Kuwa na subra. Siku zote Mungu hamfichi mnafiki. Kama kuna ukweli wataumbuka tu na kama sio kweli hujapoteza kitu
Salum
Salum,
Duh hio ni aibuuu,na wanazidi kuumbuka.
Je hizi taarifa zina ukweli ndani yake? Maana najaribu kua na moyo wa subira,pasipo kukurupuka kutaka kujua kama hizi taarifa ni za ukweli kabisa.
Kama kuna mwenye taarifa kamili,atuwekee mezani.
Regards,
Jonas
Jonas--
Mbinu kama hizo CCM wamezitumia sana na nilishuhudia kwa macho yangu wakati wa Uchaguzi wa wawakilishi majimbo 17 Pemba. Nilitoka Unguja kwenda Pemba na Meli iliyokuwa na mashabiki na makada wa CCM ambao walichukua pia bendi ya kuburudisha kwenye kampeni zao. Tulipofika Mkoani tukawa tunashuka kwenye Meli wakati na wao wakishuka na kushusha mizigo yao mara box moja likamtoka mbebaji na kuanguka chini. Ndani ya lile box kulikuwa na T-shirt za CUF walizozibeba ili kwenda kuvuruga kampeni za wenzao
Siku zote Mungu yuko na wanaoonewa
SalumSent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Tue, 2 Jul 2013 21:19:20 +0300ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: [wanabidii] UJUMBE HUU UNA UKWELII??Nimepokea ujumbe huu muda wa mchana.Je taarifa hizi ni za ukweli au uzushi?kama zinaukweli hii sasa balaa!!
CCM wameleta makontena ya nguo za M4C kutoka China, wameleta mpaka heleni nk.
Watavaa wafanye fujo na matukio ya ajabu ili waseme ni CHADEMA.
Hizo ni strategy za Mwigulu ili kuharibu uchaguzi wa madiwani Arusha mjini.
Lakini viongozi wa CHADEMA wameshagundua huo mchezo na wanakutana ili kujadili na watatoa tamko leo mchana.
(Sms hii imetoka CHADEMA makao makuu, hivyo itume kwa wana M4C.Regards,
--
Jonas
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment