Ninaamini msajiri akithibitishiwa kuwa CCM imepanga kufanya hivyo ataifutilia mbali. Rais akihakikishiwa kuwa kuna binadamu anafanya hivyo kuichafua taasisi ya umma aliyepanga hayo ataishia kisuizini hapo ndipo wapumbavu watakapomtambua kuwa Rais wetu hana mchezo na ujinga
--- On Tue, 7/2/13, Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com> wrote:
From: Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com> Subject: [wanabidii] UJUMBE HUU UNA UKWELII?? To: wanabidii@googlegroups.com, mabadilikotanzania@googlegroups.com Date: Tuesday, July 2, 2013, 11:19 AM
Nimepokea ujumbe huu muda wa mchana.Je taarifa hizi ni za ukweli au uzushi?kama zinaukweli hii sasa balaa!! CCM wameleta makontena ya nguo za M4C kutoka China, wameleta mpaka heleni nk. Watavaa wafanye fujo na matukio ya ajabu ili waseme ni CHADEMA. Hizo ni strategy za Mwigulu ili kuharibu uchaguzi wa madiwani Arusha mjini. Lakini viongozi wa CHADEMA wameshagundua huo mchezo na wanakutana ili kujadili na watatoa tamko leo mchana. (Sms hii imetoka CHADEMA makao makuu, hivyo itume kwa wana M4C. Regards, Jonas -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment