Wako wengi. Kuna mwingine ambaye imebainika kuwa anasoma magazeti mbalimbali na anachukua namba za columnist na waandishi wengine wanaoweka namba za simu, kisha anawatumia sms, akijifanya ni Mhariri wa gazeti husika, anajifanya yuko yeye kwenye kikao, anawaomba wamtumie jamaa yake ambaye amekwama sehemu kati ya sh30,000 na 40,000 ambazo anaahidi kuzirejesha baada ya kikao.
Nina mifano, mtu wa namna hiyo aliwahi kunitumia SMS akijifanya ni bosi wangu wa zamani John Mapinduzi. Pia mwingine (au huyo huyo) siku nyingine, kwa namba tofauti akanitumia SMS tena akijifanya ni Dennis Msacky.Mara nyingine, niliweka namba za desk kwenye colum mbili za waandishi tofauti, tapeli hiyo akatuma ujumbe kama kawaida, akitaka majina ya waandishi husika na kuomba fedha, nikabaini kuwa huenda huyo mtu yuko programmed. Ukimpigia hapokei, yeye anasisitiza mawasiliano kwa SMS.
RSM
2013/7/21 <misangocharles@yahoo.com>
Inawezekana maana hasa wanalitumia zaidi jina la ngurumo
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
-----Original Message-----
From: Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 21 Jul 2013 11:21:07
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] MTU HATARI
Isije ikawa ule mtambo ulioletwa na akina naniii kwa ajili ya phone spoofing...oooh!
Yego wababa, kuweni makini. Asante sana kwa taarifa. Poleni sana kwa usumbufu.
Tunatumaini mtachukua hatua zingine pia za haraka kunusuru matatizo yanayoweza kujitokeza bila kusahau kutafuta ukweli wa suala zima.
Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831
Sent from my iPad
On Jul 21, 2013, at 9:58 AM, misangocharles@yahoo.com wrote:
> Wandugu kuna mtu anatumia namba 0756626670 na 06599501090 akijiita Shafii Haruna anatumia jina langu na la Ansbert Ngurumo kwa utapeli tayari amefanikiwa kuwatapeli watu wawili shs 200000
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com---
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment