Friday, 12 July 2013

Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Mie nafikiri huo siyo mfuma wa kibaguzi bali ni service ambayo inatolewa kwa anayetaka kujiunda kama vile unavyoweza kujiunga katika service yeyote ndani ya kampuni yeyote inayotoa huduma. Mfumo huu. `kama utajiunga ina maana kuwa fedha zako utakazoweka humo zitabaki kama zilivyo kwa maana kuwa hutalipwa faida (interest) yeyote na ikiwa utachukua mkopo basi nawe pia hutatozwa faida yoyote, kwa mantiki hiyo wewe na benki husika wote mtafaidika kawa maana wakati benki itakapotumia fedha zako kuinvest ile faida ambayo wewe ungegawiwa inabaki na benki na pale wewe utakapo chukua mkopo basi benki nayo haikutozi faida kwa hiyo hapo wote mmenufaika lakini labda mmoja atapata zaidi. Huu ni ulewa wangu mdogo tu wa mfumo huo.

Ken

2013/7/12 john mahaba <mahabajo@yahoo.com>
uongozi wa kisiasa tulionao ndo unafacilitate mifumo ya kibaguzi kama hii
uongozi shupavu hauwezi kuwagawa wananchi wake kiuupuuzi namana hii
wakiambiwa wanaleta udini wanaanza shutuma, kana kwamba watanzania
hatuna akili. ni oungozi upi katika historia ya nchi hii tuliwahi kufikishwa hapa.

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 2:47 PM
Subject: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Kuna matangazo mengi sasa ya radioni yanayoonyesha kuwa kuna kitu kinachoitwa Islamic Banking (account na ATM) katika Bank ya NBC.  Nafikiri maana ya Islamic account na ATM ni mfumo ambao hauzingatii utozaji riba kama imani ya kiislm inavyosema. Najiuliza maswali mengi,mfano,kama NBC wanaona hilo la kutotoza riba linafaa,ni mtanzania gani asiyependa kupewa huduma bure au kupata mikopo isiyo na riba?Na kama hilo linawezekana si waondoe riba na tozo kwa watu wote.Na kama haliwezekani,je mzigo wa gharama za uendeshaji account nani anaubeba?. Binafsi kwa uelewa wangu huo mdogo sifurahishwi na kitu kama hicho ndani ya Bank ya kitaifa kama ya NBC. Hizi taasisi zinazobeba watu wengi sidhani kama ni busara hata kidogo kuanza kuweka vitu ambavyo mwisho wa siku vitaishia kutugawa tu wa Tanzania. Nimeshawasikia si chini ya watu 10 ambao wamesema wanachukizwa na jambo hilo na wako tayari kufunga account zao NBC. Tunaomba maoni kama kuna mtu mwenye uelewa zaidi....na kama vipi tujue Bank hiyo ishaingiliwa na nini kifanyike.  Godfrey Ngupula
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment