Wanaogopa kujulikana, Afrika si mchezo maana watu wamekata tamaa, chukua mfano wa mseveni watoto wote anawaingiza jeshini ili warithi urais wake baadae kwa mabavu, wa kikwete angalau wanajulikana, wengine kaulize pale Hom Shoping center watakujulisha, au kule bandarini na TRA kule forodha, au kwenye siasa na biashara kubwa kama vile mafuta na malori ya kusafirisha mizigo, pamoja na kampuni mpya za daladala zinazo anzishwa, asante pole ndugu yangu kama ulikuwa hujui wako wapi!
From: Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, July 3, 2013 12:17 PM
Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WA MARAISI WETU TUNAWAJUA?
Monica
Watoto wa JK walk kuwa shuleni hivyo singe kuwa rahisi wao kuwepo kuwapa company Malia na Sasha...hahahahahah...!
Sent from my iPad
Natamani kama maraisi wa Africa wangeiga mfano wa Raisi Obama wa kutembea na familia yake (mke na watoto) hii inapendeza sana. Sisi hata watoto wa raisi wetu hatuwafahamu na kama anafahamika labda awe amejiingiza kwenye siasa? Mfano watanzania wangapi wanawajua watoto wa Mkapa? Mwinyi? na wa Kikwete zaidi ya Ridhiwani?.--
Nilifikiri kuwa watoto wa raisi (Kikwete) wangejitokeza wawape kampani watoto wa Obama lakini sijui kama walikuwepo.
Big up Obama wewe ni mfano wa Mume na Baba bora duniani.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment