Sunday, 28 July 2013

[wanabidii] Julius Nyerere Alipostaafu Serikali Ilimpa Gari Hili Atumie...!



Ni  gari hii ambalo enzi hizo mitaani ikijulikana kama ' Macho ya panzi'. Mwalimu hakuwa na makuu. Hili ndilo gari alilotumia muda wote baada ya kustaafu.

 Na ndilo lililompeleka Airport kwenye safari yake ya mwisho kwenda matibabuni Uingereza. Mwalimu hakurudi tena kuja kulipanda gari hili kumrudisha nyumbani kwake Msasani.

Baadae lilitumiwa na Mama Maria Nyerere, kisha nae, akalikabidhi kwa hiyari yake Makumbusho ya Taifa.

Liko pale Makumbusho ya Taifa Mtaa wa Shaaban Robert. Nayo ni historia yetu.
Jumapili Njema.
Maggid,
http://mjengwablog.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment