Friday, 12 July 2013

Re: [wanabidii] Maumivu: "Sina hamu na Mwanamke tena hata akiwa mzuri kasi gani"

Mpendwa pole
Dawa ya shida yako ni ya kiroho huyu aliye tayari kukusaidia mfuatilie aduwi wa ndoa afanya kazi usiku na mchana lakini ukipata huduma za kiroho kutoka watu wa rohono utapona kabisa na dnoa yako itakuwa ya furaha na amani na hutawachukia tena wanawake
tutakuombea ili upate majibu mapema


2013/7/12 Abby Mrisho <abbymrisho@gmail.com>

Unahitaji kujua kinachomfanya kununa, lzm kuna jambo.


On Jul 12, 2013 7:35 PM, "achengula@gmail.com" <achengula@gmail.com> wrote:
>
>
> Pole sana ndugu yangu kwa yanayokupata. Lakini si kwamba wanawake wote wako namna hiyo. Na huyo pengine alificha tu tabia hiyo, sasa inajionyesha. Au pengine kuna mtu (mwanaume) anamdanganya ndo maana anakufanyia vituko vya aina hiyo. Cha kufanya hapo wewe acha kuendelea kujishusha kwake maana ataendelea kutumia udhaifu huo kukuumiza. Akiona hujali wala huumii ataacha na kama analengo fulani atabadili mbinu hiyo. Tatizo hapo ni kwa sababu hasemi ukweli, si muwazi na ugumu unapoanzia. Labda kama kweli yupo willing atafutwe professional psycologist asaidie kuondoa tatizo lake kama si la makusudi/kutengenezwa.
>
> -----Original message-----
> From: Alex Meena
> Sent:  12/07/2013, 16:02
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Maumivu: "Sina hamu na Mwanamke tena hata akiwa mzuri kasi gani"
>
>
> Pole sana kaka nakuunga mkono wanawake ni watu wa ajabu sana na ukiwawazia
> sana utashindwa hata kufanya kazi Kazi Kama ananuna we chapa Kazi usipoteze
> tena muda wa kimuulizauliza yamkini kuna mtu anamsumbua akili.
>
> Alex meena
> Operations Diamond Shipping Services Ltd.
> Mobile,+255 655 659292
>              +255 782 500900.
>  On Jul 12, 2013 3:47 PM, "Abel Lugamba" <lugamba2001@gmail.com> wrote:
>
> > 12/07/2013
> >
> > Najisikia sihitaji mwanamke yeyote yule hata akiwa mzuri kiaisi gani. Sina
> > hamu naye na wala siwezi kumfanya chochote. Naogopa kusema i hate you women
> > kwani ni kama neno lisilo sahihi.
> >
> >
> > Nina mke wa muda mrefu sasa na mtoto mmoja, tulioana kwa upendo sana hasa
> > mimi nikiwa na furaha sana kwenye ndoa yangu, lakini cha ajabu mambo
> > yalibadilika sana mara nyingi mke akawa ni wa kulalamika tu, mara nyingi
> > anashinda amenuna, maongezi hakuna kabisa ndani,. Nilijitahidi sana
> > kumuweka chini na kuzungumza naye nikijishusha na wakati mwingine kuomba
> > anisamehe na aniambie makosa yangu yanayomfanya asiwe na furaha.
> >
> > Mara nyingi nilidhani ni mambo ya "kitandani" labda sifanyi vizuri lakini
> > cha ajabu amekataa sana juu ya hili na kusema anaridhika sana na tena kwa
> > kiwango cha juu na mara nyingi tumekuwa tukifanya hilo tendo hubadilika na
> > kuwa mpole sana na hata kusema ananipenda sana.
> >
> > Nimemwambia kwa lolote analoona liko tofauti aniambie mara nyingi
> > najishusha sana kwake na nina msikiliza sana, lakini nimegundua hana nia ya
> > dhati maana kila kukicha anakuwa vilevile tena wakati mwingine hufanya
> > makusudi kabisa.
> >
> > Sikutarajia maishani mwangu kuwa na ndoa ya hivi inaniuma sana, nilimuoa
> > kwa taratibu zote za kikanisa na ndoa kubwa na yenye maana, najiuliza
> > kumwacha inakuwa siyo solution maana moyo huwa unaniuma sana kiasi kwamba
> > natoa machozi na kumbembeleza, ninavyoelewa nimefuata moyo wa mama yangu ni
> > mpole saaana tena sana nadhani hata mimi nimerithi huko.
> >
> > Umefika wakati sasa nimechoka macho
> Email truncated to 2,000 characters
> :::0:bc884e1e7acfc47d9cbfb39f6cd44a7a:7d0::::
>
> Original message is located on server
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment