Aliyecreate ile advert ametumia approach ambayo inaleta ka mgogoro ktk mind ya mtu iliyo critical.Kwamba wanafunzi wako darasani na simu zao tayari hata kusoma SMS huku profesa akiendelea kushusha nondo nzito ni advert controversial.
Kisanaa inaweza kuwa na mafanikio kwa kuwa labda iko funny(humorous) hivyo itavutia audience na ushawishi zaidi ktk mauzo ya hiyo bidhaa.Lakn mtu mwingine atasema hapana!
Ataona tangazo linadhalilisha ELIMU!!! Kwamba linaua ile heshima na HADHI maalumu ya DARASA.Linaweza kuwa na nguvu hasi na kuwafanya students kuona ni poa tu ku chat na hata kuongea ktk simu au kwenda nje wakati wa kipindi.Kwamba tangazo linaua haja ya kuweka UMAKINI darasani.
Hiyo nguvu hasi ya tangazo itaendelea zaidi ya hapo! Fedha! Fedha! Fedha!
Anyway najaribu kutafakari.Inawezekana pia isiwe ni tatizo.Si tangazo bwana? Audience inajua kuwa ni tangazo.Ni sanaa.Audience ina akili za ku analyse mambo.
Na sanaa haina kusitasita ktk kuchagua mazingira ya kudeliver ujumbe.Mtu mwingine atawaza hivyo pia.
Sasa ninachokiona ni kuwa tuko ktk zama za uhuru Wa biashara.Wenye mitaji wanatangaza non stop!!! Asub hadi usiku! Radio, TV, internet, barabarani, print media, nk, public inalishwa adverts non stop.Matangazo yana sustain media kifedha kiasi kwamba hata program za maana hakuna tena, ni music na matangazo.Sikiliza Clouds utagundua..
anyway naishia hapa
Moses Gasana
0713480670
Sent from my iPhone
Sent from my iPhone
--2013/7/12 lingson adam <lingsadam@yahoo.co.uk>Si tumeruhusu FEDHA ziwe msingi wa maendeleo!
From: Igenge Edwin <igenge05@yahoo.co.uk>
To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>; "chambi78@yahoo.com" <chambi78@yahoo.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 7:40 AM
Subject: Re: [Wanazuoni] Tangazo la Voda na Elimu ya Tanzania
Haya ndo matangazo yanayopotosho jamii kwa kuwafanya wanafunzi na vijana wa kitanzania waamini kuwa ELIMU HAILIPI WALA SI UKOMBOZI KATIKA MAISHA BALI MAISHA NA UKOMBOZI WA KWELI VIMO KATIKA BAHATI NA SIBU ZINAZOTOLEWA NA MAKAMPUNI YA SIMU. Kama taifa lazima tulinde maadili na elimu yetu tusiruhusu UBWANYENYE NA UTAWANDAWAZI VITUHARIBIE TAIFA. Nilikuwa natafakari kuhusu tangazo hilo la mwanafunzi akiwa darasani mwalimu anafundisha mara mwanafunzi anaibuka nakusema kwa sauti nimeshindaaaaaaa halafu darasa zima wanampongeza na baadae mwalimu anauliza niliishia wapi wanafunzi wanamjibu kwa kusema ulikuwa umemaliza. Napiga picha nakuirudisha nyuma kwenye darasa letu SCIENCE 2 maarufu kama S2 pale Mwanza Secondari jijini Mwanza; nakujuliza hivi ingekuwaje? Napata jibu kwamba huyo mwanafunzi aliyeshinda angeadhibiwa vikali sana ikiwa ni pamoja na kufukuzwa shule.Taswira ninayoipata katika darasa hili LA kwenye tangazo ni kwamba mwalimu anafundisha huku wanafunzi wanachat kwenye simu zao za viganjani ndo maana mmoja wao aliweza kubaini kwamba ameshinda na kwa midadi isiyo ya kawaida anaruka kwa sauti huku darasa zima likimuona mwenye bahati maishaini mwake. BINAFSI NACHUKUA WASAHA HUU KULAHANI MATANGAZO YA AINA HII KATIKA VYOMBO VYA HABARI.Sent from Yahoo! Mail on Android
From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>;
To: Wanazuoni <Wanazuoni@yahoogroups.com>;
Subject: [Wanazuoni] Tangazo la Voda na Elimu ya Tanzania
Sent: Thu, Jul 11, 2013 4:13:57 PM
Hivi tangazo linaloonesha mwalimu anafundisha halafu mwanafunzi anashangalia kupata ujumbe wa simu linatuma ujumbe gani kwa jamii?__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (13) .![]()
__,_._,___--Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Uganda
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment