Mimi sione ubaya maana jamaa aliahidi jambo kubwa ilikupata kura ikashindikana kwa vile ilikuwa inapingana na sheria. Hivyo kutumia nafasi vizuri kuwasaidia wenzake si mbaya kuliko angeshindwa hata hilo maana angeonekana msaliti. Kila mtu kuishi kwa imani ya dini yake ni kutimiza wajibu wake kwa dini yake. Ila wengine wasiponya hivyo huonekana wapumbavu.
From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 14 July 2013, 9:45
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
--Hamoud,Usivae mawani ya mbao na wa-kristo waruhusiwe kuanzisha ma-butcher yao yatahudumia watu wote na hata wa-islam wanaopenda.From: Hamoud <hamoud.hamiss@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, July 14, 2013 3:52 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
--Huduma hii kila mtu anaweza kuitumia bila kujali imani yake
Sent from my iPhone--Hii nchi ya ajabu sana, kuanzisha dirisha ndani ya bank linalowahudumia na kuwapendelea waislam serikali haioni kama inawagawa wa-Tanzania kwa misingi ya imani zao!! Ila kuanzisha ma-butcher ya Waislam na Wakristo serikali inaona itawagawa wa-Tanzania kwa misingi ya kidini. Haya yanaonyesha wala hatujui tunayoyafanya na kuyasimamia.Ni sawa na jeshi la police kuwaruhusu CCM kuendesha Green Guards maana wao hawawezi kusababisha vurugu, ila CHADEMA wakianzisha Red Guards wao wataanzisha vurugu na migowanyiko. Double standards. Kwa mwendo huu kutoaminiana kutaendelea.From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 13, 2013 4:08 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
--
I salute you Sir!!
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 13 July 2013, 16:00
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
--Jamii yetu inajulikana imegawanyika.....na hatari iliyopo mbele yetu ni kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini...watanzania wa sasa wapo so sensitive kwa mauala yahusuyo dini kuliko kitu chochote kile..zipo bank kama ya Amana na mkombozi bank. Bank hizi zinajulikana kuwa ni za kidini na hakuna hata mmoja anayezipigia kelele. Nina washauri NBC kama wamedhani kuanzisha dirisha la kidini ni ubunifu,basi wangechukua muda kiasi kwanza kuijua jamii ya watanzania inataka nini na haitaki nini. Watanzania tayari tunachukizwa na matozo makubwa ya kama mikopo na uendeshaji wa accounts katika bank ya NBC. Pia tunachukizwa na ubaguzi unaofanywa na mabank wa kuwapendelea matajiri zaidi kuliko masikini katika huduma..Hili dirisha la kidini lililo anzishwa na NBC,linaongeza chuki zaidi kuliko tija..Watanzania hatutaki hata kidogo mambo haya ya ubaguzi wa huduma kwa misingi ya kidini..NBC ni bank ya taifa,kwa hiyo ni lazima iwe na sura ya kitaifa zaidi kuliko bank zozote. Ni muhimu sana kukemea kila kinachoashiria ubaguzi katika jamii yetu kuliko kushabikia hata kama unafaidika nacho..NgupulaFrom: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 13 July 2013, 13:23
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
--
Niambie unanifuturisha leo ninashiba lakini hunijengei mizingi ya kujilisha mwenyewe. Hii shiba leo kesho hadi mwisho au nusu mwaka njaa inanisaidia? usinifuturishe na kunigawia nyama ya mbuzi, ngamia leo nipatie hizo milioni unijengee irrigation system, kisima cha maji safi, mbuzi wa kisasa wa kutoa lita 3 kwa siku, lipia land survey niple title deed nikae huko Mkuranga ninajitegemea. Huu utakuwa msingi mzuri. Nijengee na shule uniwekee walimu bora. Zile milioni za kununua aftar, kusafirisha mifugo hadi mji au mkoa fulani zitakuwa zimejenga msingi wa maisha. Pia ukifanya biashara kwa faida, halafu utoe futari au chakula cha pasaka ni kuwa unalipa ulichopora masikini-unapunguza zambi. Kwani faida hupatikana kwa kuongeza bei juu ya ile ya uzalishaji. Vitabu vingine vya dini vinasema-kwa mfanya biashara kufika uwinguni kumwona Mungu ni sawa na Ngamia kupita ktk tundu ya sindano!! weekend njema.
From: amour chamani <abachamani@gmail.com>To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, 13 July 2013, 11:53
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
Kiwasila na wenzako.
Nbc wanafanya biashara wala hawahubiri dini.Wanatafuta kupata faida
zaidi kwa hilo hamna cha kuwafundisha.
Ubaya wa hiyo product ni upi kiimani na kijamii au inawakwaza nini
ninyi Watanzania wapendao nchi hii? Kutumia huduma hii ni hiari yako
hakuna lazima.
Kiwasila unazungumza bei za vyakula ni kweli zimepanda lakini sababu
hiyo inahusu vipi NBC na huduma yake?
Lakini kiwasila unaojua kanuni ndogo za uchumi za demand na suply
kwamba zinahusika na hapo?
Hivi unajua kunawatu wanatumia gharama kubwa pengine mara 5 zaidi ya
matumizi yao ya kawaida kwenye chakula sasa kwanini bei isifuate hizo
kanuni?
Ikiwa kila mtu anafuturisha kuanzia mashirika,makampuni mpaka
wanasiasa tena Wakristo?
Kiwasila ambacho sijajua vema kwako kwani sokoni wote wachuuzi ni
Waswahili tu kama ilivyo maofisini kwenye mashirika ya umma na
serikalini kuliko jaa ufisadi?
Itakuwa ni bahati nasibu ya ajabu.
Walewale.
On 7/13/13, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>
> Comrades;
> Nami nakubaliana kwamba ni product mpya ya NBC, lakini imeanzishwa na
> kuwekwa mahala sipo,hii haitawasaidia NBC kupambana Sokoni ila itawapotezea
> wateja wengi sana(present customers).
> Katika principles na Marketing unatakiwa kulinda sana mteja uliyenae
> asipotelee kwa washindani kwa kuwa gharama za kuendelea kuwa nae ni nafuu
> kuliko kutafuta mteja mpya.
> Kwa jumla wamechemka na hawakufanya utafiti wa kutosha na hasa katika hali
> ya sasa ya utete dini, aliyetoa wazo la product hii kawapotosha Makaburu, in
> a time being wataona -ve effects zake.
> Tutawakimbia sana na hasa kwa kuwa wameamua kuwa wagumu kusogeza huduma
> viganjani mwa wateja wao.huduma za NBC ni mbovu sana, hata ukitaka kujua
> salio (the minimum and cheapest customer care service) inakulazima ufike
> Bank au kwenye ATM??? kitu ambacho mabenki mengi yameshaondoka katika
> uzamani huu,wao bado na ni benki kongwe.
> Poleni sana MAKABURU!!
>
>
>
>
>>________________________________
>> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Saturday, July 13, 2013 11:09 AM
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>
>>
>>
>>Usomi niupate wapi?
>>Lakini, Mwenye pesa mpishe apite atoe mikopo bila riba. Kama riba ni
>> dhambi-mbona ukianza mwetu mtukufu tu vyakula vinapanda bei vibaya!
>>Mihogo, viazi, n.k havinunuliki?1 na hao waliopandisha bei baadhi-wamefunga
>> mwezi mtukufu ndio wapo dukani wanauza kwa kupaisha bei. Asilimia kubwa
>> sasa ya wafanyabiashara wamefunga mwezi mtukufu!! Ikibaribia
>> sikukuu-zinapanda tena. Tunamjua Mungu kweli? Ambapo, hasa waliofunga ndio
>> tungekimbilia kwao kwa kuuza pungufu sana bila riba lakini si hivyo.
>> Pamoja kuwa hupanda wakati wa sikukuu za kikisto lakini mara juu zaidi
>> 'mwezi mtukufu huu tulionao sasa' Why wanaibia watu, hawamjui Mungu?
>> Ninawakilisha Chamani. Samahani kwa maswali yangu.
>>
>>
>>
>>
>>From: amour chamani <abachamani@gmail.com>
>>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Saturday, 13 July 2013, 10:09
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>
>>
>>Kiwasila,
>>Unapata tabu gani hata kutafuta kwenye mtandao ukaona namna hizo benki
>>zinavyofanya kazi au siku moja ukakutana nao ukauliza maswali hayo?
>>unadhani unazihurumia lakini wao NBC inawafaa sana na sasa ipo KCB na
>>ile ya Wazanzibar wachilia benki kamili kama Amana.
>>Wewe ni msomi hebu pekua kidogo wala si tabu kabisa kuliko hayo
>>maelezo marefu na chuki za Ngupula(Mwenyezi Mungu atulide naye).
>>Hakuna haja ya mifano ya visima na
> misikiti.
>>Lakini kumbuka wenzio sisi RIBA ni katika madhambi makubwa unataka
>>tuendelee kushindwa kukopa? Au na hili nalo ni Udini wa Kikwete.
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>On 7/13/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>>>
>>> Wanayohaki kutoa mikopo bila riba. ila, kwa bank za mtu binafsi au za
>>> Nchi
>>> kama TZ bila riba ninaona itakuwa utata. Watu wakihamia kwao kwa vile
>>> hakuna
>>> Riba bank nyingine zitakosa wateja. nao watakuwa na mzigo mkubwa wa watu
>>> ambao baadhi yao ni vibaka. Anakopa, halipi ipasavyo halafu anayekuja
>>> kudaiwa mkopo na kuporwa mali eti ni yule mdhamini mpoaka tukaona ktk TV
>>> mama amepanda juu ya paa. wale wa kufirisi mali wamejaa ndani ya nyumba.
>>> Utafirisi wangapi?
>>>
>>> Kuna watu wana vichwa hewa. Katika mradi mmoja wa kuboresha miundo mbinu
>>> DSM
>>> walianzisha SACCOS kusaidia
> wafanya biashara ndogo ndogo. wadhamini wako ni
>>> kundi lako la watu 5 ambao ni wanachama wa SACCOS hiyo. Kweli marudisho
>>> yalikuwa mazuri sana sana kila jumamosi. biashara zao zikienda poa
>>> unaanzia
>>> 50 elfu mpaka unafika mamilioni. Lakini baadae kuna baadhi yao washiriki
>>> wakiwafanya wenzao wawe masikini kwa kulipa madeni yao na hapo ndio
>>> SACCOS
>>> inaishia. Kulikuwa na waliokopa, wakalewea hela au kununua vivalo,
>>> asimwambie partner wake. SACCOS inakuja kufirisi vitu, jamaa mama au
>>> baba
>>> anatoroka maana hawezi kuweka wazi kwa mke au mume kuwa alikopa maana
>>> hakuna
>>> alichofanyia. Anatoroka kimoja kuogopa aibu. Mke au mume anaachwa peke
>>> na
>>> familia. Kuna wale ambao hata akiporwa vitu haviuziki. Vigodoro
>>> vimerambuka,
>>> vichafu, visufuria hoi labda nguo avaazo kiasi sofa hana ni viti
>>> havitotoa
>>> hela yoyote. wale wadhamini huwajibika kulipa hiyo cash au wafirisiwe
>>> vyao
>>>
> pia. Leo wanalipa, kesho anatoroka mwanakikundi mwingine walie mdhamini.
>>> Impoverishment inakuwa kubwa hivyo ni sio SACCOS zote zinasaidia
>>> kutimiza
>>> malengo ya kuendeleza walio masikini ambao wanaishi bila malengo. Hata
>>> hivyo-baada ya kuboresha miundo mbinu ili wakae pasafi na kufanya
>>> biashara
>>> kwa usafi sokoni kwao na ktk viosk vyao-wameuza maeneo wamehamia kuchafu
>>> zaidi. Fika kwenye miradi hiyo kote DSM hadithi ndio hii. Wachache sana
>>> hufanya kweli inayotegemea. Mzunguko wa umasikini hautotutoka bila kuwa
>>> na
>>> malengo ya kweli na endelevu.
>>>
>>> Kuna mikopo mitaani watu hukopesha hela na riba ni kubwa sana. Kule
>>> kwetu
>>> wanaita 'Ligongola' na ni ligongo hasa. Unakopa leo laki unalipa baada
>>> ya
>>> siku 5 au kumi 130,000. Mpango wa UPATU kupokezana hela watu
>>> wanaoelewana-wafanya biashara, petty traders, maofisini kupeana hela
>>> kila
>>> jumamosi au mwisho wa mwezi-mwingine
> anasema ana dharura apewe yeye.
>>>
>>> Wengine akishakupokea yeye anatoroka/anajitoa na halipi tena kila siku
>>> anatoa sababu na kuunda chuki na wenzake. Hiyo ilikuwa informal credit
>>> association, ni rafiki yenu mnamfanyaje? Unataka huduma lakini hutaki
>>> kuwajibika.
>>>
>>> Desturi hizi ndizo zinazofaa kubadilishwa bongo. Unaona utata-huukubali.
>>> wengine ndio hao wafanyao biashara barabarani amechukua mkopo bank au
>>> SACCOS, biashara inaporwa-anapata wazimu. Duka
>>> linaungua-anachanganyikiwa.
>>> Lakini ukipita kesho palipoungua jana-wamejenga vile vile, njia za
>>> zamani
>>> zilizobaki zimezibwa upya na moto ukiwaka tena ni balaa zaidi. Ni train
>>> ya
>>> vyumba mbanano kilometa za eneo la biashara. Ni nyumba mbanano na
>>> maghorofa
>>> hewa na nafasi hakuna-tunaganga njaa. Unapowaka-hakuna njia; likifika
>>> greda
>>> kubomoa-mahakamani kesi miaka kadhaa, kwenda na mapanga
> kupambana.
>>>
>>> Hivi kitu gani kinawafanya wafanya biashara wa soko la mwenge pamoja na
>>> kuwa
>>> na umoja wao hawawezi kulijenga lile soko likawa la kisasa kwa kuchukua
>>> mkopo kutoka Islamic bank isiyo riba. Mvua ikinyesha inaharibu biashara
>>> zao,
>>> kunanyesha na wateja wanakimbia kunyeshewa, uchafu wa maozo ya maji ya
>>> kinyeshi hoteli na restaurant za maghorofa zimeunganisha sewer pipes zao
>>> mifereji ya wazi na pale kuna chamber ya sewer pipe inavuja
>>> daima.Wanapata
>>> faida, soko vitu bei ghali, lakini haniingii akilini-kwa nini
>>> wasilijenge
>>> soko la ghorofa pale wakawa na cold storage ya vifaa vyakula vyao na
>>> other
>>> perishable items zao. Watu wakaingia restaurant ghorofa ya juu akanunua
>>> matunda yakaoshwa akajichana matunda mchanganyiko etc.? Sato anatoka
>>> cold
>>> storage facility anachomwa unajichana unajiendea zako. Mbona tumelala
>>> ndugu
>>>
> yangu?
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> ________________________________
>>> From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Saturday, 13 July 2013, 8:28
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>
>>>
>>>
>>> Kama wanataka kusaidia waumini wao ni vema waanzishe taratibu kama za
>>> SACCOSS kwenye misikiti yao kuepusha maswali.
>>>
>>>
>>> ________________________________
>>> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Saturday, July 13, 2013 4:11 AM
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>
>>>
>>>
>>> Ni majuzi tu nilisoma gazetini tangazo la mradi fulani wa maji
>>> unaohisaniwa
>>> na tajiri fulani. Nikatoa comment ya kilichoelewa kama mfumo wa miradi
>>> yake
>>> hiyo kwamba-wananchi watapata maji bure hakuna gharama yoyote (hakuna
>>> kuchangia chochote). Nikauliza-vipi operation and maintenance (O&M)
>>> kwani-ukisha kukijenga na kitatumika kama ni kisima cha pampu ya diseli,
>>> ya
>>> umeme ya upepo, ya kusukuma kwa mkono, maji ya bomba O&M itakuwepo
>>> lazima-nani atatengeneza daima vinapoharibika? Ndio ile ya-'serikali
>>> haitujali, haiji kututengenezea kwani mhisani katupa bure!! etc. Sera ya
>>> maji ina mfumo wa jumuiya za watumia maji na miongozo ya utendaji kazi
>>> wa
>>> jumuia hizo na
> kamati za maji. Zilipozingatia-huwezi kuamini efficiency
>>> iliyopo ya hali ya juu, fedha na matengenezo, uwajibikaji. Pale
>>> walipotoa
>>> visima vya pampu bure kupitia mashirika ya dini yasiyotoza gharama (no
>>> riba
>>> au uchangiaji)-nenda ukaone visima hivyo vya pampu. Ninayo mapicha humu
>>> kibao sipendi kuchosha
>>> watu. Baadhi ya vingi ya visima vilivyojengwa kwa msaada wa ujenzi wa
>>> misikiti hii ya rangi moja inayofanana kuanzia Dar hadi Mbeya vipo
>>> katika
>>> matatizo-sasa vingi vipo wazi wanachota kwa ndoo pampu haiko na uchafuzi
>>> ni
>>> mwingi. Vinafanana na ile miradi yetu ya nyumba ya kutoka maji bure bila
>>> kuwajibisha watumia maji. Ni hivyo itakavyokuwa kukitangaza mikopo bila
>>> ya
>>> riba. Uarabuni wana mafuta na utajiri kutumia hela za mafuta hivyo kutoa
>>> huduma ya mikopo bank bila yariba huenda inawezekana kutokana na utajiri
>>> wao-wanatoa huduma kumcha Mungu.
>>> sasa
> bank ya bongoland ambapo kuna watumishi kibao wanaougua na kutaka
>>> huduma, wanaokaa hadi usiku kuhesabu hela na kuzipanga na kuweka takwimu
>>> vema-wanahitaji posho na usafiri kurudi home late, umeme kukatika na
>>> kuwasha
>>> generator ili mashine za bank zitoe hela na kazi isisimame etc haya
>>> yote ni gharama huwezi kuzifidia kwa kupandisha bei ya sabuni ya mbuni
>>> bali
>>> huenda kwa riba. Kama vile sera ya mtupa taka achangie gharama za uzoaji
>>> taka; mtumia majo achangie gharama ya O&M kwa kulipia maji kidogo sio
>>> kumchangisha mradi unapoharibisha (preventive maintenance muhimu-hela
>>> iwepo). Bank bila riba-itafirisika maana wengine hukopa-hufa, hakuna cha
>>> kuwafirisi hana mali alikunywia viroba, kaongeza wake; muda wa mkopo
>>> unaweza
>>> kuzuia wengine wasikope. huenda riba inasaidia utoaji huduma na mambo
>>> mengine bora iwepo tu lakini isiwe kubwa sana ya unyonyaji. Eti
> unakopa
>>> milioni 5 riba inakufanya ulipe milioni 8! haifai.
>>>
>>>
>>> From: Enock Mlaponi <emlaponi@yahoo.com>
>>>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Friday, 12 July 2013, 16:07
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>
>>>
>>>
>>> Bwana Ngupula kweli hilo hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana na sasa
>>> nimeshaachachukuwa hatua za ujitoa NBC. Ndugu Yona nafikiri ungejibu
>>> swali
>>> lile la Ngupula ningekuona wa maana sana kuliko maelezo uliyotoa.
>>> Ngupula
>>> ameuliza hivi kama hakuna Riba "Mzigo wa gharama za uendeshaji account
>>> nani
>>> anaubeba???? la kama kuna watu wa NBC Humu kwenye jukwaa hili mtusaidie
>>>
> kujibu!
>>>
>>>
>>> ________________________________
>>> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Friday, 12 July 2013, 15:55
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>
>>>
>>>
>>> Hiyo ni kati ya bidhaa zinazotolewa na benki hiyo , kama wewe hupenda
>>> bidhaa
>>> hiyo huwezi kutumia na kwa kweli wana bidhaa nyingi sana , ni sawa na
>>> unapoenda gengeni kuna machungwa , pili pili , mayai , ndizi na vingine
>>> vingi utachague vile unavyopenda kutumia tu .
>>>
>>> Hongera benki kwa kubuni bidhaa mbalimbali na kushindana katika soko la
>>> mabenki mpaka saa hizi .
>>>
>>>
>>>
>>> 2013/7/12 Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>
>>>
>>> kama imaamriwa kuanzisha Islamic Banking ndani ya taasisi ya Kitaifa
>>> Ushauri wangu wale ambao hwakubaliani na mfumo huo kama mimi ambaye pia
>>> nilikuwa na akAunti ya NBC nimeamua kuacha ife na kuhamia NMB na CRDB
>>> ili
>>> tuone wafanyakazi wao watalipwa kwa hela za kutoka wapi? Labda hapo
>>> Waarbu
>>> wanamkona wao.
>>>>
>>>>
>>>>From: john mahaba <mahabajo@yahoo.com>
>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Sent: Friday, 12 July 2013, 14:55
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>uongozi wa kisiasa tulionao ndo unafacilitate
> mifumo ya kibaguzi kama hii
>>>>uongozi shupavu hauwezi kuwagawa wananchi wake kiuupuuzi namana hii
>>>>wakiambiwa wanaleta udini wanaanza shutuma, kana kwamba watanzania
>>>>hatuna akili. ni oungozi upi katika historia ya nchi hii tuliwahi
>>>> kufikishwa hapa.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Sent: Friday, July 12, 2013 2:47 PM
>>>>Subject: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Kuna matangazo mengi sasa ya radioni yanayoonyesha kuwa kuna kitu
>>>> kinachoitwa Islamic Banking (account na ATM) katika Bank ya NBC.
> Nafikiri
>>>> maana ya Islamic account na ATM ni mfumo ambao hauzingatii utozaji riba
>>>> kama imani ya kiislm inavyosema. Najiuliza maswali mengi,mfano,kama NBC
>>>> wanaona hilo la kutotoza riba linafaa,ni mtanzania gani asiyependa
>>>> kupewa
>>>> huduma bure au kupata mikopo isiyo na riba?Na kama hilo linawezekana si
>>>> waondoe riba na tozo kwa watu wote.Na kama haliwezekani,je mzigo wa
>>>> gharama za uendeshaji account nani anaubeba?. Binafsi kwa uelewa wangu
>>>> huo
>>>> mdogo sifurahishwi na kitu kama hicho ndani ya Bank ya kitaifa kama ya
>>>> NBC. Hizi taasisi zinazobeba watu wengi sidhani kama ni busara hata
>>>> kidogo
>>>> kuanza kuweka vitu ambavyo mwisho wa siku vitaishia kutugawa tu wa
>>>> Tanzania. Nimeshawasikia si chini ya watu 10 ambao wamesema
>>>> wanachukizwa
>>>> na jambo hilo na wako tayari kufunga account zao NBC. Tunaomba maoni
>>>> kama
>>>> kuna mtu mwenye
> uelewa
>>> zaidi....na kama vipi tujue Bank hiyo ishaingiliwa na nini kifanyike.
>>> Godfrey Ngupula
>>>>
>>> --
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii"
> group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>--

>>>> be presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>
> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must
>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>>
>>> --
>>>
>>> Find Jobs in Africa Jobs in Africa
>>> International Job
> Opportunities International Job Opportunities
>>> Jobs in Kenya Jobs in Uganda
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
> it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this
> message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
> --

> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment