisema utumike utaratibu wa kunyoosha vidole au kutoa sauti ya ndiyoooooo au hapanaaaaa kundi la pili litakataa. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa kumchagua mwenyekiti wa muda kura za siri zilitumika na hazikupingwa lakini sasa hivi imekuwa nongwa. Mjengwa has said it all, hawa watu wameanza vibaya...
Read More :- "Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda.."

[wanabidii] Africa Update

Having trouble viewing this email? View it as a Web page. You are subscribed to Africa for IIP Digital. USAID Launches New Round of Literacy Grant Competition 02/28/2014 05:56 PM EST The U.S. Agency for International Development, in partnership with World Vision and the Australian government, launches the second round of All...
Read More :- "[wanabidii] Africa Update"

[wanabidii] Africa Update

Having trouble viewing this email? View it as a Web page. You are subscribed to Africa for IIP Digital. U.S. Guide Discusses Gender in Criminal Justice System 02/28/2014 05:31 PM EST Increasing professional opportunities for women in criminal justice systems around the world helps women as well as their communities, a new...
Read More :- "[wanabidii] Africa Update"

[wanabidii] Integrated Pest Management: Making a case for bats

​ ​"As a bat researcher, when I take people with me into the field tocatch bats it is great becuase then they can see the animal in theirhands and they can see how small and amazing they are. Theyrealize that bats are not evil." -Jonathan Aronson -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  ...
Read More :- "[wanabidii] Integrated Pest Management: Making a case for bats"

Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda..

Mie nashauri wanaotaka kura ya siri wajiorodheshe na wanaotaka kura ya wazi wajiorodheshe watakaokuwa wengi basi wafuatwe. Hii rasimu ya warioba inamapungufu mengi ikiwemo kusahaulika kwa serikali za mitaa, mabalozi wa nyumba kumi ni watumishi wa umma wasiojulikana, ukitaka kumwekea mtu dhamana police utaombwa barua ya balozi, mkopo wa saccos utaombwa barua ya balozi lakini katika muhimili wa utawala hatajwi. ---------- Sent...
Read More :- "Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda.."

[wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda..

Ndugu zangu, Jioni hii kupitia runinga nilimsikia Profesa Costa Mahalu, Mwenyekiti wa Tume ndogo ya Bunge Maalum kwa kazi ya kuandaa rasimu ya kanuni akitamka, kuwa swali la ama kura ya faragha (siri) au ya dhahiri ( wazi) wataachiwa Wabunge wenyewe waamue. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Mheshimiwa Kificho naye hakuficha kuonyesha kwa sura na hata kauli, juu ya ugumu wa jambo hilo. Akatolea mfano wa mpira,...
Read More :- "[wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda.."

Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA

haya ni maneno ya magweiga ninayemfahamu au mtu fulani anajifanya magweiga?ningependa kumwona magweiga akihubiri ujumbe huu wa haki ya mashoga tarime mjini au bunda mjini au mugumu mjini au nyamongo mjini au kule kiagata na si jijini dsm kwenye mtandao!kicheere, tungi, kigamboni tanganyika territory On Friday, February 28, 2014 11:40 AM, leonard magwayega <bobittz@yahoo.com> wrote: we unayetetea haki za mashoga...
Read More :- "Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU KWA JAMII NDOGO KAMA MASHOGA"

[wanabidii] Africa Update

Having trouble viewing this email? View it as a Web page. You are subscribed to Africa for IIP Digital. Kerry's Call with Ugandan President Museveni 02/28/2014 02:32 PM EST The State Department releases a summary of Secretary of State John Kerry's phone conversation with Ugandan President Yoweri Museveni on the Ugandan government's...
Read More :- "[wanabidii] Africa Update"

[wanabidii] New content updates

Facebook Twitter RSS ...
Read More :- "[wanabidii] New content updates"

[wanabidii] New content updates

Facebook Twitter RSS ...
Read More :- "[wanabidii] New content updates"

[wanabidii] New content updates

Facebook Twitter RSS ...
Read More :- "[wanabidii] New content updates"

Re: [wanabidii] INVITATION TO SHORT TRAINING CERTIFICATE COURSES AT GTI

Will begin in April to November 2014. Pia kuna namba ya simu hapo chini ya maelezo haya. INVITATION TO SHORT TRAINING CERTIFICAT COURSES AT GTI     The Gender Training Institute (GTI) is pleased to invite participants to its short training courses that will begin in April to November 2014. GTI is an autonomous institution officially registered under the National Council for Technical Education...
Read More :- "Re: [wanabidii] INVITATION TO SHORT TRAINING CERTIFICATE COURSES AT GTI"