tumekwisha jamani hata tukitoa siri ambazo ni faida kwa usalama wetu w nchi kumbe ni kosa au? maana kama hii habri si ya kweli naona ndio hapo hata mimi nisingepoteza kamuda kangu nilikokopa kujadili lakini kama ni habari ya kweli na ni habari ya kuokoa nadhani hapo hii siri ni vzr isiwe siri tena, nadhani walipaswa wamshukuru kwa kuweka mambo hewani na kuonekana nao maana pengine hawana habari jamani......am not sure...anyway najua hii kamata kamata itaendelea lakin si kiiivi
From: Samwel Mchuma <mchumasamwel9@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, July 18, 2013 4:02 PM
Subject: Re: [wanabidii] Deo Balile atiwa mbaroni, ahojiwa, kushitakiwa
Swalehe.
Ndo maana hata kesi za rushwa hapa kwetu ni ngumu kuzipatia ufumbuzi
kwan unaweza kujikuta mtoa taarifa unawekwa korokoroni badala ya
kupewa ulinzi.
On 7/18/13, Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:
> Hawa jamaa wana maajabu sana badala ya kumshukru alietoa habari za ufisadi
> ili washughulikiwe hao waliofanya ufisadi badala yake mtoa taarifa
> anakamatwa na kufunguliwa kesi . Majanga
>
>
> 2013/7/18 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>
>> Safari ya kupambana na ufisadi katika nchi hii ni ngumu sana.
>>
>> Leo kuanzia saa 5 hadi saa 8:30 mchana, Mhariri Mtendaji wa Jamhuri, Deo
>> Balile, amehojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu habari iliyochapishwa
>> kwenye
>> Jamhuri inayohusu "Ufisadi ujio wa marais 11"
>>
>> Kwa bahati nzuri, habari nzima wanaikubali kwamba ni ya kweli! Kasoro
>> pekee eti ni matumizi ya barua ya Ikulu iliyokuwa na neno "Secret" ambayo
>> ilikuwa na majina tu.
>>
>> Anashitakiwa kwa kosa la "Kuchapisha Nyaraka za Siri", jambo ambalo ni
>> kinyume cha Sheria ya Usalama, kifungu 5(1). Nimemwekea dhamana hadi
>> Ijumaa
>> saa 4 asubuhi.
>>
>> *Angalizo: *
>> Huu ni mwendelezo wa Serikali kukwepa kuwashughulikia wezi na wafujaji wa
>> fedha za umma zaidi ya Sh bilioni 8 kwenye Mkutano wa Smart Partnership,
>> badala yake wameamua kuhangaika na neno moja tu "Secret". Hivi kweli neno
>> "secret" ni kero na hatari zaidi kuliko hoja yenyewe ya kile
>> kilichoandikwa?
>>
>> Nawasilisha.
>> *Manyerere Jackton*
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment