Friday, 12 July 2013

Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

nakumbuka siku moja wakati wa kubadilisha kumbu kumbu za benki nilienda
benki na mtumishi mwenzangu mwenye jina la kiislamu kilichonishangaza
ni siku ya kuchukua kadi yeye alipewa inayowahusu wao nami nikapewa
ya tofauti nilipouliza nikapewa jibu ya kwamba hizo kadi ni kwa ajili ya waislamu tu
sasa kama ni service ya kawaida kwa nini utofauti wa kadi?

From: Enock Mlaponi <emlaponi@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 4:07 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Bwana Ngupula kweli hilo hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana na sasa nimeshaachachukuwa hatua za ujitoa NBC. Ndugu Yona nafikiri ungejibu swali lile la Ngupula ningekuona wa maana sana kuliko maelezo uliyotoa. Ngupula ameuliza hivi kama hakuna Riba "Mzigo wa gharama za uendeshaji account nani anaubeba???? la kama kuna watu wa NBC Humu kwenye jukwaa hili mtusaidie kujibu! 

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 15:55
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Hiyo ni kati ya bidhaa zinazotolewa na benki hiyo , kama wewe hupenda bidhaa hiyo huwezi kutumia na kwa kweli wana bidhaa nyingi sana , ni sawa na unapoenda gengeni kuna machungwa , pili pili , mayai , ndizi na vingine vingi utachague vile unavyopenda kutumia tu .

Hongera benki kwa kubuni bidhaa mbalimbali na kushindana katika soko la mabenki mpaka saa hizi .

2013/7/12 Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>
kama imaamriwa kuanzisha Islamic Banking ndani ya taasisi  ya Kitaifa Ushauri wangu wale ambao  hwakubaliani na mfumo huo kama mimi ambaye pia nilikuwa na akAunti ya NBC nimeamua kuacha ife na kuhamia NMB na CRDB ili tuone wafanyakazi wao watalipwa kwa hela za kutoka wapi? Labda hapo Waarbu wanamkona wao.

From: john mahaba <mahabajo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 14:55
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

uongozi wa kisiasa tulionao ndo unafacilitate mifumo ya kibaguzi kama hii
uongozi shupavu hauwezi kuwagawa wananchi wake kiuupuuzi namana hii
wakiambiwa wanaleta udini wanaanza shutuma, kana kwamba watanzania
hatuna akili. ni oungozi upi katika historia ya nchi hii tuliwahi kufikishwa hapa.

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 2:47 PM
Subject: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Kuna matangazo mengi sasa ya radioni yanayoonyesha kuwa kuna kitu kinachoitwa Islamic Banking (account na ATM) katika Bank ya NBC.  Nafikiri maana ya Islamic account na ATM ni mfumo ambao hauzingatii utozaji riba kama imani ya kiislm inavyosema. Najiuliza maswali mengi,mfano,kama NBC wanaona hilo la kutotoza riba linafaa,ni mtanzania gani asiyependa kupewa huduma bure au kupata mikopo isiyo na riba?Na kama hilo linawezekana si waondoe riba na tozo kwa watu wote.Na kama haliwezekani,je mzigo wa gharama za uendeshaji account nani anaubeba?. Binafsi kwa uelewa wangu huo mdogo sifurahishwi na kitu kama hicho ndani ya Bank ya kitaifa kama ya NBC. Hizi taasisi zinazobeba watu wengi sidhani kama ni busara hata kidogo kuanza kuweka vitu ambavyo mwisho wa siku vitaishia kutugawa tu wa Tanzania. Nimeshawasikia si chini ya watu 10 ambao wamesema wanachukizwa na jambo hilo na wako tayari kufunga account zao NBC. Tunaomba maoni kama kuna mtu mwenye uelewa zaidi....na kama vipi tujue Bank hiyo ishaingiliwa na nini kifanyike.  Godfrey Ngupula
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

0 comments:

Post a Comment